×

Afya

Wasiokula Kuku, Mayai Watahadharishwa Kuhusu Chanjo ya Corona

WATU wasiokula mayai na kuku wamepewa tahadhari dhidi ya kupewa chanjo ya Corona kwani inaweza kuwadhuru kwa njia mbali mbali...

READ MORE

WHO Yashindwa Kuongelea Mwisho wa Corona

Mkurugenzi wa Programu ya Hali ya Dharura ya Shirika la Afya Ulimwenguni Mike Ryan amesema kuwa sio kweli kutarajia kumalizika...

READ MORE

Kampuni Inayonunua Mkojo Dar Kuchunguzwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Shigongo: Ukitaka Kuwa Salama, Shughulikia Kinga Yako ya Mwili

NI Jumamosi tulivu nikiwa naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Moyo wangu umejawa na huzuni kutokana na vifo vya...

READ MORE

Dk. Mollel: Wanadai Hatutoi Data za Corona ni Ujinga Mtupu – Video

  SERIKALi imesema matumizi ya data za magonjwa yote, ni kwa ajili ya kuchakata na kisha kuja na mbinu za...

READ MORE

Serikali Yatoa Kanuni 8 za Kujikinga na #COVID19

  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kusimamia na kusisitiza utekelezaji wa tahadhari ya magonjwa...

READ MORE

WHO Yaomba Takwimu za Corona Tanzania

  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema shirika lake halijapokea taarifa kutoka #Tanzania kuhusu...

READ MORE

Serikali Kuajiri Watumishi 12,000 Afya

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa inakusudia kuajiri watumishi wa afya 12,476 katika mwaka...

READ MORE

Afrika Kusini Yasitisha Chanjo ya Corona (AstraZeneca)

Afrika Kusini imesitisha mipango ya kuanza utoaji chanjo ya Corona (AstraZeneca) na Oxford baada ya utafiti kuonyesha kuwa chanjo hizo...

READ MORE

Upandikizaji wa Kwanza wa Uso na Mikono

MMAREKANI Joe DiMeo (22), alifanyiwa upasuaji wa kwanza wa uso na mikono wa saa 23 huko New York, NYU Langone,...

READ MORE

Dawa 46 za Tiba Asili Zasajiliwa Tanzania

Dawa 46 za tiba asili zimesajiliwa na msajili wa baraza la tiba asili Tanzania baada ya kuhakikiwa na mkemia mkuu...

READ MORE

Serikali Yasikitishwa Na Kitendo Cha Askali Kumpiga Ndugu Wa Mgonjwa

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesikitishwa na kitendo askari wa ulinzi (SUMA –...

READ MORE

Wagonjwa Wapya wa Saratani Waongezeka Tanzania

  TANZANIA  kuna ongezeko la wagonjwa wapya wa Saratani wapatao 50,000 na inakadiriwa kuwa, ifikapo mwaka 2030 kutakuwa na ongezeko...

READ MORE

Tandabui Yafadhili Wataalamu wa Masomo ya Afya 480

VIJANA 480 wasiokuwa na uwezo wamepata ufadhili wa masomo katika fani mbalimbali katika Chuo cha Afya cha Tandabui kilichopo jijini...

READ MORE

Taharuki! Chanjo Corona Kudaiwa Kuongeza Maumbile ya Kiume

WAKATI mataifa yaliyoendelea yakihaha kusambaza kwa wingi chanjo ya maambukizi ya Virusi vya Corona, taharuki imeibuka baada ya taarifa kusambaa...

READ MORE

Gwajima Aipongeza Hospitali ya Muhimbili

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, ameipongeza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa...

READ MORE

Dkt. Mhame: Ongezeni Kasi Katika Huduma za Maabara

Wataalam wa Maabara nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kuhakikisha huduma za tiba inayotolewa inafuata miongozi ya wizara na kuhakikisha wanabadili...

READ MORE

Dk. Gwajima Aridhishwa Uzalishaji Dawa Kiwanda cha Keko

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda...

READ MORE

Biashara Kuuza Mioyo ya Binadamu Yashtua

HATARI kubwa! Ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia kuongezeka kwa watu wanaofanyiwa upasuaji wa kupandikiza moyo ili kuokoa maisha yao.   Maendeleo...

READ MORE

Daktari Ashauri Watu Kutooga, Yeye Hajaoga Miaka 5

DAKTARI bingwa wa tiba ya uzuiaji wa magonjwa, James Hamblin, alifanya utafiti kuhusu utakatishaji wa ngozi ambao hivi karibuni umechapishwa...

