×

Amani

A-Z Kidudumtu Cha Kwenye Mboga Kinachodaiwa Kuua Watu

KUFUATIA kuwapo kwa hofu kubwa kwa watumiaji wa mbogamboga na matunda kuwa kuna kidudumtu ambacho ukikila kwenye mboga au tunda...

READ MORE

Uwoya: Kuzaa Walizwe Wasio na Watoto

STAA mwenye mvuto wa kipekee wa Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa anachukizwa na ishu ya kuulizwa lini ataongeza mototo...

READ MORE

Kimini Cha Kajala Chazua Gumzo Ukumbini

AMEYAZUA tena! Staa mtata katika kinu cha ‘kutwangia’ filamu Bongo, Kajala Masanja, ambaye kama utasumbuka kumtambua kwa jina hilo, mtaje...

READ MORE

Wema Ajipanga Kutii Wito wa Shehe Mkuu

MALKIA wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu anajipanga kutii wito wa Shehe Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum...

READ MORE

Gonjwa La Zari Hofu Yatanda, Siku Chache Mumewe Kufariki Dunia

PRETORIA: Takriban siku 25 baada ya kifo cha aliyekuwa mumewe, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Sitti Mtemvu Nilivuliwa Taji La Miss Tanzania Ila Nilikuwa na Umri stahiki (Video)

Sitti Mtemvu akipongezwa na baba yake, Aliyekuwa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu baada ya kuvishwa taji la Redd’s Miss Tanzania...

READ MORE

Barnaba Ajiponda Kuhusu Tatuu

KAJIPONDA! Msanii Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’ amejiponda mwenyewe baada ya kuwashauri watu na wasanii wengine wasichore tatuu hovyo, huku yeye...

READ MORE

Kadja Achanganywa Na Mama Yake

Msanii wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ amesema kuwa yupo kwenye wakati mgumu wa kutaka kujifungua huku akiwa bado...

READ MORE

Kidoa Amnanga Gigy Kupukutika Msambwanda

Dar es Salaam: Msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni video queen, Asha Salum `Kidoa’ amemnanga staa mwenzake, Gift Stanford...

READ MORE

Bella Kuwadi wa Jack Pemba?

  Dar es Salaam: Miss Ruvuma wa mwaka 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ amefungukia ishu ya kusemekana kwamba hajawahi kutoka kimapenzi...

READ MORE

Sajenti Adaiwa Kunasa Ujauzito wa Dullah Makabila

Dar es Salaam: Msanii wa filamu za Kibongo, Husna Iddi `Sajenti’ anadaiwa kunasa ujauzito wa staa wa Singeli Bongo, Dullah...

READ MORE

Young D Akubali Kumlea Mwanaye

MZAZI mwenza wa mkali wa Singo ya Bongo Bahati Mbaya, David Genzi `Young D,’ Mamisa amefunguka kuwa amemaliza tofauti zake...

READ MORE

Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa Ujambazi… Ndugu Washusha Kisomo Kizito

DAR ES SALAAM: Ndugu wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Salum Almas (pichani) aliyeuawa na...

READ MORE

Njia Nne za Kulinogesha Penzi Lako

KUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya....

READ MORE

Mizimu wa Mwamuziki wa Hip Hop Duniani 2PAC Kuitikisa Dunia

YAPATA takriban miaka 20 sasa tangu rapa mwenye historia ndefu kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop duniani, Tupac Amaru...

READ MORE

Rayuu Atoa Sababu Za Kutokufunga Mwezi Mtukufu

Stori: Mayasa Mariwata |Amani | Habari MSANII kutoka Bongo Muvi, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kuwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo...

READ MORE

Nisha Adai Kuwa Na Uhusiano Na Mbwa

 Stori: Gladness Mallya | Amani | Habari WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar Kumsomea Wema Sepetu Kisomo Kizito!

 STORI: GABRIEL NG’OSHA NA MAYASA MARIWATA | AMANI | HABARI DAR ES SALAAM: Kufuatia mabalaa mbalimbali ambayo yamekuwa yakimuandama Miss...

READ MORE

Sabby Ajutia Kupiga Picha Za Nusu Utupu

Stori: Mayasa Mariwata, Amani, Tatu Tamu MAJUTO! Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedai kuwa anajutia maisha yake...

