×

Afya

Matatizo Yanayomfanya Mwanamke Asipate Ujauzito Haraka

KWA kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya...

READ MORE

Fahamu Athari za Vyakula Vyenye Wanga Mwilini

LEO nataka nikueleze kidogo kuhusu sayansi ya chakula aina ya wanga. Mwili wako hutumia vyakula vikuu aina tatu ambavyo ni...

READ MORE

Fahamu Maajabu 15 Ya Dawa Ya Meno Usiyoyajua

KWA kawaida tunazifahamu dawa za meno na tunatumia majumbani lakini pia zimezoeleka kuitwa kama dawa ya mswaki. Njia kuu moja...

READ MORE

Maajabu ya Dunia: Hii Ndo Mimea 7 Inayokula Nyama na Wadudu

Mimea mingine hukua mahali ambapo haiwezi kupata virutubisho vyote vinavyohitaji kutoka kwenye mchanga. Ili kuhakikishi mimea hii inapata madini hayo...

READ MORE

Upimaji Afya Bure Moshi, St Mary Goreti Waandaa Zoezi Maalum, Washiriki Kuchangia Damu

Kilimanjaro: Uongozi wa Shule ya Sekondari ya St Mary Goreti iliyoko Moshi, mkoani Kilimanjaro imeandaa zoezi la upimaji wa afya...

READ MORE

Hizi Hapa Faida za Kula Parachichi Kiafya

PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa...

READ MORE

Diwani Mkuranga Awaliza Wananchi Wake Kwa Furaha

PWANI: 2 Machi 2023, Diwani wa Kata ya Mkuranga mkoani Pwani, kupitia Chama cha Mapinduzi, Shabani Manga, jana (Jumatano) alizindua...

READ MORE

Bima Ya Afya Kwa Wote, Waziri Ummy Afunguka Watanzania Watakavyonufaika-Video

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema lengo la Bima ya Afya kwa Wote ni kuchangiana kwa gharama za matibabu kwa...

READ MORE

Fahamu Sababu Za Maumivu Ya Korodani, Nini Ufanye Upatapo Tatizo Hili

Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo...

READ MORE

Nafasi za Kazi StarTimes Tanzania Company Limited, Finance Assistant

Finance Assistant Finance Assistant at StarTimes November, 2022 Position: Finance Assistant Reporting To: Finance Manager Location: Dar Es Salaam KEY...

READ MORE

Matumaini kwa Kinamama na Watoto Mkoani Tanga Baada ya Kupokea Vifaa Tiba Kutoka Vodacom

Vodacom Tanzania Foundation imetoa msaada wa vifaa tiba vya kitengo cha wagonjwa mahututi na wajawazito, vyenye thamani ya zaidi ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tanzania Health Promotion Support (THPS), Care and Treatment Technical Advisor

Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011....

READ MORE

Ziro Malaria Inaanza na Mimi, Nachukua Hatua Kuitokomeza

#ZIROMALARIA: Unaambiwa mbu anayeeneza Malaria hamuogopi baunsa wala mtu yeyote! Usipofuata maelekezo ya jinsi ya kujikinga na Malaria lazima utaambukizwa....

READ MORE

Nusu ya Wanaume Nchini Uingereza Hawafui na Kutandika Mashuka

UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti la Bedding Company la nchini uinereza umegundua kuwa zaidi ya nusu ya wanaume nchini...

READ MORE

Ripoti Inaonesha Wanawake Wanaongoza kwa Magonjwa ya Ngono Meatu

Kamati ya Ukimwi Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, imesema kuwa katika Wilaya hiyo takwimu zinaonyesha uwepo wa idadi...

READ MORE

Sahau Kuhusu Mswaki, Tafiti Zinadai Kubusiana Mara 4 kwa Siku Kunadumisha Afya

DAKTARI bingwa wa meno kutoka nchini Uingereza anasema watu wanapaswa kubusiana dakika 4 kwa siku ili kudumisha afya ya meno,...

READ MORE

Muhimbili Kuanzisha Benki ya Maziwa

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, inatarajia kuanzisha benki ya maziwa ya binadamu. Akizungumza leo Ijumaa Machi 18, wakati wa ziara ya...

