×

Burudani

Siri Yafichuka Kivuruge ya Nandy

IMEFICHUKA! Ile Ngoma ya Kivuruge iliyoimbwa na msanii zao la Jumba la Kuibua Vipaji ‘THT’, Faustina Charles ‘Nandy’ kumbe ilishawahi...

READ MORE

Familia Yamweka Tunda Kitimoto

  DAR ES SALAAM: Kufuatia sakata la video akiwa anafanya vitendo vya kimahaba na mume wa mtu, Kinjekitile Kingunge ‘Kinje’...

READ MORE

Sanchi Aanza na Mabadiliko ya Mavazi

MWANAMITINDO mwenye umbo tata, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa mwaka huu ameuanza kwa mabadiliko ya mavazi ambapo anavaa nguo ndefu...

READ MORE

Exclusive: Nandy Afunguka Madai ya Kushea Penzi la Bosi Wake na Ruby

BAADA ya kutapakaa taarifa za msanii Nandy, kwamba ana bifu zito na Ruby, kwa kile kinachodaiwa kugombea penzi la bosi...

READ MORE

Tangulia Radio…. Ngoma Zako Hatutazisahau!

“Baada ya leo utanikumbuka mimi, kama nikikupa upendo wangu utanikumbuka?… Utanikumbuka?… Utanikumbuka?” HII ni sehemu tu ya tafsiri ya mistari...

READ MORE

Chuchu: Siwezi Kuzaa Tena na Ray

UKITAJA ‘kapo’ za mastaa ambao wamefanikiwa kuwa kwenye uhusiano na kubarikiwa kupata watoto wakiwa pamoja, huwezi kuacha kuwataja mastaa wakubwa...

READ MORE

Diamond Amtambulisha Maromboso Mwembe Yanga Temeke

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo amemtambulisha msanii mpya ndani ya label ya WCB, Maromboso leo katika Viwanja vya...

READ MORE

Pichaz: Wasafi Walichokifanya leo Mwembe Yanga, Tandika Dar

WASANII kutoka label ya WCB, Lavalava, Hamonize, Rayvan na Rich Mavoko leo  wamefanya shoo kali  wakati wa kutambulishwa msanii Maromboso...

READ MORE

Wastara Amwaga Machozi Airpot, Akiondoka India Kutibiwa (Video)

Msanii wa filamu za Kibongo, baada ya kuchangiwa fedha kwa ajili ya kwenda kutibiwa mguu nchini India, hatimaye leo ameondoka...

READ MORE

Diamond: Wema, Mobeto na Tunda ni Familia Yangu

MKURUGENZI wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Diamond, amefungukia ishu yake na mastaa watatu, Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na...

READ MORE

Shamsa Ford: Ningekuwa Mzembe Ningeshaharibu

MSANII mwenye uwezo mkubwa anapokuwa mbele ya kamera Shamsa Ford, amefunguka kuwa kama angeamua kufuata mambo ya mjini na kujivika...

READ MORE

Tunda: Siwezi Kumuheshimu Anti n’go

MUUZA nyago maarufu Bongo na mwenye visa kila kukicha Tunda Sebastian ‘Tunda’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kuirudisha heshima yake aliyokuwa...

READ MORE

Imevuja! Lulu Diva Apokonywa Kila Kitu na Mpenzi Wake!

  IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa...

READ MORE

Kisa Bongo Fleva…Agness Wa Picha Za Utupu Ashambuliwa

MUUZA nyago aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mtandaoni, Agness Mmasi ameshambuliwa na mashabiki baada ya kujikita rasmi kwenye...

READ MORE

Wastara Kutimkia India Kesho Kwa Matibabu

BAADA ya gazeti hili kuandika habari yake kwa mara ya kwanza akiomba msaada wa matibabu ya mguu wake, hatimaye staa...

READ MORE

COVER YA SUBALKHERI YA NANDY NA ASLAY YAMKUNA MAKAMU WA RAIS

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwakaribisha nyumbani kwake wasanii...

READ MORE

Esma Aonyesha Mahaba Yake Kwa Wema

MWANADADA Esma Abdul ‘Esma Platnumz’ ameonesha mahaba yake kwa staa mkubwa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidai kuwa, amekuwa shosti...

READ MORE

Mume wa Shilole Aukana Usangoma

MUME wa mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashrafu Uchebe amekana kuwa mganga (Sangoma) wa kutumia vitabu na kuweka wazi kuwa kazi...

