×

Burudani

WOLPER, MZUNGU WA HARMONIZE HAPATOSHI, KILA MTU POVU

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amemtupia dongo kali demu wa Harmonize, Sarah baada ya nyepesinyepesi kupenya kwenye mitandano...

READ MORE

Kimenuka! Ali Kiba Aburuzwa Mahakamani

MWANAMKE mfanyabiashara wa nguo za mitumba, Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya Staa wa...

READ MORE

Ukata Wamkwamisha Christian Bella

AMA kweli vimekosa grisi! Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama,’ amesema ukata amemfanya abadili utaratibu wa kufanya shoo...

READ MORE

Faiza Anasa Ujauzito Tena, Kilichompata Ni Machozi

UTAMU wa ubuyu hauchagui mtoto wala mtu mzima, wote ni twende tu! Mwigizaji wa sinema za Kibongo ambaye ni mzazi...

READ MORE

Uwoya, Dogo Janja Wakesha Kusaka Mtoto

MKALI wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya na mumewe, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, wamesema...

READ MORE

KIMENUKA! Tunda Alikoleza Bifu Lake Na Mobeto, Kurudiana na Diamond

KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa...

READ MORE

IMEFICHUKA! Siri ya Ukimwi kwa Mastaa!

  IMEFICHUKA! Kufuatia madai ya kuwepo kwa balaa la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) katika ulimwengu wa mastaa wa...

READ MORE

KIBA ALIVYOKUSANYA ‘KIJIJI’ CHA WATU MAARUFU!

WIKI hii ndiyo tunamaliziamalizia ‘news’ za harusi ya mwanamuziki maarufu Bongo, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ na mwanadada kutoka Mombasa nchini...

READ MORE

MSANII STAMINA AFUNGA NDOA MOROGORO LEO (Video)

MSANII wa Hip-Hop, Stamina, leo amefunga ndoa na mpenzi wake, Veronica Peter, katika Kanisa Katoliki, Morogoro mjini ambapo ndoa yake...

READ MORE

Amber Rose Amtibua Nicki Minaj

MWANAMITINDO na muuza nyago kwenye video za muziki, Amber Rose amemtibua staa wa kike wa Muziki wa Hip Hop, Onika...

READ MORE

RAMMY GALIS, Mambo Gani Hayo Unatuletea?

ILIKUWA ni sekunde, dakika, siku na sasa ni wiki kadhaa tangu mwanadada Agnes Gerlad ‘Masogange’ atutoke, tunazidi kukuombea kwa Mungu...

READ MORE

Tunda Alikoleza Bifu Lake na Mobetto

KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa...

READ MORE

Prof Jay Alivyochana Hip Hop Mbele ya JPM – Video

Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ , amefungukia Rais Magufuli, kuhusiana na kero...

READ MORE

Alikiba Ampa Ommy Dimpoz ‘Challenge’

Msanii wa bongofleva Alikiba a.ka.a King Kiba ametoa ahadi kwa mashabiki wake ikiwa ni pamoja na kutoa changamoto kwa mashabiki...

READ MORE

KIMENUKA: Wema Amjibu Kiba – Video

Baada ya Alikiba kupost cover ya wimbo wa Ommy Dimpoz na kuandika kuwa endapo video hiyo itafikisha watazamaji milioni tatu...

READ MORE

BONGO MUVI WAMLIPUA KIBA!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuangusha bonge la sherehe ya...

READ MORE

ZIFAHAMU HARAKATI ZA MADAM FLORA KWA SASA – Video

Kupitia Mahojiano maalumu ndani ya Kipindi cha Beauty and Styles cha Global TV, Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madam Flora...

READ MORE

Mke wa P Funk: Napambana na Kajala

MKE WA prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’, Samira amefunguka kuwa licha ya kukutana na mitihani mingi ndani ya...

READ MORE

Black Rhyno Afunguka Kilichompoteza

  MWAKA 2009, Wimbo wa Black Chata ulifanya poa sana ndani na nje ya Bongo kiasi cha kumtambulisha vyema kwenye...

READ MORE

Mastaa; Hili la Bakuli, ni Aibu, Tafakarini na Mchukue Hatua!

