×

Afya

Ijue Saratani ya Shingo ya Kizazi na Namna ya Kujikinga

HII ni saratani inayojitokeza katika shingo ya kizazi na kusambaa ndani na nje ya kizazi. Hii ni kutokana na ukuaji...

READ MORE

Ujue ugonjwa hatari wa wanawake

UGONJWA uitwao Endometriosis ni ugonjwa hatari ambao wanawake wengi hawaujui lakini unasababishwa na tishu zinazotengeneza ukuta wa ndani wa mfuko...

READ MORE

Zijue Aina za Ugumba kwa Wanawake / Wanaume

UGUMBA ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanakutana kimwili bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi...

READ MORE

Madhara ya magonjwa ya zinaa kwa wajawazito, watoto

KATI ya maradhi nane ya zinaa, manne yanatibika, nayo ni kaswende, kisonono, chlamydia na trichomoniasis.  Mengine manne yanayosaba­bishwa na virusi...

READ MORE

Tatizo la mtindio wa ubongo kwa watoto

MAMBO mengi yamesemwa kuhusu tatizo la mtindio wa ubongo kwa watoto, hali ambayo imekuwa ikisababisha jamii mbalimbali kuwanyanyapaa na hata...

READ MORE

Mwanamke kukosa hamu na msisimko wa tendo la ndoa -2

WIKI iliyopita tulianza kuliangalia tatizo hili la mwanamke kukosa hamu na raha ya tendo la ndoa ambalo kitaalam huitwa low...

READ MORE

Njia zinazoweza kumfanya mwanamke asiyezaa azae

MIRIJA ya kupitisha mayai ya mwanamke iliyoziba inaweza kusababisha ugumba, ila bado nafasi ya kupata mimba inakuwapo endapo tu uchunguzi...

READ MORE

Sababu za mtu kushindwa kupunguza uzito

UKWELI ni kwamba kula kwa kuzingatia matakwa ya afya yaani kufanya dayati ni ngumu kwa baadhi ya watu kwa sababu...

READ MORE

Sababu Sita Wanawake Kupata Ukimwi Zaidi ya Wanaume

ZIPO sababu sita ambazo zinasababisha wanawake wengi zaidi kuonekana wanapata maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ukilinganisha na...

READ MORE

Mwanamke kukosa hamu na msisimko wa tendo la ndoa

TATIZO hili la mwanamke kukosa hamu na raha ya tendo la ndoa kitaalam huitwa low sex drive. Tatizo hili huwa...

READ MORE

Fahamu Kirusi cha Ukimwi Kinavyoishi Mwilini – 2

WIKI iliyopita tulieleza kwa kirefu juu ya kirusi cha Ukimwi kinavyoishi mwilini.  Tunaendelea kuelimisha kuwa kuongezeka kwa wingi wa Virusi...

READ MORE

Ugonjwa wa Figo Unaohusiana na Ukimwi

KUNA matatizo mengi ambayo hukumbana nayo wagonjwa wa Ukimwi duniani kote. Figo (kidney) ni moja ya kiungo muhimu cha kuchuja...

READ MORE

Vijue vyakula vya kuongeza wingi wa damu

UPUNGUFU wa damu ni ile hali ya kiasi cha damu mwilini kuwa kidogo kuliko kinachotakiwa na mwili kulingana na hali...

READ MORE

Tatizo la fangasi sehemu za siri kwa wanawake

K ATI ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake...

READ MORE

Shinikizo la damu husababisha

SHINIKIZO la juu la damu (high blood pressure) ni miongoni mwa maradhi yanayoendelea kuwapata watu wengi nchini na duniani kwa...

READ MORE

Fahamu kirusi cha Ukimwi kinavyoishi mwilini

 ILI kuweza kuingia ndani ya seli za binadamu na kuzaliana, kirusi cha ugonjwa wa Ukimwi kifupi HIV hutumia kiasili cha...

READ MORE

Fahamu vinavyoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke

UGUMBA ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kuwa primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba...

READ MORE

Jinsi ya kulikabili tatizo la kuvimba miguu!

WATU wengi hasa watu wazima wamekuwa wakipata matatizo ya kuvimba miguu na kupata maumivu makali.  Tatizo la kuvimba miguu husababishwa...

READ MORE

Elewa tatizo la ugumba kwa wanaume!

TATIZO la ugumba limekua kubwa na umefika wakati lizungumzwe kwa kuangalia upande wa pili wa shilingi.  Inaelezwa kuwa katika kila...

READ MORE

Fahamu kuhusu ugonjwa wa afya ya akili

WATAALAM wa afya wamebaini kuwa siyo watu wote wanaovuta bangi na kunywa pombe kupita kiasi hupenda kufanya hivyo. Wengine hulazimika...

