×

Breaking News

Mafuriko Tanga: Noah Yatumbukia Mtoni, Wanane Wafariki – Video

WATU nane wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Oktoba 26, 2019 baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Hakimu ‘Akwama’ Kesi ya Kabendera

KESI ya Uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Mama Kanumba: Seth Sasa ni Mlemavu, Nisaidieni – Video

HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa za ugonjwa wa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, aitwaye Seth Bosco, ambaye mpaka sasa amelazwa...

READ MORE

JPM Ampa Shavu Mzee Msuya

Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, kuwa Mkuu wa Chuo cha Ardhi kwa miaka mingine miwili....

READ MORE

Fisi Wavamia Msiba, Wajeruhi Watu 2

WATU wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na wanyama aina ya fisi wasiojulikana idadi yao baada ya kuvamia kwenye mji...

READ MORE

Chalamila Awatimua Wanafunzi Waliochoma Shule

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewafukuza shule wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao pia...

READ MORE

Marekani: Rais Jimmy Carter, Aanguka, Avunjika Nyonga

Rais wa Awamu ya 39 wa Marekani, Jimmy Carter mwenye umri wa miaka 95 sasa amelazwa tena hospitali baada ya...

READ MORE

Ofisa TAKUKURU Amuua ‘Girlfriend’ Wake kwa Risasi -Video

OFISA Msaidizi (mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, James Paulo (27), ...

READ MORE

Mfalme wa Thailand Amvua Mkewe Umalkia

MFALME wa Thailand, Vajiralongkorn,  ametangaza kumvua vyeo vyake vyote mke wake kutokana na tabia mbaya na kutokuwa mwaminifu kwa ufalme....

READ MORE

Watoto Wawili Wateketea kwa Moto Wakiwa Wamelala

WATOTO wawili wa familia moja wa kata ya kishanda katika Halmashauri ya Muleba Mkoani Kagera wameteketea kwa moto wa kibatari...

READ MORE

Wakatoliki Wakinukisha DRC, Kisa Pesa Kukombwa Benki Kuu

WAUMINI wa dini ya Kikristo wa Kikatoliki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wamefanya maandamano katika maeneo mbali mbali...

READ MORE

Anayetuhumiwa Kumchoma Moto Naomi; Upelelezi Wakamilika

HATIMAYE upelelezi wa kesi inayomkabili mfanyabiashara Khamis Said anayedaiwa kumuua na kisha kumchoma na moto wa magunia mawili ya mkaa...

READ MORE

JPM Afichua Vigogo Walivyopiga Bil. 1.2 za Korosho – Video

RAIS John Magufuli amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia viongozi wa vyama vya ushirika 92 mkoani...

READ MORE

JPM Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Barick Waondoka Tanzania

 Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda...

READ MORE

Matokeo Darasa la Saba Yatangazwa, Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba uliofanyika Septemba 11, 2019 na kusema kuwa ufaulu...

READ MORE

JPM Awatumbua DC na DED Nachingwea

Leo Jumamosi Oktoba 19, 2019 Rais Dkt. John Magufuli amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali ambapo ametengua uteuzi wa Mkuu wa...

READ MORE

Muuguzi Asimamishwa Kazi Akituhumiwa Kubaka Hospitalini

BARAZA la Ukunga na Uuguzi Tanzania (TNMC) limeisimamisha kwa miezi mitatu leseni ya muuguzi aliyemchoma sindano ya usingizi na kisha...

READ MORE

Wanafunzi 39 Wanusurika Kufa kwa Radi Geita

WANAFUNZI 39 wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Ihumilo kata ya Nkome Wilayani Geita wamenusurika kufa kwa radi...

READ MORE

Ombi la Mbowe, Wenzake Lakataliwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo...

READ MORE

JPM Amfuta Kazi Kamanda wa TAKUKURU Mtwara – Video

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Jumatano, Oktoba 16, 2019 amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU...

READ MORE

JPM Afanya Maamuzi Mazito kwa Nape – Video

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza Halmashauri ya Lindi Vijijini kuitwa Halmashauri ya Mtama na ihamishiwe eneo la Mtama (ambalo ni...

READ MORE

JPM Azikumbuka Bakora 24 Nyerere – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amehudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa...

READ MORE

Maafa Tanga: Watoto 5 Wafariki kwa Mafuriko

WATOTO watano wamekufa maji kutokana na mafuriko wilayani Korogwe mkoani Tanga na kufikisha idadi ya waliofariki kufikia 12 mkoani hapa...

READ MORE

Bobi Wine Awatoroka Polisi Kwa Bodaboda – Video

MWANAMUZIKI ambaye ni mwanasiasa pia, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake...

READ MORE

JPM: Nimekupa Pesa za Shule, Usizitoe Mahari – Video

RAIS  John  Magufuli aliye  katika ziara ya siku tatu mkoani Rukwa kuzindua na kukagua miradi ya maendeleo, leo  amemkabidhi Mwalimu...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi Usalama wa Taifa Afariki Dunia

ALIYEKUWA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Cornell Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia mchana wa leo,...

READ MORE

Jaji Ajipiga Risasi Katika Chumba cha Mahakama

JAJI Kanakorn Pianchana wa Thailand amejipiga risasi kifuani katika chumba cha mahakama baada ya kuwaachia huru watuhumiwa watano wa mauaji....

READ MORE

JPM Ampigia Simu IGP Sirro “Msimamishe Huyu Sasa Hivi” – Video

Rais John Magufuli ameagiza kamanda wa polisi wa Wilaya ya Sumbawanga, Polycarp Urio kusimamishwa kazi  kwa madai ya kushindwa kutekeleza...

READ MORE

JPM: “Wananchi Wanakufa, Aliyechoma Mradi wa Maji Akamtwe Sasa Hivi” – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Jumapili Oktoba 6, 2019 ameanza ziara ya siku tatu mkoani Rukwa ambapo anatarajiwa kufungua barabara...

READ MORE

JPM Amuita Waziri Mbarawa “Njoo Ueleze” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kalambo Aliposimamishwa Akielekea...

READ MORE

JPM Amuwashia Moto Mbunge “Acha Kumchongea Mwenzio, Simfukuzi” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameataka viongozi kuacha malumbano yasiyo na tija na badala...

READ MORE

JPM Ampongeza RC Chalamila Kuwatimua Wanafunzi

RAIS  John Magufuli amesema alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuwafukuza shule wanafunzi wote wa kidato cha tano...

READ MORE

JPM Atatua Mgogoro wa Ardhi Mbozi

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza wakazi wa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe, kuendelea kulitumia eneo lenye ukubwa wa...

READ MORE

JPM: Mmechoma Mahakama, Mtaijenga Wenyewe – Video

Rais wa Tanzania, John Magufuli amefungua jengo la mahakama katika mji wa Mlowo mkoani Songwe baada ya wananchi kumueleza kuwa...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Kahawa Songwe, Atoa Kauli – Video

 RAIS John Magufuli leo Oktoba 4, 2019, amezindua kiwanda cha kukoboa kahawa cha kampuni ya GDH kilichopo Mlowo Wilaya...

READ MORE

Zimbambwe Yatoa Tamko Kuhusu Kutumia Fedha Mpya

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha taarifa iliyotolewa na Eddie Cross kuhusu kuanza kutumika kwa fedha mpya mwezi Novemba 2019, ikisema mtu...

READ MORE

RC Chalamila Awatimua Kidato cha 5 & 6

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewarudisha makwao wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita wa Shule ya...

READ MORE