Browsing Category
Banking and Finance
Exim Bank Yazindua ‘Chanja Kijanja’ kwa Wateja wa MasterCard
Benki ya Exim Tanzania imezindua kampeni ya uhamasishaji ikilenga kuwashawishi zaidi wateja wa benki hiyo kutumia kadi za MasterCard ambapo pamoja na mambo mengine itatoa zawadi mbalimbali kwa wateja hao.
Uzinduzi wa…
Bad News: Kijana Aliyeishi kwa Mashine ya Gesi, Afariki Dunia – Video
KIJANA Hamad Awadh, aliyeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua amefariki dunia jana jioni Oktoba 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Awadh ambaye baada ya…
RC Chalamila Awacharaza Bakora Wanafunzi, Mabweni Yachomwa Moto
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewacharaza bakora wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao wamekutwa na simu shuleni hapo. Wanafunzi hao wanahusishwa na tukio la kuchomwa moto mabweni mawili ya shule…
PRETTY KIND; AFUNGUKA KUTOKA KIFUNGONI, AMGUSIA ROMA!
JINA lake kwenye vyeti ni Suzan Michael 'Pretty Kind'. Huyu ni msanii wa muvi, moja ya filamu alizoigiza ni Kilio cha Mnyonge, pia ni msanii wa Bongo Fleva.
Pretty ana wimbo mmoja tu uitwao Vidudu Washa, aliomshirikisha…
Stamina, Jay Moe, Young Killer, Wafunika Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live
WAKALI wa HipHop Bongo, Stamina, Jay Moe na Young Killer jana walifunika katika Show ya Kibabe iliyofanyika kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2018 katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Show…
Mwanachuo Aliyeshtakiwa kwa Makosa ya Mtandao Aachiwa Wakili Wake Lissu Anena (VIDEO)
KISUTU: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi na kumwachilia huru Jovenary Shirima ambaye ni mwanafunzi wa Chuo mjini Arusha aliyekamatwa tangu mwezi Januari mwaka huu akituhumiwa kwa makosa ya mtandao, wakili wake…
Mbowe: Siendi Polisi kwa Wito wa Makonda
DODOMA: Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda hana mamlaka ya kumuita kwenda Kituo cha Polisi.
Mbowe ameyasema hayo leo…
Wakulima Wadogo Kunufaika na Mikopo Kutoka Benki ya Maendeleo
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Francis Assenga (kulia) akizungumza na wanahabari. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha, Albert Ngusam.
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Development Bank-TADB)…
Ajira Mpya Serikalini
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/93
17th January, 2017
VACANCY ANNOUNCEMENT, (RE-ADVERTISED)
On behalf of the Ministry of Constitutional and Legal Affairs,…
Ajali ya Basi la Mohammed Trans Yaua Watatu Manyoni, Singida
TAARIFA zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mapema leo na kuua watu 3 huku wengine 6 wakijeruhiwa nje kidogo ya Mji wa Manyoni mkoani Singida.
Aidha, inasemekana kuwa basi hilo lilikuwa…
Producer Emma The Boy apata ajali mbaya
Producer maarufu wa THT, Emmanuel Maungu 'Emma The Boy' amepata ajali mbaya ya gari hivi punde maeneo ya Kabuku karibu na Segera, Tanga wakati akitokea Dar es Salaam kuelekea nyumbani kwao, mkoani Tanga.
Imeelezwa kuwa, Emma ameumia…
Msajili Hazina Asema Twiga Bancorp Bado Imara
Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru, akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kwenye ofisi za benki hiyo zilizopo barabara ya Samora jijini Dar mapema leo.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa benki hiyo, Amina Lumuli (kushoto) na…
Wanne wafa katika ajali ya Tabata-Matumbi, Dar
Orodha ya majeruhi katika ajali iliyotokea leo asubuhi eneo la Tabata-Matumbi, Dar likihusisha magari matatu; daladala, lori la ng'ombe na lori la mchanga.
Hali halisi eneo la tukio.
Maofisa wa Polisi wakiwa eneo la tukio. Hali…
Baa za Uwanjani Legho Zavunjwa
Mwanadada akiwa anaangalia vitu alivyofanikiwa kuviokoa.Katapila likiendelea na kazi yake ya kubomoa .Watu mbalimbali wakiwa kwenye vikundi wakijadili tukio hilo.Eneo lililobomolewa.Nyumba hizi mbili baadaye nazo zikabomolewa.
BAADHI ya…
Breaking News: Basi la Luwinzo lapata ajali Mufindi
Ajali ilivyotokea mapema leo asubuhi.
Shughuli za kuwaokoa walionusurika na ajali.
AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe, kugongana na…