READ MORE

Gwajima Ajinasibu Kwa Utajiri

Stori: Brighton Masalu |Amani |Habari DES SALAAM: ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (GCTC) ‘Ufufuo na...

READ MORE

Jacqueline Wolper: Ilibaki Kidogo Niolewe Na Kiba

 Stori: Ally Katalambula, Amani, Habari UTAMU wa ubuyu ukae chini na umung’unye taratiiibu! Staa wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe...

READ MORE

Mwanaheri Niacheni Na Funga Yangu

Stori: Mayasa Mariwata, Amani, Tatu Tamu MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa, anawashangaa watu wanaodhani kuwa katika kipindi...

READ MORE

Amanda Ampigia Chapuo Jokate kwa ‘Mapouda’

NA MAYASA MARIWATA | AMANI | TAMU TATU DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameweka wazi...

READ MORE

Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…Ulimwengu wa Mahaba

NA MWANDISHI WETU | AMANI | ULIMWENGU WA MAHABA KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri....

READ MORE

Mume wa Zari hoi Akisumbuliwa na Maradhi ya Shambulio la Moyo

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM KAMPALA: Habari mbaya zilizolifikia Amani zinadai kuwa, aliyekuwa mume wa staa...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Bado Inazidi Kupeta Mitaa Mbalimbali

KWA uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Amani, inaonesha kuwa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili bado inazidi kupeta...

READ MORE

Undani wa Kifo cha Dogo Mfaume na Ugonjwa Uliomuua, Uswahilini Simanzi tupu

Dogo Mfaume – Kazi Ya Dukani (Official Video) STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Mke wa Mzee Yusuf Atamani Kuacha Muziki Kama Mumewe

  RICHARD BUKOS | GAZETI LA AMANI| DAR ES SALAAM MUIMBAJI wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Leyla Rashid, amefunguka...

READ MORE

Kisa Ajali ya Wanafunzi Arusha…‘School Bus’ Sasa Zawahenyesha Wazazi

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Baadhi ya wazazi wenye watoto wanaosoma shule za...

READ MORE

VIDEO: Eneo la Ajali Mazito Yaibuka Karatu, Viongozi wa Kijiji, Madereva Wanena

IMENDIKWA NA HILALI DAUDI, GABRIEL NG’OSHA NA GLADNESS MALLYA |AMANI ARUSHA: Siku nne baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo...

READ MORE

Steve Nyerere Majanga Tena

NA GLADNESS MALLYA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM Baada ya hivi karibuni nyumba yake kuvamiwa na kunyofolewa...

READ MORE

Mil 300 Zatengwa Kumung’oa Mwakifwamba Urais Bongo Muvi

Na Gladness Mallya | AMANI |Dar es Salaam Wakati mambo yakizidi kupamba moto kutokana na maandamano yaliyofanywa hivi karibuni na...

READ MORE

Sajent Aingia Mtego wa Kujiuza

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM Kumekuwa na skendo nzito kwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo...

READ MORE

Amanda Awashangaa Wanaume Kuhonga

GABRIEL NG’OSHA GAZETI LA AMANI, HABARI SEXY lady kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya...

READ MORE

Scene za Mapenzi Zamtesa Mwanaheri

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed, amefunguka kuwa, suala la kucheza ‘sini’ (scene) za...

READ MORE

Msanii wa Chuz Apandisha Mashetani

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI aliye chini ya mkongwe wa filamu za Kibongo, Tuesday Kihangala ‘Chuz’, Angel Jackson...

READ MORE

Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya Tena

STORI: MWANDISHI WETU | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM Tumaini jipya! Mtoto wa kiume wa mfungwa anayetumikia kifungo...

READ MORE

MB Dog Amiliki 30% ya Hisa Kampuni ya Oman

GABRIEL NG’OSHA | AMANI | Showbiz Xtra LEGENDARY wa Bongo Fleva, Mohammed Mbwana ‘Mb Dog’ aliyewahi kutamba na Ngoma ya...

READ MORE

Natongozwa na Vibabu Tu

  Na BUSARA ZIRO| GAZETI LA AMANI| MUULIZE BUSARA ZIRO SHIKAMOO babu, mimi naitwa Aisha wa Buguruni, natamani sana kuolewa...

READ MORE

Chid Benz Apelekwa Kuishi Zenji

STORI: ALLY KATALAMBULA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kusemekana amepona kutoka kwenye...

READ MORE