×

Burudani

MAN FONGO AONDOKA NA KIJIJ DAR LIVE (Picha + Video)

  MKALI wa Singeli, Man Fongo leo ameondoka na kijiji chake alipopanda jukwaani na kupiga nyimbo zake zote kali katika...

READ MORE

NATURE, ROMA, MAN FONGO LEO NI MOTO DAR LIVE, KUANZIA SAA 5 ASUBUHI

KISHINDO kikubwa cha aina yake kitasikika leo Jumapili Jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi maarufu wa Dar Live ulioko Mbagala....

READ MORE

Kim, Kanye Wahudhuria Fasheni Shoo ya North

MASTAA wa Marekani, Kim Kardashianna mkewe, Kanye West,  wakiwa na mwanao mdogo, Saint, jana walihudhuria shoo ya mavazi iliyomjumusha binti yao mdogo,...

READ MORE

Minaj Amzawadia Cardi B Mil. 12 Kwa Kujifungua Kibinti

Nicki Minaji. MASHABIKI wa muziki wameona uhasama baina ya marapa Nicki Minaj na Cardi B  umekoma.  Hii ni baada ya Minaj kumtumia kifurushi cha...

READ MORE

WEMA NA SIFA YA UFUNDI WA KUKAANGIZA

STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ana sifa nyingi. Tangu amekuwa staa, mdada huyu anatajwa kuwa mkali sana linapokuja suala...

READ MORE

JUMA NATURE KUONYESHA UKONGWE WAKE KESHO

NGULI kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Juma Nature’, kesho anatarajia kuangusha shoo ya kibabe kwenye Uwanja...

READ MORE

MASANJA AELEZA KIFO KILIVYOMFANYA AOKOKE !

DAR ES SALAAM: Aliyekuwa mchekeshaji wa Kundi la ‘Ze Comedy’ Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ambaye kwa sasa ni mshereheshaji na...

READ MORE

BEYONCE MIMBA TENA

STAA wa R&B, Beyonce Knowles anadaiwa kuwa na ujauzito tena ikiwa imepita mwaka tangu ajifungue pacha na mumewe ambaye pia...

READ MORE

YEMI ALADE; NIPO LEVO ZA WIZKID, DAVIDO

  MKALI aliyewahi kutikisa na Ngoma ya Johnny 2013, Yemi Alade amesema kwa sasa muziki wake ni wa kulinganishwa na...

READ MORE

BABU TALE AFUNGUKA MAVOKO KUTIMULIWA WCB

BAADA ya kuzagaa kwa madai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambaye yuko kwenye Kundi la WCB ambalo mkurugenzi...

READ MORE

MUNA LOVE; WAKATI MWINGINE KUKAA KIMYA HUEPUSHA MENGI

  BADO msiba wa mtoto Patrick wa msanii wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ haujasahaulika! Bado sarakasi zilizotokea...

READ MORE

ROMA AGAWA MAGAZETI YA GLOBAL, KUPIGA SHOO DAR LIVE J2

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki juzi Jumatano alihamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wake baada ya kufanya sapraiz...

READ MORE

AUNT AFUNGUKA KURUDIA DERA

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa siku zote kwenye maisha yake hapendi kuishi maisha ya mitandao na ndiyo...

READ MORE

Meghan, Prince Harry Wawavutia Watoto Ziarani Ireland

KAPO maarufu iliyofunga ndoa hivi karibuni — Meghan Markle  na mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry,  ambao hivi sasa wako katika ziara huko...

READ MORE

Cardi B Ajifungua Mtoto wa Kike Aitwaye Kulture Kiari Cephus

MWANAMUZIKI wa rap, Cardi B  wa Marekani juzi (Jumanne) alijifungua mtoto wa kike katika hospitali moja huko Atlanta na kumpa jina la...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mwarabu Aanika Ukweli Kuhusu Kufukuzwa WCB – Video

Baunsa anayemlinda Msanii wa Bongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter amefungukia tetesi zinazosambaa...

READ MORE

ROMA AWAFUNGUKIA WANAOFELISHWA NA NDOA

ALIINGIZA somo la ‘Mathematic’ kwenye ulimwengu wa Muziki wa Hip Hop, mashabiki wakaingia ‘class’ kupiga msuli, akawaita ‘Wanakondoo’ kisha akajitangaza...

READ MORE

UWOYA ANAVYOWAANGUSHA WAZAZI WAKE

MARA nyingi huwa tunaambiwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa tafsiri nyingine isiyo rasmi ni kwamba, jinsi ulivyo ndivyo mtoto wako...

READ MORE

UTATA WAIBUKA MGAO MALI ZA MONDI

BAADA ya hivi karibuni msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuposti kwenye ukurasa wake wa...

READ MORE

ROMA AGAWA MAGAZETI BURE KWA WAKAZI WA MBAGALA

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoliki’ leo amepita mitaa mbalimbali ya Mbagala akigawa Magazeti ya Risasi Mchanganyiko...

