×


Afya


Ascaris; Minyoo inayosumbua wengi-2

Wiki iliyopita katika makala haya tuliishia kipengele cha athari za minyoo jamii ya Ascaris. Leo tunaendelea na sehemu ya mwisho ya kipengele kinachofuatia hapo chini…

SOMA ZAIDI

Ugonjwa wa kisukari unavyosumbua wengi

Ugonjwa wa kisukari kitaalam huitwa Diabetes Mellitus unasumbua watu wengi duniani na hutokea pale tezi kongosho au Pancrease inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya…

SOMA ZAIDI


Mimba kuchoropoka (Miscarriage)

Tatizo la mimba kuharibika na kutoka (kuchoropoka) kabla ya umri wake unaotakiwa kukamilika, limekuwa likiwasumbua wanawake wengi. Leo tutalijadili kwa kina tatizo hili ambalo kitaalamu…

SOMA ZAIDI


Madhara sita ya kutoa mimba

Leo tuzungumzie madhara sita ya kutoa mimba na madhara yake kama tutakavyoona hapa leo. UNAWEZA KUPOTEZA UHAI Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli…

SOMA ZAIDI

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana- 2

TULIANZA wiki iliyopita kueleza magonjwa hatari ya kujamiiana, leo tunaendelea kueleza tukijikita zaidi kufafanua yanavyoambukiza, tukianza na kisonono, endelea… Mara nyingi dalili za magonjwa ya…

SOMA ZAIDI

No Picture

U.T.I janga lisilopewa kipaumbele-2

WIKI jana tulianza kulielezea tatizo la U.T.I (Urinary Tract Infections) na nieleza kuwa hili ni tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo ambalo huwasumbua watu…

SOMA ZAIDI

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana

Nitakuwa nayachambua magonjwa mbalimbali hatari yatokanayo na kujamiiana ambayo kitaalam huitwa Sexually Transmitted Diseases (STD) ili tuweze kujiepusha nayo na wale ambao wanasumbuliwa na magonjwa…

SOMA ZAIDI

Jinsi ya kutengeneza kachori

Mambo vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mahanjumati, kama kawaida tunaandika kutokana na maombi yenu ambapo tunajifunza kutengeneza kachori, karibu tuwe pamoja. MAHITAJI Viazi…

SOMA ZAIDI

No Picture

Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito-2

Juma lililopita tuliona jinsi tatizo hili linavyotokea na tuliligawa katika makundi manne, tukasema kundi moja ni kwa wanaume na tumeona vyanzo mbalimbali kwa wanaume na…

SOMA ZAIDI

No Picture

Maumivu sugu ya tumbo

Tatizo la maumivu sugu ya tumbo humpata mtu yeyote, mwanamke au mwanaume, mkubwa au mdogo. Maumivu haya husumbua kwani huwa hayaishi, yaani yanatulia kwa muda…

SOMA ZAIDI


No Picture

Sababu ya upungufu wa damu mwilini

Leo tuangalie tatizo la upungufu wa damu mwilini. Anaemia ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini. Kiwango cha kawaida…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online