KWENU mastaa wa fani mbalimbali hapa nchini. Nawasalimu wote, kama unajijua wewe ni msanii wa fani yoyote, soma barua yangu...

READ MORE

Licha ya Sherehe Babkubwa, Kiba Azua Mjadala

HATA ujipange vipi kuandaa sherehe ya kufa mtu, lakini ukijikwaa kidogo tu, watu wanakushukia! Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh...

READ MORE

Harmonize Aeleza Sababu Ya Kutompa Mkono Alikiba (Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka label ya WCB, Harmonize amefunguka sababu ya kutompa mkono Alikiba walipokutana katika msiba...

READ MORE

Wosia wa Kifo Chake, Wema Kuzikwa Kikristo?

KUFUATIA wosia wa kifo chake ulioeleza namna anavyotaka mazishi yake yawe siku atakapokufa, staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

Baada ya Ndoa, Mwanaheri Afunguka Kuachana na Filamu

LICHA ya madai kwamba amepigwa stop kuendelea kucheza filamu na mumewe, Khamis baada ya kuolewa hivi karibuni, mrembo wa filamu...

READ MORE

VEE MONEY Achekelea Views YouTube

MWANADADA ambaye kwa sasa anafanya vyema na album iitwayo Money Mondays, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, hivi karibuni amechekelea views katika...

READ MORE

ANTY  EZEKIEL KUZINDUA FILAMU YA ‘MAMA’ MEI 13

  Msanii maarufu wa filamu nchini, Anty Ezekiel, anatarajia kuzindua filamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Mama’, siku ya Jumapili...

READ MORE

KANYE WEST Amrusha Msanii Bongo

STAA wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliamua...

READ MORE

Maisha ya Ndoa Yamnyoosha Belle

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa, baada ya kuoa maisha yamemnyoosha na amekuwa tofauti na alivyokuwa...

READ MORE

SHILOLE MJAMZITO?

STAA anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia madai ya yeye kuwa ni mjamzito na kusema...

READ MORE

HARUSI YA KIBA: Mama Salma kikwete Akicheza na Mwanaye Ridhiwani – Video

MKE wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete jana usiku alipata fursa ya kuhudhuria katika harusi ya...

READ MORE

MAMA KIKWETE: KIBA NA MKEO MSIPEKULIANE SIMU, MTAACHANA- VIDEO

MKE wa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete...

READ MORE

Alikiba Alivyombembeleza Mkewe kwa Ngoma Kali Ukumbini- Video

Bonge moja la Burudani limeangushwa katika sherehe ya harusi ya Alikiba na Abdukiba iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Hotel Posta...

READ MORE

ALIKIBA AZINDUA RASMI KINYWAJI CHAKE MOFAYA – PICHA NA VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika...

READ MORE

ALIKIBA NA MKEWE WALIVYOVALISHANA PETE ZA NDOA

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wamevalishana pete za ndoa katika...

READ MORE

ALIKIBA NA MKEWE AMINA WALIVYOINGIA UKUMBINI -VIDEO

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wameingia katika Ukumbi wa Hoteli...

READ MORE

ABDU KIBA NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI

MKALI wa Bongo Fleva, Abdu Kiba na mkewe, Ruwayda tayari wameshaingia katika Ukumbi wa Serena Hotel uliyopo Posta jijini Dar...

READ MORE

MAMA KIKWETE, UMMY MWALIMU WATINGA HARUSI YA KIBA

MKE wa Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepata fursa ya...

READ MORE

Shilole Atoa Sharti Zito la Kifo Chake!

MWANAMUZIKI maarufu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ametoa sharti zito kuwa, siku akifa hatataka mwili wake ufanyiwe mbwembwe kwenye Viwanja vya Leaders...

READ MORE

Video za Kukumbukwa za Masogange…Zipo Hapa

NENO Video Vixen lina tafsiri kubwa katika sanaa ya muziki hasa wa Hip Hop. Kwa neno jepesi, Video Vixen ni...

READ MORE

RAPA RICK ROSS ATUA NAIROBI, KUPIGA BONGE LA SHOO LEO

 RAPA Mmarekani, Rick Ross, aliwasili jana jijini Nairobi, nchini Kenya kwa ajili ya kufanya shoo ambayo itafanyika leo (Jumamosi) katika...

READ MORE