×


Afya


Tiba ya chawa kichwani

Kwa mjini ni mara chache kusikia kuwa kuna mtu anasumbuliwa  na chawa kichwani, lakini kwa vijijini si kitu cha kushangaza kusikia mtu ana chawa na…

SOMA ZAIDI

Aina tatu za kiharusi (Stroke)

Baada ya kuona kinachosababisha kiharusi sasa tuone jinsi ugonjwa wa kiharusi ulivyogawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni: Kiharusi cha kukosa…

SOMA ZAIDI

UTI; gonjwa linalosumbua wanawake

Leo tutazungumzia kwa undani tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo,  ugonjwa unaowasumbua wanawake wengi na watoto,  kitaalamu huitwa Urinary Tract Infection au maarufu UTI….

SOMA ZAIDINo Picture

Maumivu ya kiuno kwa wanawake

Kuna wanawake wengi ambao husumbuliwa na maumivu ya kiuno mara kwa mara hasa wakati wa hedhi na kisha kufifia, huugua kwa muda mrefu zaidi ya…

SOMA ZAIDI


Wanaosumbuliwa na mba, tiba hii hapa!

Kwenye makala zilizopita nimewahi kuandika urembo unaohusu kutibu mba wa kichwani kwa kutumia uwatu, limao nk. Kutokana na wasomaji kuendelea kuomba ushauri wa kinachoondoa mba…

SOMA ZAIDI
No Picture

Fahamu Ugonjwa wa Zika na dalili zake-2

Baada ya wiki iliyopita kueleza ugonjwa huu wa Zika unaambukizwaje na kufafanua dalili zake, leo tutajikita kuelimisha kuhusu tiba na kinga tukiamini kwamba wasomaji watazingatia…

SOMA ZAIDI


No Picture

Chanzo cha kiharusi (Stroke)

Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa…

SOMA ZAIDI

Kukosa hamu ya chakula!

Sukutua na kunywa siki ya tufaha Watu wengi hujisikia kama wanaoumwa, wakiamini ni malaria, hali inayowafanya wakose hamu ya kula chochote na hata wakati mwingine…

SOMA ZAIDI


Jinsi ya kupika rosti maini

KAMA ilivyo kawaida ya kila wiki huwa tunakutana katika safu hii ya Mahanjumati ambapo leo tunajifunza kupika maini kama wengi wenu mlivyoomba.   MAHITAJI Maini…

SOMA ZAIDIUjue ugonjwa mpya wa kisonono – 2

WIKI iliyopita tuliishia katika kuzungumzia dalili ya ugonjwa wa kisonono (gono), leo tunaendelea na sehemu yetu ya pili na ya mwisho, msomaji wetu fuatilia sehemu…

SOMA ZAIDIJinsi ya kupika chapati za maji

Natumaini hujambo mpenzi msomaji wa safu hii ya Mahanjumati na unaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa. Leo kama ilivyo ada tutajifunza jinsi ya kupika…

SOMA ZAIDI


Ujue ugonjwa mpya wa kisonono

Wasomaji wa safu hii, wiki hii tunawaletea taarifa nzito kuhusu usugu wa dawa kwa wenye ugonjwa wa kisonono. Taarifa ya tahadhari iliyotolewa na Shirika la…

SOMA ZAIDI

Homa ya mapafu kwa watoto (Pneumonia)

Leo tutajadili ugonjwa wa homa ya mapafu kwa watoto maarufu kama Pneumonia (Nimonia), ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Inakadiriwa kwamba watoto karibu milioni 1.6…

SOMA ZAIDINo Picture

Mimba kuchoropoka (Miscarriage-2)

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea tatizo la mimba kuchoropoka ili uzidi kuelimika.Dalili kubwa za Miscarriage ni mama mjamzito kutokwa na damu (nzito au nyepesi) sehemu…

SOMA ZAIDI
Tiba ya kisukari-5

Baada ya kuelezea kwa kirefu tiba ya kisukari, leo tunamalizia hivyo ungana nani ili uelimike zaidi. Kuna faida nyingine kubwa zaidi ya kutumia majani ya…

SOMA ZAIDI


Ascaris; Minyoo inayosumbua wengi-2

Wiki iliyopita katika makala haya tuliishia kipengele cha athari za minyoo jamii ya Ascaris. Leo tunaendelea na sehemu ya mwisho ya kipengele kinachofuatia hapo chini…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online