×

Burudani

Gigy Money Amalizana na Mpenzi Wake

MWANADADA ambaye ni mwana-muziki na muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, hivi karibuni amefunguka kwamba, hana...

READ MORE

Usiku wa Valentine’s Special…. Dar Live ‘Pamechafuka’!

ILE shoo ya kukata na shoka ya usiku wa wapendanao, Valentine’s Special imetikisa katika wa Taifa wa Burudani, Dar Live...

READ MORE

MWANA: NGUO ZA HESHIMA NDO’ KILA KITU

MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana...

READ MORE

MR CHUZI KAMWE HANA MPANGO WA KUOA!!

WAKATI akiwa na watoto wanne aliozaa na mama tofauti, mwigizaji mkongwe wa Bongo Movies, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuzi’ ameibuka na...

READ MORE

MASTAA HAWA, GUSA UPOTEE

PENYE wengi pana mengi. Kila uchwao katika ulimwengu wa mastaa kuna mengi yanayotokea yakiwemo mazuri na mabaya, ya kufurahisha na...

READ MORE

Skendo ya Unga Ilivyomtafuna Baby Madaha

MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu na muziki Bongo, Baby Madaha ameeleza kuwa katika maisha yake hakuna kitu kilichowahi kumtafuna na...

READ MORE

JOH MAKINI AFUNGUKIA KUPOTEZWA KIMUZIKI

MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni aliachia wimbo wake uitwao Mipaka, John Simon ‘Joh Makini,’ amefungukia kupotezwa kimuziki na baadhi ya wanamuziki...

READ MORE

WANATEMBELEA NYOTA ZA KAKA ZAO?

MUZIKI wa Bongo Fleva kila siku unazidi kuongeza sura mpya, kila anayekuja kwenye gemu huwa anakuwa na njia zake. Wapo...

READ MORE

MTANGAZAJI AFICHUA SIRI KUALIKWA NDOA YA AY

ZIKIWA zimepita siku tatu tangu mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ kufunga ndoa na mchumba wake wa...

READ MORE

ESTER YEYE NA PESA TU, MAPENZI TUPA KULE!

KATIKA kipindi hiki kigumu, mwigizaji sexy wa Bongo Movies, Ester Kiama, kwenye kichwa chake hawazi kabisa mapenzi, badala yake anawaza...

READ MORE

RIYAMA NA STERIO NI KUFA NA KUZIKANA

MWANAMAMA mwenye sifa zote awepo mbele ya kamera za Bongo Movies, Riyama Ally anamuomba Mungu yeye na mumewe, Leo Mysterio...

READ MORE

Kidoti Kinampagawisha Kidoti

MWANAMITINDO na Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), Jokate...

READ MORE

ALICHOFANYIWA BAUNSA WA DIAMOND, HATOSAHAU! – VIDEO

Mpango mzima wa ‘Birthday Party’ ya baunsa wa Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu...

READ MORE

Mabaamedi Wamlipua Bosi Wao Irene Uwoya

UBUYU wa leo hatujauvukia maji kutoka Zanzibar, bali tumeupata maeneo ya Magomeni-Kwa Fundikira, Dar, unaitwa ubuyu wa vimto ambapo unamung’unywa...

READ MORE

AY Afunga Ndoa ya Kimila Rwanda

  MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah  ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy. Wawili hao...

READ MORE

Mr Nice Awaponda Wanamuziki Wapenda Kiki

UNAPOZUNGUMZIA wanamuziki walioutoa mbali muziki wa Bongo Fleva huwezi kumuacha mkali wa miondoko ya Takeu, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Mr....

READ MORE

Valentine’s Day… Aslay Kupiga zote za Mapenzi Dar Live

UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kutoa zawadi...

READ MORE

Aunt: Iyobo Hashitushwi na Picha zangu za Utupu

  STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel, amesema kuwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwenziye hashtushwi hata kidogo na...

READ MORE

Akiwa Safarini, Mbasha Akombwa Kila Kitu Mchana Kweupe

  ALIYEKUWA mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiwa safarini Arusha amekombwa kila kitu na majambazi nyumbani kwake Tabata Kimanga...

READ MORE

Valentine’s Day… Aslay Kupiga ‘Live Band’ Dar Live

UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kupiga kwa...