READ MORE

Fahamu hatua nne za mtu kujijua ana Ukimwi

UGONJWA wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa...

READ MORE

MAAJABU YA KAROTI KATIKA KUTIBU MACHO

MATATIZO mengi yanayowapata wana jamii ya leo hii kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na ulaji usiokuwa mzuri na kutozingatia kanuni bora...

READ MORE

 USIYOYAJUA KUHUSU MATATIZO KATIKA KIZAZI!

K ATIKA matoleo yaliyopita tumeona kwa undani matatizo mbalimbali ya ukeni (Vaginal Diseases) na matatizo katika mlango wa kizazi (Cervical...

READ MORE

JINSI YA KUJIKINGA NA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI (DYSMENORRHEA)

WANAWAKE wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kupata maumivu wakati wa hedhi ambalo kitaalam huitwa period pains.  Period pains ni...

READ MORE

SABABU ZA MAUMIVU YA KIUNO KWA WANAWAKE

KUNA sababu nyingi zinazofanya wanawake wengi wasumbuliwe na maumivu ya kiuno mara kwa mara hasa wakati wa hedhi na kuna...

READ MORE

SULUHUSHO LA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME-2

Wiki iliyopita niliianza mada hii ambayo inaonekana kugusa wengi juu ya tatizo la upungufu wa nguvu za kieme. SASA ENDELEA…...

READ MORE

GLAUCOMA; UGONJWA USIO NA DALILI UNAOSABABISHA UPOFU

 GLAUCOMA ni ugonjwa hatari sana na tata ambao huathiri seli za macho zinazosaidia kuona na huweza kusababisha mtu kupoteza uwezo...

READ MORE

MAUMIVU YA KIFUA NA TIBA YAKE

MauMivu ya kifua ni dalili inayotokea watu wengi mara kwa mara na kati ya sababu inayoleta watu wengi hospitali. Kuna...

READ MORE

AINA MBALIMBALI ZA MAUMIVU YA KICHWA!

KUUMWA kichwa kumegawanyika sehemu kuu nyingi sana, inaweza kutokea kwa kusababishwa na mtiririko wa damu kwenda kichwani au matatizo ya...

READ MORE

SABABU 6 ZINAZOFANYA MTOTO MCHANGA KULIA USIKU

 KWA mzazi yeyote anaelewa usumbufu unaotokana na mtoto anayelia usiku. Watoto wachanga wenye umri chini ya miezi 6 wanakuwa na...

READ MORE

SULUHISHO LA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME

KwA muda mrefu sasa huwa tunaandika tatizo hili na kutoa ushauri. Kwa muda mrefu sasa suala hili la unyumba linajadiliwa...

READ MORE

FAHAMU KINACHOSABABISHA MIGUU KUFA GANZI

 KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na...

READ MORE

TATIZO LA KUWASHWA MWILI NA TIBA YAKE

KUWASHWA katika ngozi ya mwili ni kitu kinachomfanya mwanadamu kukosa utulivu kutokana na kero anayopata. Hutokea mwanadamu kukumbwa na muwasho...

READ MORE

KAMA UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME, HII INAKUHUSU

    UTAFITI wa hivi karibuni nchini Uingereza umebaini tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ubora wake wake...

READ MORE

KUHARIBIKA KWA CHUJIO ZA FIGO (GLOMERULONEPHRITIS)

KUHARIBIKA kwa chujio kitaalam glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika na uchujaji...

READ MORE

FAHAMU KANSA YA TITI, UZAZI, KISUKARI YANAVYOKUWA YAKURITHI

Kuna aina fulani ya magonjwa ambayo hupatikana katika familia,  mengine yanayotokana na kurithi na mengine kwa sababu familia hushiriki mazingira...

READ MORE

MAAJABU YA KIFAA CHA TIBA MPYA YA UKIMWI

JANGA la ugonjwa wa Ukimwi lililodumu kwa zaidi ya miaka 36 linaweza kufikia kikomo endapo tiba mpya iliyogundulika nchi Marekani...

READ MORE

MAGONJWA MA-4 HATARI KWA MAMA MJAMZITO

UJAUZITO mara nyingi huchangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi wa tisa mwanamke anapojifungua.    Katika kipindi...

READ MORE

FIGO ZINAVYOHARIBIKA KWA KISUKARI

UGONJWA wa figo unaotokana na kuharibiwa na kisukari hujulikana kitaalam kwa jina la Diabetic Nephropathy.  Moja ya madhara ya ugonjwa...

READ MORE

JINSI YA KUMJUA MTOTO MWENYE TUNDU KWENYE MOYO

Kama kawaida safu hii huwa tunajadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu ya kuimarisha afya...

READ MORE