×

Breaking News

Aliyekuwa Mmiliki wa Mabasi ya Mtei Afariki Dunia

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Manyara, James Mtei ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Jambo Express, ambaye pia awali alikuwa mmoja kati...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Sabaya Kutolewa Oktoba 1 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha kusikiliza kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole...

READ MORE

Breaking: Gwajima, Silaa Waondolewa Kamati Maadili

WABUNGE Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Breaking: Watumishi Watano wa TRA Wafariki kwa Ajali

Watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa...

READ MORE

Breaking: Mwalimu Kashasha Afariki Dunia

Tanzia: Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) amefariki dunia leo Alhamisi, Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu...

READ MORE

Gari la JWTZ Lagongana na Lori, Watu 10 Wafariki

AJALI mbaya imetokea na kuua watu 10 huku wengine 8 wakijeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania...

READ MORE

IGP Sirro: Hatujapa Taarifa Rasmi Ili Kumkamata Gwajima

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi linaendeshwa kwa maandishi hivyo wanasubiri barua...

READ MORE

Breaking: RC Msataafu Mwakipesile Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Breaking: Waziri wa Zamani, Basil Mramba Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania na Mbunge wa Rombo, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo Jumanne,...

READ MORE

Rais Lungu Apigwa Chini Zambia, Upinzani Washinda

Mgombea wa chama cha upinzani UPND cha nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa urais kwa kupata kura milioni 2,810,757...

READ MORE

Mtambo wa Mabao Gerd Muller Afariki Dunia

MUDA mfupi uliopita leo Agosti 15 , Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imetangaza kifo cha mkongwe wao wa soka,...

READ MORE

Tanzia: Milionea Manga wa Gold Crest Afariki Dunia

  Mfanyabiashara maarufu wa Madini na Kada wa Chama Cha Mapinduzi Jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa Hotel za...

READ MORE

Tanzia: Juma Baragaza Afariki Dunia

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa Radio Free Afrika na Star TV, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7, 2021. Atakumbukwa...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias...

READ MORE

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa...

READ MORE

Tanzia: Malcom Masoud Kipanya Afariki Dunia

MALCOM Ally Masoud Kipanya ni mtoto wa mtangazaji maarufu na mchora katuni, Masoud Kipanya na Sara Chande amefariki dunia leo...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Waziri Ally Afariki, Familia Yaeleza Chanzo

Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki nchini, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) amefariki dunia usiku wa...

READ MORE

Tanzia: Mbowe Apata Pigo, Baba Yake Mdogo Afariki Dunia

MZEE Manase Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa Julai 23,...

READ MORE

Breaking News: Treni ya Abiria Yapata Ajali Kilosa

Treni ya abiria imepata ajali eneo la Kidete mpakani mwa Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro na Wilaya ya Mpwapwa, mkoani...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti TCU Afariki Dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu tanzania (TCU), Prof Mayunga Nkunya, amefariki dunia leo Jumanne, Julai 20, 2021 katika...

READ MORE

Breaking: Soko la Kariakoo Laungua Moto

Breaking News: Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa, Soko Kuu la Kariakoo lililoko Ilala jijini Dar es salaam linawaka moto...

READ MORE

Bweni Lateketea, Wanafunzi Wanusurika

WANAFUNZI wa shule ya Sekondari ya Charlotte iliyopo katika Kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro wamenusurika kuungua kwa moto baada...

READ MORE

Matokeo ya Mtihani Kidato cha Sita, Ualimu 2021

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumuua Mama Yao Mzazi Wanaswa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya mama...

READ MORE

Membe Apata Ajali Lindi

Mwanasiasa mashuhuri nchini ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje akiwa CCM na mwaka 2020 kugombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Breaking: Rais Zuma Ajisalimisha Polisi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amejisalimisha polisi kuanza kifungo cha miezi 15 jela baada ya kuhukumiwa kwa...

READ MORE

Breaking: Rais wa Haiti Auawa Kwenye Makazi Yake

Rais wa Haiti Jovenel Moise ameuawa katika shambulio dhidi ya makazi yake mjini Port-au-Prince – amesema kaimu Waziri mkuu Claude...

READ MORE

Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumatano, Julai 7, 2021, baada ya moto kulipuka katika jengo la maabara ya...

READ MORE

Breaking: Papa Francis Afanyiwa Upasuaji

Baba Mtakatifu Francisko, Jumapili tarehe 4 Julai 2021 majira ya jioni alilazwa kwenye Hospitali ya Gemelli iliyoko mjini Roma kwa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 5, 2021 amemteua Bi Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda

MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa kuwahamisha na kuwapangia kazi makamanda wa polisi watatu...

READ MORE

Breaking: Mdude wa CHADEMA Aachiwa Huru

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya,leo Juni 28,  imemwachia huru kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude...

READ MORE

Hausigeli Amnyonga na Kumuua Mtoto wa Mwajiri Wake

JESHI la Polisi jijini Arusha, linamshikilia msaidizi wa kazi za ndani (house girl) ambaye jina lake limehifadhiwa, kwa tuhuma za...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 19, 2021 mefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya...

READ MORE

Breaking News: Viongozi Wa Uamsho Waachiwa Huru

Viongozi wawili kati ya 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed na...

READ MORE

Breaking: Mzee Matata Afariki Dunia

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amtumbua RC Chalamila, Afanya Uteuzi Mwingine

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 11, 2021 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine ambapo Mkuu...

READ MORE

TB Joshua Afariki Dunia – Video

MHUBIRI maarufu nchini Nigeria, Barani Afrika na Duniani kote, Nabii Temitope Balogun Joshua maarufu kama TB Joshua ambahe ni mwanzilishi...

READ MORE

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

TANZIA: Mama Vicky Nsilo Swai Afariki Dunia

Mama Vicky Nsilo Swai aliyekuwa mke wa mwanasiasa mkongwe, mpigania uhuru na waziri wa zamani, Asanterabi Nsilo Swai, amefariki dunia,...

READ MORE