READ MORE

Maskini Wema…Apigwa Mamilioni Ya Pesa

Wiki moja baada ya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu kudukuliwa na...

READ MORE

MZEE MAJUTO: Niombeeni Jamani, Tezi Dume Si Mchezo!

MKONGWE wa filamu za Kibongo aliye kipenzi cha wengi, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye kwa sasa ni mgonjwa ametoa ya...

READ MORE

MBASHA AFUNGUKA KUTOKUOA TENA

STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa...

READ MORE

Uwoya Aja na ‘Uwoya’ Mpya Msimshangae

STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema kuwa ameamua kubadilisha mfumo wa maisha yake hivyo mashabiki wake...

READ MORE

Rose Ndauka: Natamani Kuongeza Mtoto Mwingine

MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa...

READ MORE

Wakali wa Mitindo Afrika… Wapo Hapa

MIONGONI mwa tasnia kubwa duniani, katika masuala ya burudani ukiachana na muziki na filamu, tasnia nyingine ambayo ina mashabiki wengi...

READ MORE

Picha za Diamond Pekupeku Mahakamani

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ leo ameonekana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

SUALA LA MTOTO DIAMOND NA MOBETO LASULUHISHWA USTAWI WA JAMII

  Sakata la matunzo ya mtoto lilikuwa kikiwakabili mastaa wawili Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Hamisa Mobeto leo liliingia Mahakakama ya...

READ MORE

WAKUZA MISULI KWA KUJIDUNGA MADAWA HATARI

    NDUGU wawili wa kiume, Tony ‘Hulk’ Geraldo  (49)  na Alvaro ‘Conan’ Pereira (50)  wa Brazil wamekuwa wakijidunga madawa...

READ MORE

AJIFUNGUA MTOTO KWENYE KORIDO HOSPITALINI

    JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido...

READ MORE

Uwoya, Aunt Ezekiel Wamchokonoa Shonza

DAR ES SALAAM: KITENDO cha wasanii wa filamu, Aunt Ezekiel Grayson Gwantwa ‘mama Cookie’ na Irene Pancras Uwoya kutupia picha...

READ MORE

IDRIS; MKALI ANAYETESWA NA KIVULI CHA JOTI!

UNAPOTAJA waigizaji wanaofanya vizuri kwa sasa Bongo, huwezi kuacha kumzungumzia, Idris Sultan. Idris ambaye aliwahi kushiriki kwenye Shindano la Big...

READ MORE

Mwanaume wa Sanchi Huyu Hapa

MWANAMITINDO mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ametaja vigezo vya mwanaume ambaye angependa kuwa mume wake. Akizungumza na gazeti...

READ MORE

Davina Atimka Kisa Kupigwa Chabo

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akitoka nduki baada ya kushtukia anapigwa chabo na makonda wa daladala....

READ MORE

Mimi Mars: jux ni Zaidi ya Shemeji

  MIMI Mars ni miongoni mwa wanadada wanaofanya vizuri kwa sasa kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva. Jina lake...

READ MORE

Nuh Mziwanda Alia Wimbo Wake Kuvuja

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amejikuta akihuzunishwa na kitendo cha wimbo wake kuvuja kwani hakuwa...

READ MORE

Aslay, Msagasumu Kuifunika Mbagala Valentine’s Day

  UKIWA ni mwezi wa malavidavi, wakali wawili, Mfalme wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu’ pamoja na hitmaker wa Ngoma ya...

READ MORE

BABA, BINTI WAKAMATWA KWA KUDAIWA KUZAA MTOTO

STEVEN PLADL (42) wa Knightdale, North Carolina, Marekani, na binti yake Katie Pladl (20) walikamatwa Jauari 27 mwaka huu baada...

READ MORE

Tunda Umbo Dogo Lakini ‘Kawapiga Pini, Dada Zake

SIKU za nyuma kidogo, utakubaliana na mimi kwamba mastaa kama vile Wema Sepetu, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jack Wolper na...

READ MORE

Aslay, Msagasumu Kuondoka na Tuzo Valentine’s Day

  HIT MAKER wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka pamoja na mkali wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu wanatarajiwa kupewa tuzo...

READ MORE