×

Burudani

HARMONIZE AWEKA REKODI AFRIKA

DAR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Tanasha ampiga bao la tatu Mobeto

DAR ES SALAAM: Amepigwa bao! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo, Tanasha Donna ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

WCB Yathibitisha Rasmi Kuachana na Harmonize

MENEJA wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Sallam SK amesema uongozi wa lebo hiyo umepokea barua ya aliyekuwa mmoja...

READ MORE

Kwa Ishu ya King Bae Unajitekenya na Kucheka Mwenyewe!

ZARINAH Hassan ‘The Boss Lady’ ni miongoni mwa wanamama maarufu Afrika Mashariki ambaye kwa namna moja au nyingine, umaarufu wake...

READ MORE

WEMA SEPETU BADO ANARINGIA KALIO YAKE

MREMBO wa miaka yote, Wema Sepetu amesema hata kama amepungua mwili kiasi gani lakini anajivunia kwamba bado kalio lake lipo...

READ MORE

Lulu Diva ana nguo hadi anasahau

MWANAMUZIKI Lulu Abbas ‘Lulu Dava’ ameibuka na kusema kuwa linapokuja suala la kuvaa kwake hana mchezo kwani ana chumba kizima...

READ MORE

Mbosso: WCB Pagumu – Video

READ MORE

Ubaguzi dhidi ya Pogba wazua hisia kali

MKUFUNZI wa timu ya soka upande wa akina dada nchini England, Phil Neville, amesema kuwa wachezaji wanapaswa kususia mitandao ya...

READ MORE

Zari Atinga Uganda Kumtambulisha King Bae

KWA mara nyingine, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ameibua gumzo baada ya kutinga nchini kwao, Uganda kwa...

READ MORE

AUDIO | Pam D – Ndembe Ndembe | Download Hapa

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ leo Agosti 20, 2019 ameachia wimbo wake wa ‘Ndembe Ndembe’.

READ MORE

Sanchi: Kwa siku natongozwa zaidi ya mara 100

BAADA kukaa kimya kwa muda mrefu ingawaje anakutana na vishawishi vingi, mwanamitindo mwenye umbo tatanishi, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameamua kufunguka...

READ MORE

Wema aishangilia mimba ya Tanasha

HIVI unajua miaka inaenda na watu wanabadilika tabia? Leo hii unaweza kuamini staa wa filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu anaifurahia...

READ MORE

Baby J: Siumii kukwapuliwa bwana, mwanangu ananipa furaha

WANAOSEMAGA kidonda cha mapenzi hakiponi wako wapi? Baada ya kudaiwa kukwapuliwa bwana na dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond,...

READ MORE

Wema Sasa Kupata Mtoto

KAMA ni kiu ya kupata mtoto kwa sasa mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amefika kisimani; kinachosubiriwa ni...

READ MORE

Kanye West, Waumini Wake Wafanya Ibada Barabarani

RAPA kutoka pande za California nchini Marekani, Kanye West,  Jumapili,  Agosti 18 mwaka huu aliungana na baadhi ya waumini wake...

READ MORE

Rihanna Arudi Kwenye Gemu Kwa Kishindo

BAADA kukaa kimya kwenye muziki kwa miaka mitatu bila kuachia ngoma yoyote, mwanamuziki wa miondoko ya pop nchini Marekani mwanadada...

READ MORE

Harmo Afunguka Kugombea Ubunge 2020

ACHANA na gumzo lake la kudaiwa kujitoa kwenye lebo iliyomlea kimuziki ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Nasibu Abdul...

READ MORE

Montana Asema Yeye na Khloe Kardashian Bado Marafiki

  RAPA kutoka pande za Marekani, Karim Kharbouch, maarufu kama French Montana, amezidi kuweka mkazo kuwa yeye na Khloe Kardashian...

READ MORE

Bob Junior Arudi kwa Kishindo, Amshirikisha Diamond Platnumz

MSANII Bob Junior ambaye alifanya vizuri sana katikati ya miaka ya 2000 kwa kuachia hit songs kama Oyoyo, Nichum na...

READ MORE

Bob Junior Amtaja Harmonize, Diamond – Video

Msanii nguli wa muziki wa Bongo fleva Bob Junior amesema kosa lake ni kukaa kimya kwa muda mrefu na ndio...

