×

Breaking News

Rais Samia Ashtukiza Soko la Kariakoo, Asimamisha Uongozi -Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 1, 2021 amefanya ziara katika la Kariakoo jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng’oa Erio NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteuwa Makatibu Tawala wa Mikoa na wakuu wa taasisi kama...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Clatous Chama Afariki Dunia

KIUNGO wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Zambia, Clatous Chama (29) amefiwa na mke wake Bi. Mercy...

READ MORE

Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama

Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na...

READ MORE

Rais mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi katika Wizara...

READ MORE

Breaking: Mbunge Khatib Haji Afariki Dunia

MBUNGE wa Jimbo la Konde, kisiwani Pemba, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali...

READ MORE

Breaking: Zidane Anasepa Tena Madrid

TAARIFA zilizoripotiwa na vy9ombo vya habari vya Hispania zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane amethibitisha...

READ MORE

Waliouawa na Kujeruhiwa Mgodi wa Mwadui Kulipwa Mamilioni

HATIMAYE Kampuni ya Petra Diamonds ya nchini Uingereza inayomiliki mgodi wa almasi wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga imekubali kulipa fidia...

READ MORE

Tanzia: RC Mstaafu wa Dar Mama Mary Chips Afariki Dunia

Familia ya Chipungahelo na Zayumba inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mary Alice Chipungahelo (Mama Chipps) kilichotokea tarehe 09/05/2021...

READ MORE

Breaking: Wawili Wafariki kwa Kugongwa na Treni Morogoro

Watu wawili wamepoteza maisha kufuatia ajali iliyohusisha pikipiki ya magurudumu matatu (Bajaj) waliyokuwa wakisafiria na treni katika eneo la Modeko,...

READ MORE

Breaking: Nyalandu Atangaza Kurejea CCM Mbele ya Rais Samia -Video

ALIYEWAHI kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na Chama...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Achaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura zote1,862, sawa na asilimia 100...

READ MORE

Breaking: Rais wa Chad Auawa na Waasi Baada ya Kushinda Uchaguzi

Rais wa Chad, Idriss Deby (68) amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa...

READ MORE

Spurs Yamtimua Kocha Mourinho

KWA Mujibu Sky Sports, Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na Klabu ya Tottenham Hotspur kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo kufuatia...

READ MORE

Dkt. Hosea Ashinda Urais wa TLS

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk. Edward Hosea ametangazwa mshindi wa kiti cha...

READ MORE

Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega

Wachimbaji wanne wamepoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Namba Mbili uliopo...

READ MORE

Tanzia: Rapa DMX Afariki Dunia

Rapa wa Marekani, Earl Simmons maarufu kama DMX amefariki dunia Aprili 9, 2021 jijini New York akiwa na umri wa...

READ MORE

Breaking: Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia

Kasri ya Buckingham imesema mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Philip amefariki dunia leo Ijumaa, Aprili 9, 2021,...

READ MORE

Dotto James Ang’olewa Wizara ya Fedha, Msigwa Ahamishwa Ikulu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumapili Aprili 4, 2021 amefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara, naibu makatibu wakuu...

READ MORE

Bunge Lamthibitisha Mpango Kuwa Makamu wa Rais – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ampendekeza Dkt. Mpango Kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt. Phillip Mpango...

READ MORE

Mama Samia Aapishwa Kuwa Rais wa Tanzania – Video

ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi leo Machi 19, 2021...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Afariki Dunia – Video

    BREAKING NEWS: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (61) amefariki dunia majira ya...

READ MORE

Fundi Simu Akamatwa Kwa Kusambaza Uzushi ‘JPM Mgonjwa’

CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa...

READ MORE

Majaliwa: Rais Magufuli Yuko Imara – Video

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, leo Ijumaa, Machi 12, 2021, amewataka Watanzania wote wawapuuze wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Afariki Dunia

Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema.     Bakayoko, aliyekuwa...

READ MORE

Mwinyi Amteua Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais

OTHMAN  Masoud Othman ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye...

READ MORE

Breaking: Rais JPM Alivunja Jiji la Dar, Aipandisha Ilala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

Breaking News: Profesa Benno Ndulu Afariki Dunia

  ALIYEWAHI kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu,...

READ MORE

Breaking: Balozi Kijazi Afariki Dunia

#TANZIA: Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. Dkt. John Kijazi kilichotokea leo Februari...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi wa Habari Vedasto Msungu Afariki Dunia

Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa ITV na Radio One Stereo aliyebobea katika habari za Mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia leo...

READ MORE

Magufuli Amlilia Maalim Seif, Atangaza Siku 3 za Maombolezo

RAIS John MagufuliI amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Breaking: Maalim Seif Afariki Dunia, Maombolezo Siku 7

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad,  aliyefariki leo Jumatano...

READ MORE

Watu Zaidi ya 60 Wafariki Dunia Ajali ya Boti

WATU zaidi ya 60 wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika mto Congo nchini Jamhuri...

READ MORE

DED Korogwe Afariki Dunia

MKURUGENZI wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2021, Hospitalini jijini Dar...

READ MORE

Seif Khatib Afariki Dunia

MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Mohammed Seif Khatib, amefariki dunia leo asubuhi Jumatatu Februari 15, 2021.  ...

READ MORE

Poulsen Apewa Mikoba ya Ndayiragije Stars

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Februari 15, limemteua Kim Poulsen, raia wa Denmark, kuwa kocha mkuu wa...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Nditiye Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma, Mhe. Atashasta Nditiye, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo Ijumaa,...

READ MORE

Tanzia: Balozi Mwapachu Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Bakari Mwapachu, amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa February 12, 2021...

READ MORE

Tanzia: Mukhsin Mambo Afariki Dunia

  MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Jumatatu, Februari 8, 2021, akiwa nyumbani kwake nchini Marekani. Mambo,...

READ MORE