READ MORE

Watu Nane Wafa kwa Corona Tanzania

Wizara ya Afya imesema kuanzia Februari 5, 2022 hadi Machi 4, 2022 kumekuwa na visa vipya 290 vya COVID-19, huku...

READ MORE

Wachangia Damu Kutambulika Kwa Kadi Za Kieletroniki

SERIKALI kupitia wizara ya Afya imejipanga kutoa kadi za kieletroniki kwa wachangiaji damu wanaojitolea mara kwa mara angalau mara tatu...

READ MORE

Sakata la ‘Amka Umeze P2’, Waziri Ummy Atoa Tamko

Kufuatia kuwepo kwa maneno yanayosambaa ‘Amka umeze P2’, Waziri wa ya Afya, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa wao kama Serikali wasingependa...

READ MORE

Matumizi ya P2 Yapaa, Wabunge Wachanganyikiwa

Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye...

READ MORE

Mke wa Prof Jay: Tumeruhusu Asaidiwe

IKIWA ni wiki tatu sasa tangu rapa maarufu na nguli wa Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ alazwe katika Hospitali ya...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Ukimwi Chaibuka, ni Hatari Kuliko cha Awali

Kirusi kipya cha HIV kimegundulika Uholanzi ambapo Wataalamu wanasema ni hatari zaidi kuliko kirusi kilichozoeleka siku zote kwani kirusi hiki...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dozi 800,000 za Chanjo

Waziri wa Afya, Ummy leo Januari 26, 2022 amepokea dozi 800,000 za chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali...

READ MORE

Kampuni Inayonunua Mkojo wa Wajawazito Kuchunguzwa

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Corona Yasalimu Amri Afrika

Kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa mlipuko wa virusi vya Omicron, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema idadi ya...

READ MORE

Rais wa Msumbiji & Mkewe Wakutwa na Uviko-19

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura Nyusi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya...

READ MORE

Roman Reigns Akutwa na Corona

Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game...

READ MORE

92 Wafariki kwa Virusi vya LASSA

WATU 92 raia wa Nigeria wamefariki kuanzia Januari 2021 mpaka sasa kutokana na virusi vya Lassa. Taarifa zinaeleza kua majimbo...

READ MORE

Walichanjwa Watakiwa Kuchanja Tena

Kampuni inayotengeneza chanjo za Moderna imesema Watu waliomaliza chanjo zote zinazotakiwa wanapaswa kupata chanjo ya ziada (Booster) kwakuwa imeonesha kusaidia...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Morrison Mjanja Kweli, Anajilinda na Corona

KIUNGO Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Bernard Morrison ameanza kujihami na changamoto za kubambikiwa...

READ MORE

 Dozi Nyingine 115,200 za Johnson & Johnson Yawasili Nchini

Tanzania imepokea shehena ya Chanjo aina ya Janssen Dozi 115,200 zitakazotumika kuchanja wananchi 115,200 kwa ufadhili wa Serikali ya Ubeligiji...

READ MORE

Waziri Gwajima: Viongozi Wasiochanja Waachie Ngazi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema msimamo wa Tanzania chanjo ni hiari...

READ MORE

Tahadhari: Kirusi Kipya cha Corona

Shirika la Afya Duniani (WHO), Novemba 26, 2021 liliripoti uwepo wa aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kiitwacho “Omicron”, kinachosemekana...

READ MORE

Biashara ya Ngono Sh 3000 Yawamaliza Wavuvi

MHITIMU wa Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo cha Afya KCMC katika taaluma ya Huduma ya Afya ya Jamii, Maseke Mgalo...

READ MORE

Mjadala Juisi ya Miwa Kuwa na Sumu

WAKATI juisi ya miwa ikionekana kupendwa zaidi Utafiti wa awali uliyofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sayansi...

READ MORE

Mwanamke Kupata Mimba Akiwa na Mimba

SAYANSI inasitasita kuamini juu ya uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito huku akiwa na ujauzito mwingine tayari.   Lakini visa vilivyowatokea...

READ MORE