×

Afya

Nazi, Machicha na Mzaituni Katika Kuboresha Ndoa

LEO kwenye safu yetu nitakueleza mwanamke jinsi ya kumsaidia mumeo kumuondoa mchoko kwa kumsinga na kumfanyia masaji.   UFANYEJE MUMEO...

READ MORE

Funga Inavyoweza Kusaidia Kupunguza Unene

MPENZI msomaji ni matumaini yangu unaendelea vyema na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao licha ya kuwa na faida...

READ MORE

Namna ya Kukabiliana na Tatizo la Kutopevusha Mayai!

AFYA DK. CHALE MWANAMKE kutopevusha mayai kitaalamu huitwa Ovulatory Dysfunction . Ni hali ambayo si ya kawaida inayoweza kumtokea mwanamke...

READ MORE

Mungu Ndiye Hupanga Muda wa Kupata Watoto

Na Gabriel Ng’osha | IJUMAA WIKIENDA | XX LOve NINA kila sababu ya kumshukuru M`wenyezi Mungu kwa nafasi aliyonipa, pole...

READ MORE

Sababu za Maumivu Chini ya Kitovu kwa Wanawake, Wanaume

MAUMIVU chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume kitaalamu huitwa Lower Abdominal Pain ni tatizo ambalo huwakumba watu wengi lakini...

READ MORE

Fahamu Aina Mbili za Ugumba

Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiiana) bila kutumia njia yoyote ile ya...

READ MORE

Kula Hivi Mimba Yako Iwe Salama

Mjamzito anapaswa kuepuka ulaji wa kupita kiasi ili asinenepe kupindukia (Obesity). Kulingana na kijarida kiitwacho Krause’s Food, Nutrition and Diet...

READ MORE

Tumuombeeni Mzee Majuto!

Stori: Brighton Masalu | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Tumuombeeni! Lejendari wa vichekesho Bongo, Amri Athman ‘Mzee Majuto’ yu taaban...

READ MORE

Matatizo Katika Ute wa Uzazi kwa Mwanamke

NA DK. CHALE | IJUMAA | AFYA MATATIZO katika ute wa uzazi wa mwanamke kitaalamu tunaita Abnormal Cervical Mucus ....

READ MORE

Ugonjwa Wa Ini ni Hatari Kuliko Ukimwi

Na Dk. Marise Richard | RISASI JUMATANO LEO tunakwenda mbele zaidi kuzungumzia ugonjwa hatari wa homa ya ini au Hepatitis...

READ MORE

Vyakula Bora 5 Muhimu Kwa Mwili Wako

MAKALA: NA MWANDSHI WETU |UWAZI| AFYA LISHE ni moja ya nguzo kubwa kwenye afya ya mtu, unachokula si tu kinafanya...

READ MORE

Aina 3 za Sickle Cell Unazopaswa Kuzijua-2

MAKALA: NA MWANDISHI WETU| UWAZI:  Tabibu Wiki iliyopita nilianza kuelezea dalili za ugonjwa wa sickle cell, leo nitaendelea, ungana nami....

READ MORE

Matatizo Katika Uzalishaji wa Mbegu za Kiume

Na DK. CHALE | IJUMAA | AFYA TATIZO hili kitaalamu huitwa Sperm Disorders na kiasi kikubwa husababisha ugumba kwa mwanaume....

READ MORE

Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (Congenital Heart Diseases)

IDADI ya watoto wanaozaliwa wakiwa na matatizo ya moyo inazidi kuongezeka. Kwa bahati mbaya, ni wazazi wachache ambao huwa wanagundua...

READ MORE

Ulaji Wa Maboga Unavyoimarisha Mwili

MABOGA hutokana na tunda liitwalo boga. Tunda hilo asili yake haijafahamika vizuri ingawaje baadhi ya tafiti zinasema asili yake ni...

READ MORE

Aina 3 za Sickle Cell Unazopaswa Kuzijua

Tabibu wa Uwazi | Afya KUNA aina tatu za upungufu wa damu mwilini kitaalam huitwa sickle cell na kila mtu...

READ MORE

Tatizo la Kuvimba Miguu Wakati wa Ujauzito

DK. CHALE | IJUMAA | AFYA KWA kawaida katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito hali ya mama...

READ MORE

Supu ya Kichwa cha Samaki

LEO tutaongelea jinsi ya kupika supu ya kichwa cha samaki, inaweza kuwa aina yoyote ile ya samaki. Kuna wasiopenda kichwa...

READ MORE

Chakula cha Kuzuia Kuzeeka Haraka

Na Nwandishi Wetu | Uwazi| YOU ARE WHAT YOU EAT ILI kudumisha muonekano wa ujana kwa mwili wako unahitaji kuupa...