READ MORE

Snura: Mume Si Kitu cha Mchezomchezo Nyie Mume

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa, si kwamba hataki ndoa, anaitaka sana lakini akatahadharisha kuwa, mume si kitu cha...

READ MORE

Jokate: 2018 Ni ndoa na Familia Pia

MWANAMITINDO ambaye ni kada wa CCM, Jokate Mwegelo baada ya kuanika kuwa mwaka huu ni sahihi kuingia kwenye maisha ya...

READ MORE

Baba Diamond: Nikifa Mwanangu Asiguse Jeneza Langu!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya msanii wa Bongo Fleva, Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ kumchana baba yake mzazi ambaye...

READ MORE

Shilole Ataka Kuchoma Gauni, Kisa… Bofya Hapa

Mwanamuziki wa wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema gauni alilovaa kwenye uzinduzi wa kumtambulisha mwanamuziki Maromboso ‘Mbosso’ uliofanyika...

READ MORE

Figa Ya Sasha Yazua Utata

  KALIO la muuza nyago wa video mbalimbali za wanamuziki Bongo, Sasha Kassim limezua utata kwa kudaiwa kuwa si halisi....

READ MORE

Wanaume Wamnyoosha Nisha

MSANII wa maigizo na vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa, amekoma kutoa mapenzi yake kwa wanaume wa Kitanzania kwa...

READ MORE

Shilole Ampiga Stop Dada wa Kazi kwa Uchebe

STAA wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa tangu amekuwa mke halali wa Ashraf Uchebe, haruhusu dada...

READ MORE

Lulu Diva arudisha mahari

MWANAMUZIKI wa kike anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amerejesha kwa mikono yake mwenyewe mahari aliyokuwa ametolewa na...

READ MORE

Mwana FA: Sijawahi Kuvaa Visuruali vya Kubana

MKONGWE kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘MwanaFA’ amesema, katika maisha yake ya kisanii, hajawahi kuvaa suruali za kubana...

READ MORE

PAPII KUACHIA NGOMA MFULULIZO

MKALI wa Dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii’ amesema kuanzia mwezi huu wa Februari, ataanza kuachia ngoma mfululizo kwani tayari wameshaanza...

READ MORE

TAUSI HATA AKIOLEWA MKE WA PILI SI DHAMBI

KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa, ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida...

READ MORE

Mume Ampiga Stop Shamsa Mitandaoni

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa...

READ MORE

Wema, Tunda, Mobeto Wanavyozungukana!

  DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

Usiku wa Uswazi: Hii Shughuli si ya Kitoto

UWANJA wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kwa kushirikiana na Manywele Entertainment, unatarajiwa kuja na Usiku...

READ MORE

 Ebitoke: Ben Pol Amenipotezea

MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka...

READ MORE

Hakuna Anayemuweza Dude Zaidi ya Mkewe

KIDUME wa Bongo Movies, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenyoosha sentensi kuwa, hakuna mwanamke anayemuweza kuishi naye zaidi ya mkewe, Eva kwani...

READ MORE

Dakika 6 za Diamond na Maromboso Wakikamua Live…. Noma! – Video

  MKALI wa bongo Fleva, Diamond Platonumz usiku wa kuamkia leo alifanya makamuzi ya aina yake pale Hyatt Regency Hotel...

READ MORE

Mastaa Walitikisa Red Carpet Grammy Awards

Hapa nimekuwekea picha za wasanii walioibuka kwenye red carpet wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Muziki za Kimataifa za...

READ MORE

Picha za Matukio Wakati wa Grammy Awards 2018

NI usiku wa mastaa, ni usiku wa muziki na usiku wa wapenda burudani! Zile tuzo kubwa za dunia Grammy Awards...

READ MORE

EXCLUSIVE: Diamond Avunja Ukimya Kuhusu Mimba ya Tunda – Video

  HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa...

READ MORE

Suprise: Wema Sepetu Alivyompandisha Diamond Plutnumz Jukwani – Video

SURPRISE ya nguvu imefanyika usiku wa kuamkia leo pale Hyatt Regency Hotel baada ya Malkia wa Bongo Movies, Wema Seetu kumpandisha...

READ MORE

Nandy aanika siri za Aslay!

KAMA ni mpenzi wa Muziki wa Taarab kwa muda mrefu ni wazi utakuwa umezisikia nyimbo nyingi za muziki huo kutoka...

READ MORE