READ MORE

‘Mbwa Mbaya Zaidi Duniani’ Afariki, Mmiliki Amlilia

MBWA wa Kiingereza mwenye umri wa miaka tisa aitwaye Zsa Zsa alifariki jana baada ya kushinda mashindano ya kutafuta mbwa...

READ MORE

USICHOKIJUA NISHA KUJILIPUA KWA MZUNGU

Salma Jabu ‘Nisha’ DAR ES SALAAM: LICHA ya kuapa kwamba hataanika tena uhusiano wake, msanii wa filamu za Kibongo, Salma...

READ MORE

SWETA LA HEMED LAZUA GUMZO

PENGINE hali ya hewa isiyotabirika jijini Dar es Salaam mara baridi mara joto ndiyo iliyomponza msanii Hemed Suleiman baada ya...

READ MORE

ROSA REE AIVURUGA SAUZI

RAPA wa kike kutoka Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’, anaendelea kuivuruga Afrika Kusini ‘Sauz’ kutokana na ‘media tour’ anayoifanya kwa...

READ MORE

THEA: NABEBA MIMBA ILI NDOA IVUNJIKE

NI kama kicheke­sho lakini ni kweli; Staa wa Bongo Muvi, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amesema anabeba mimba ya mwanaume mwingine ili...

READ MORE

ROMA KUGAWA ZAWADI MITAANI MBAGALA LEO

HUKU mwanamuziki anayekimbiza kwenye gemu la Hip Hop Bongo, Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoliki’, akitarajiwa kupiga shoo ya nguvu Jumapili hii...

READ MORE

The Game: Kim Kardashian Agombee Urais Marekani 2020

The Game. RAPA wa nchini Marekani,  The Game,  amesema mwanamitindo, mtangazaji  wa kike, Kim Kardashian West, anafaa kugombea urais wa Marekani...

READ MORE

Ronaldo Ajinafasi Ugiriki ‘Akisubiri’ Kujiunga Juventus

WAKATI kuna uvumi mkubwa wa nyota wa soka wa Real Madrid,  Cristiano Ronaldo,  kujiunga na  Juventus  ya Italia, Mreno huyo hivi sasa,...

READ MORE

Imevuja! Kumbe Nisha Kaiba Mume wa Mtu!

IKIWA ni takribani siku moja tangu staa wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’,  kumuanika mwanamume aliyedai kuwa ni...

READ MORE

MR BLUE ATAJA NCHI ALIOKIMBILIA

BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

MUVI YA CHEMICAL, WEMA YAZUA JAMBO

HIVI karibuni rapa wa kike kunako Muziki wa Bongo Fleva, Claudia Lubao ‘Chemical’, aliweka kwenye Mtandao wa YouTube, vipande vya...

READ MORE

Bethidei ya Sylvester Rambo Yafana

NGULI wa filamu, Sylvester Stallone (Rambo),  wiki hii ametimiza umri wa miaka 72 ambapo alipata pongezi nyingi kutoka kwa watu kibao mashuhuri...

READ MORE

Rick Ross Kushitakiwa kwa Wizi

RAPA Rick Ross‘ wa Marekani, ametishiwa kushitakiwa na mwanamuziki Ishaq R. Muhammad  aka Young Muhammad (YM) kwa kile alichodai  mnamo Septemba 2017...

READ MORE

ZaiiD… WOWOWO Yatikisa Dar Live – Video

Msanii wa Bongo Fleva, ZaiiD ambaye alitambulika kutokana na nyimbo yake iliyoitoa ya WOWOWO usiku wa kuamkia leo amepiga Bonge...

READ MORE

JOEL LWANGA Amwangukia Mama’ke Muna

UBUYU nao una nafasi yake kwenye jamii na ndio maana hakuna ambaye anauchukia! Baada ya mvutano wa hapa na pale...

READ MORE

Mapenzi yamnyoosha Amber Lulu

MWANADADA kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Euggen ‘Amber...

READ MORE

Monalisa Ang’ara Marekani

STAA wa filamu za Kibongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ameng’ara nchini Marekani baada ya kuwa balozi wa Tamasha la Filamu za...

READ MORE

Ndoa Ya Banda, Zabibu Kiba Gumzo

‘KAPO’ inayoonekana kuwavutia wengi mtandaoni ya mwanasoka Abdi Banda na dada wa staa mkubwa wa muziki Bongo, Ally Salehe Kiba...

READ MORE

WALIOIUA TWANGA NDIYO WALIOIZIKA DANSI

AFRICAN Stars Band ‘Twanga Pepeta’ imefuLia ile mbaya! Walich-okuwa hawa-kitaki wenye be-ndi hiyo yaani ku-pi-ga sh-oo kwe-nye ku-mbi za usw-azi...

READ MORE

SHAMSA FORD: CASTO NI MTANGAZAJI TU, BABA NI PETER – VIDEO

Miongoni mwa mastaa ambao wameendelea kumiminika katia msiba wa mtoto Patrick uliopo Maeneo ya Mwananyamala ni Shamsa Ford, ambaye akiwa...

READ MORE