READ MORE

Upendo Women’s Group Watoa Msaada Wodi ya Wazazi Mwananyamala

Umoja wa Wanawake Watanzania waishio nchini Ubeljiji, ‘Upendo Women’s Group’ leo wametoa msaada wa vifaa vya kwenye wodi ya wajawazito...

READ MORE

Jinsi ya Kupika Kitoweo cha Kuku

  KITOWEO cha kuku kinapendwa na watu wengi, leo nitaelezea mapishi tofauti ya kitoweo hicho. MAHITAJI Kuku mmoja wa 1...

READ MORE

Homa ya Matumbo kwa Mtoto

UGONJWA wa homa ya matumbo kwa watoto, ni wa kawaida kwa watoto kutokana na aina ya michezo na uchafu wanaokula,...

READ MORE

Tambua Dalili za TB ya Tezi (SCROFULA)

KIFUA kikuu (TB) kinachoathiri tezi au ngozi kitaalamu huitwa Scrofula . Ugonjwa huu husababishwa na vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa kifua...

READ MORE

Sababu za Utokwaji wa Majimaji Katika Via vya Uzazi vya Mwanamke

TABIBU WA AMANI| GAZETI LA AMANI| AFYA Uhali gani mpendwa msomaji na mfuatiliaji wa makala hizi za afya. Leo tutakuwa...

READ MORE

Wataalamu Upasuaji Kujadili Uboreshaji Huduma

WATAALAM na wadau mbalimbali wa masuala ya upasuaji wa binadamu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna  wanavyoweza kuongeza huduma...

READ MORE

Magonjwa Haya, Huathiri Nguvu za Kiume na Kuharibu Kizazi kwa Wote, Wake na Waume.

Na TABIBU WA UWAZI| GAZETI LA UWAZI| MAKALA KUNA magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni...

READ MORE

Hatua Nne za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

MGONJWA wa vidonda vya tumbo katika hatua ya kwanza asipopata tiba, tindikali nyingi iliyozalishwa tumboni hushuka na kuingia kwenye utumbo...

READ MORE

Tiba Asili ya Majipu

Na Hamida Hassan/GPL WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na majipu lakini hawajui namna ya kuyatibu, baadhi hutibu kwa kutumia antibiotic lakini...

READ MORE

Kababu za Mayai na Nyama ya Kusaga

Na Gladness Mallya | RISASI JUMAMOSI | MAPISHI NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana tena katika safu hii ya...

READ MORE

Utokwaji na Majimaji Katika Via vya Uzazi vya Wanawake

Na MWANDISHI WETU/GPL KWA kawaida wanawake hutokwa na ute katika via vya uzazi na hasa wale waliopevuka na kuwa na...

READ MORE

Pilau ya Mayai na Zabibu Kavu

KAANGIZA NA AMANI| GAZETI LA AMANI| MAPISHI LEO kwenye safu hii tutaongelea jinsi ya kupika pilau ya mayai ya kuchemsha...

READ MORE

Sababu 10 Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito

WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo Sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya...

READ MORE

Mambo 10 Yanayofanya Mtu Kunenepa..

WIKI iliyopita nilieleza kwa urefu tatizo la watu wanene na tukazitaja sababu tatu za watu kunenepa ukiacha zile za kula...

READ MORE

Kwa Nini Wanaume Huishiwa Nguvu za Kiume?

Na Tabibu wa Uwazi| Gazeti la Uwazi| Makala KUISHIWA nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi hasa...

READ MORE

Miaka 22 ya Uvimbe wa Ajabu

STORI: MAYASA MARIWATA NA GLADNESS MALYA/GPL/Uwazi UJAFA hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kijana Robert Mkunya (30) kukumbwa na uvimbe...

READ MORE

Ugonjwa wa Usonji Kwa Watoto (Autism)

USONJI au Autism kwa kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua watoto wengi lakini kwa bahati mbaya, jamii hvaina uelewa wa kutosha kuhusu...

READ MORE

Uvimbe wa Kizazi ‘Uterine Fibroids’

VIMBE wa Fibroid pia unajulikana kwa majina kama Leiomyoma, Myomas na Fibromyomas. Uvimbe huu siyo kansa na mara chache sana...

READ MORE

Upungufu wa Nguvu za Kiume; Sababu na Tiba

Na Daktari wa Amani| Gazeti la Amani| Makala WIKI iliyopita tulianza kuangalia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na...

READ MORE

Jinsi ya Kuitafuta Ngozi Nzuri Kwa Kutumia Matunda

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| MAKALA LEO nitaongelea suala zima la binadamu kuwa na ngozi nzuri na yenye mvuto...

READ MORE

Mambo 10 Yanayofanya Mtu Kunenepa

Na Mwandishi Wetu/GPL MIONGONI mwa maswali ya wasomaji wetu ni juu ya watu ambao wametumia njia mbalimbali ili kuondoa uzito...

READ MORE