READ MORE

Nicki Minaj Afunga Ndoa Kimyakimya!

STAA wa muziki wa hip-hop nchini Marekani, Nicki Minaj, amewashtua mashabiki zake baada ya kubadilisha jina la kwenye akaunti yake...

READ MORE

Msanii Aitaka Serikali Isimwadhibu Tekno

MWIMBAJI na prodyuza wa Nigeria, Solomon Oyeniyi, maarufu kama K-Solo, ametoa maoni yake kuhusu tishio la serikali nchini humo kumchukulia...

READ MORE

KAJALA hajawahi kumtamani mwingine

WAKATI wengine wakitamani kuwa kama Beyonce au Rihanna, kwa mwanamama seksi kunako Bongo Muvi, Kajala Masanja ‘Kay’ hataki kuwa kama...

READ MORE

Harusi ya Sugu inavyomtesa Faiza!

SHUGHULI ya harusi yake aliyoitangaza Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inamtesa kinoma mzazi mwenzake, Faiza Ally, kiasi cha kusitishe...

READ MORE

Kumbe Nguo za Zamani za Wema Kazifanya Hivi

ULIKUWA ukijiuliza zile nguo zote za mwigizaji Wema Isaac Sepetu alizokuwa akizivaa alipokuwa bonge ziko wapi? Taarifa ikufikie kuwa, kumbe...

READ MORE

Wanaomchafua Muna Mungu Atadili Nao

UMESHAWAHI kuona mtu mwenye imani kiasi cha kuamini anaweza kuhamisha mlima? Basi mwigizaji Bongo Muvi, Rose Alphonce ‘Muna’ ametamba kuwa...

READ MORE

Kaa Chonjo! Mastaa Hawa, Ukizubaa Unapigwa Mamilioni

DAR ES SALAAM: Mjini shule! Ni msemo maarufu unaosherehesha elimu ya maisha ambayo watu huweza kuipata katika miji mbalimbali duniani,...

READ MORE

JPM SADC: “Tanzania Ina Warembo Wengi, Tumieni FURSA” -VIDEO

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Agosti...

READ MORE

Ulevi Wamponza Alicia Fox, Atimuliwa Mashindano

STAA wa kike wa mieleka, Alicia Fox inasemekana alitimuliwa kutoka katika mashindano ya SummerSlam hivi karibuni kutokana na kosa la...

READ MORE

Bwana wa Zari Afichua Siri Nzito!

DAR ES SALAAM: Mwanaume wa zamani wa mwanamama mjasiriamali, raia wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ aitwaye Robert...

READ MORE

Zengwe Bata la Dimpoz Marekani

DAR ES SALAAM: Zengwe limeibuka! Wakati ikiwa hana muda mrefu sana tangu arejee kwenye gemu la muziki baada ya kuumwa...

READ MORE

COP’s ENEMY’ FILAMU ITAKAYOLETA MAPINDUZI BONGO MUVI

UZINDUZI wa filamu ya Cop’s Enemy uliofanyika jana katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambayo iliwashirikisha wasanii nyota...

READ MORE

Tiko: Starehe yangu ni kula na kulala

NI Jumamosi nyingine tunakutana tena mpenzi msomaji wa safu hii nzuri ya My Style inayokuletea mastaa mbalimbali wakielezea maisha yao...

READ MORE

BABA KANUMBA TUMUOMBEE, AFANYIWA OPARESHENI!

TUMUOMBEE! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na baba wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anayeishi mkoani...

READ MORE

Aunty Lulu Akiri Mapenzi Kumrudisha Nyuma

BAADA ya kimya cha muda mrefu, msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia amewahi kuwa mtangazaji wa runinga, Lulu Semagongo...

READ MORE

Utata kifo cha Mbalamwezi wa The Mafik – Video

KIFO cha msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’ kimegubikwa na utata mkubwa kufuatia madai mwili wake...

READ MORE

MREMBO: SANCHEZ ALINITONGOZA NIKAMKATAA

NATALIA Mandiola, ni mtangazaji wa runinga katika idara ya michezo, amefunguka kuwa nyota wa Manchester United, Alexis Sanchez alitupa ndoano...

READ MORE