READ MORE

Mbunge Taletale Awaombea Wahitimu Mgambo Nafasi 5 Kujiunga JKT Mkuyuni

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Bakari Msurwa amehitimisha mafunzo ya jeshi la akiba wilayani Morogoro. Hafla ya kilele cha...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 MDH, Afisa wa kliniki

  JOB TITLE: CLINICAL OFFICER (02 Positions) WORK STATION:  Kinondoni Municipal Council Reports to: Health Facility In-Charge Duties and Responsibilities...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 MDH, Mtaalam wa Dawa

JOB TITLE: Pharmaceutical Technician (02 Positions) WORK STATION:  Kinondoni Municipal Council REPORTS TO: Health Facility In-charge Job Purpose Perform the...

READ MORE

Kisukari Tishio Kuliko Ukimwi

WAKATI Ukimwi ukiwa ni moja ya magonjwa yanayoogopwa na watu wengi duniani, imebainika kuwa ugonjwa wa kisukari ndio unaoua watu...

READ MORE

Gonjwa Tishio la Wanawake Latajwa

  WAKATI Serikali ikiendelea kuwapatia chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi (HPV) mabinti wenye miaka tisa hadi 14;...

READ MORE

Doris Mollel Foundation na Vodacom Walivyoazimisha Siku ya Mtoto Njiti

DORIS Mollel Foundation kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Kampuni ya simu ya Vodacom, jana waliazimisha siku ya Mtoto Njiti...

READ MORE

Mapya: Chanjo ya Moderna Inazuia Covid-19 kwa 95%

CHANJO mpya inayozuia ugonjwa wa Covid-19 ina karibu 95% ya ufanisi , data kutoka Kampuni ya Marekani Moderna inaonesha, Matokeo...

READ MORE

Watanzania Watakiwa Kupima Afya Zao Kila Mara Kudhibiti Kisukari

Chukua hatua leo, badilika kesho… Kisukari; Wauguzi kwa mageuzi katika sekta ya afya. Maadhimisho ya Siku ya Kisukari hapa nchini...

READ MORE

Afya za Watoa Huduma za Hsafi Simiyu Hatarini

  AFYA za wafanyakazi katika sekta ya usafi hususani watoa huduma ya kutapisha vyoo katika mji wa Maswa na Bariadi...

READ MORE

Serikali Yatangaza Majina Madaktari Wapya Walioitwa Kazini

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari...

READ MORE

Kenya: Wauguzi 16 Wafariki kwa Corona

WIZARA ya afya nchini Kenya imetangaza kuwa wauguzi 16 wamepoteza maisha, wakiwa miongoni mwa wauguzi 945 walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19...

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Afya vya Serikali 2020/21

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura 129, ili kusimamia na...

READ MORE

Aliyepona Ukimwi Bongo Aibuka na Mpya!

ARUSHA: MWANAMKE Rose Lyimu, mkazi wa Arusha aliyeibuka hivi karibuni na kudai kuwa amepona ugonjwa wa Ukimwi (VVU), alioishi nao...

READ MORE

Daktari Mweusi Mwenye Dawa ya Corona Inayomkuna Trump

STELLA IMMANUEL ni daktari ambaye amekuwa chanzo cha mkanganyiko kuhusu madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu dawa ya malaria kuwa na uwezo...

READ MORE

Madagascar Hatarini Kuelemewa na Wagonjwa wa Corona

MAOFISA kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar,  wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana...

READ MORE

WHO Kufanya Utafiti Dawa Mitishamba za COVID-19

SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) na kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika (CDC) yameanzisha juhudi kuangalia uwezekano wa madawa...

READ MORE

Fursa ya Ajira (Kwenye Tasnia ya Habari na Masoko – Marketing)

  GLOBAL GROUP, ni kampuni inayomiliki, pamoja na makampuni mengine, kampuni ya uchapishaji magazeti – Global Publishers Ltd na runinga...

READ MORE

Tumia Mshumaa Kuondoa MagagaMiguuni!

NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji wa DONDOO ZA UREMBO tunakutana hapa kupeana elimu ya urembo. Kutokana na wengi kulalamika...

READ MORE

Unasumbuliwa na Maumivu ya Kiuno, Mgongo, Mifupa? Soma Hapa

WATU wanaofanya shughuli nzito zinazohitaji nguvu kubwa za mwili ikiwemo kubeba mizigo mizito na zile zinazohusha kuinama au kuchuchumaa kwa...

READ MORE

Dawa ya Corona Madagascar Imebuma? Mji Mkuu ‘Lockdown’

MADAGASCAR imeuweka mji  mkuu wake, Antananarivo,  kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya Corona Virus ikiwa ni miezi...

READ MORE