×

Breaking News

Polepole ‘Apigwa Nyundo’ TCRA, Shule ya Uongozi Yasimamishwa – Video

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa...

READ MORE

Magari Yagongana Uso kwa Uso, Watu 2 Wafariki Dunia

WATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...

READ MORE

Breaking: Lwandamia Atimuliwa Azam FC

Uongozi wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi...

READ MORE

Ajali Zaambatana Mwisho wa Mwaka

MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za...

READ MORE

Gari la Magazeti Laua Watu 9 Iringa

WATU 9 wamefariki dunia ikiwemo wanawake 4 na wanaume 5 na wengine 3 kujeruhiwa baada ya Gari ya magazeti aina...

READ MORE

‘Wahuni’ Wavamia Nyumbani kwa Polepole

Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa CCM, Humphrey Polepole jijini Dodoma leo wakati yeye akiwa safarini mkoani Manyara. Kupitia...

READ MORE

Ajali Ndani ya Hifadhi ya Mikumi Yaua Mmoja

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Joseph, Mkazi wa Makambako mkoani Iringa amefariki dunia huku wengine wawili wakijeruhiwa katika...

READ MORE

Ghorofa Laporomoka Goba, Wanne Wafariki – Video

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 17 kujeruhiwa baada ya jengo la ghorofa kuporomoka katika Kata ya Goba Manispaa ya...

READ MORE

Magari 4 Yagongana, Basi la Lateketea na Kuua

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisaha malori matatu mkoani Songwe. Ajali hiyo iliyotokea...

READ MORE

Watuhumiwa Watatu wa Ugaidi Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

Msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika Gereza la Kamiti nchini Kenya, umezaa matunda baada ya watuhumiwa...

READ MORE

Breaking: Milipuko Miwili Yaua Tena Uganda

BREAKING NEWS: Milipuko miwili imetokea katika Mji mkuu wa Kampala nchini Uganda, mapema leo Jumanne, Novemba 16, 2021 huku watu...

READ MORE

Mwanafunzi Aliyefanya Mtihani Gerezani Ahukumiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Shinyanga imemhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha nje miezi sita mwanafunzi Kunde Gambija (16) ambaye alifanya...

READ MORE

Mwanza: Watano wa Familia Moja Wafariki Ajali ya Moto

WATU watano wa familia moja wamefariki dunia, baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto wakati wakiwa wamelala usiku wa...

READ MORE

Waliokufa Kwa Mlipuko wa Lori la Mafuta Sierra Leone Wafikia 99 -Video

Idadi ya watu waliokufa nchini Sierra Leone baada ya lori la kubeba mafuta kulipuka imefikia watu 99. Ajali hiyo ilitokea...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Iraq Anusurika Kuuawa

Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Khadhimi, amenusurika jaribio la mauaji lililofanywa kwa kutumia ndege zisizo rubani zenye silaha zilizoyalenga makaazi...

READ MORE

Breaking News: Pablo Franco Kocha Mpya Simba – Video

KLABU ya Simba SCimeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín (41) raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho...

READ MORE

Tanzia: Mendonca Afariki Dunia, Amliza Neymar

MWIMBAJI maarufu wa Brazil ambae pia mshindi wa tuzo la Grammy 2019  kwa Amerika ya Kusini, Marilia Mendonca (26) amefariki dunia...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya...

READ MORE

Breaking: Ole Gunnar Kusalia Man United

Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo...

READ MORE

Hali Tete… Vigogo Man United Wamjadili Ole

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold amevunja appointment zote za vikao ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo,...

READ MORE

Mapinduzi Sudan: Nyumba ya Waziri Mkuu Yazingrwa

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok amewekwa chini ya ulinzi nyumbani kwake baada ya Wanajeshi ambao hawajafahamika kuvamia makazi yake...

READ MORE

Syria: Wanajeshi 14 Wafariki kwa Shambulio la Bomu

Takribani wanajeshi 14 wa Syria wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya mabomu kulipuka katika basi walilokuwa wakisafiria, tukio...

READ MORE

Jaji Siyani Ajitoa Kesi ya Mbowe

Jaji Mustapha Siyani aliyekuwa akiendesha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake  amejitoka kuendesha kesi hiyo leo Jumatano,...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Mbowe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 imetoa hukumu ya kesi ndogo...

READ MORE

Breaking: Sabaya Ahukumiwa Jela Miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro,...

READ MORE

Hukumu ya Sabaya Yaanza Kusomwa Kortini

HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Aliyekiri Kuua Watoto 14 na Kutoroka Mahabusu Auawa

MASTEN Wanjala mtuhumiwa aliye-make headlines kwa kukiri kuwaua zaidi ya watoto kumi na baadaye kutoroka katika kituo cha polisi alipokua...

READ MORE

Kilichojiri Hukumu Kesi ya Membe vs Musiba – Video

HUKUMU ya kesi ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Sabaya Yaahirishwa

  HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na...

READ MORE

Breaking News: Ole Nasha Afariki Dunia

Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William...

READ MORE

Mwandishi Gabriel Kandonga Afariki kwa Ajali – Video

Mwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na...

READ MORE

Breaking: Tundu Lissu Afutiwa Kesi

Kesi ya jinai namba 208/2016 ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Jabir Idrissa na wenzao wawili imefutwa katika Mahakama ya...

READ MORE

Tanzia: Muhidini Ndolanga Afariki Dunia

Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Mzee Mrema Afariki Dunia

Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, mama Rose Mrema amefariki dunia.   Taarifa kutoka...

READ MORE

Breaking: James Rugemalira Aachiwa Huru

  Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na aliyekuwa mmiliki mwenza wa IPTL, James Rugemalira aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Apangua Mawaziri, Amteua Makamba, Mbarawa -Video

Rais Samia leo Septemba 12, 2021 amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za Uongozi kama ifatavyo:_ 1. Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Tanzia: Zakaria Hans Pope Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Mjumbe wa Bodi ya...

READ MORE

Polisi: Hamza Alikuwa ni Gaidi wa Kujitoa Mhanga – Video

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amesema, uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed...

READ MORE

Tanzia: DCI Manumba Afariki Dunia

MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI) Robert Manumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Agosti...

READ MORE

Bunge Lataka Jerry Silaa Akamatwe

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE