×

Burudani

Chuz: Kiki Hazina Mpango

  MKONGWE wa filamu za Kibongo, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuachana na kiki kwani hazina...

READ MORE

Idris Sultan Ampa Pole Mama Lulu

MCHEKESHAJI na mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan, ametoa pole kwa mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Kalugira,...

READ MORE

Ebitoke Akana Kupotea Kwenye Game

  UNAMKUMBUKA msanii wa vichekesho aliyejichukulia umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, Anna Exavery ‘ Ebitoke’, amedai kuwa bado hajapotea...

READ MORE

Baba Kanumba Alalamikia Hukumu ‘Ndogo’ Dhidi ya Lulu

BAADA ya Mahakama Kuu kumhukumu mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenda jela miaka miwili kwa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwigizaji Steven...

READ MORE

Video: Mama Kanumba Aishukuru Mahakama Kumhukumu Lulu

Mama wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa,  akiongea na wanahabari nje ya Mahakama Kuu leo, ametoa pongezi kwa mahakama hiyo kwa...

READ MORE

Wema Ampa Pole Lulu Kwa Kufungwa Miaka Miwili

MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, kupitia akaunti yake ya Instagram ame-post ujumbe unaompa pole mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’,...

READ MORE

Uwoya Hana Mizuka Na Mashoga

STAA mwenye makeke kwenye Bongo Movies, Irene Uwoya ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa katika maisha yake na miaka yote hajawahi kuwa...

READ MORE

Lulu Diva Anawacheka Kwa Dharaaau!

VIDEO Queen aliyegeukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, amefunguka kuwa, wale wote waliomuita gumegume kipindi cha nyuma, sasa...

READ MORE

NDOA YA DOGO JANJA, UWOYA YAMNYIMA USINGIZI NDIKUMANA!

  Siku chache baada ya kusambaa kwa picha za harusi za aliyekuwa mke wake ambaye ni Queen wa Bongo Muvi,...

READ MORE

Kidoa Amkingia Kifua Mobeto

MUUZA nyago matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’, amewataka mastaa wa kike Bongo waache kuendelea kumuandama mwanamitindo, Hamisa Mobeto baada ya...

READ MORE

Mwakyembe aunda kamati ya kusimamia maandalizi ya uenyeji wa michuano ya vijana 2019

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harryson Mwakyembe leo ametangaza majina wajumbe 25 wa Kamati ya Maandalizi kuelekea...

READ MORE

TFDA YAANIKA SABABU KUFUNGIA LIPSTIC YA WEMA

Serikali imeanika sababu ya kuifungia lipstic ya mwanadada aliyewahi kuwa Miss Tanzania na Muigizaji wa Filamu Bongo, Wema Sepetu iitwayo...

READ MORE

Mobeto Aumbuka Mahakamani, Timu Zari Full Vicheko

  VIDEO Queen matata Bongo, Hamisa Mobeto ameumbuka baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar upande wa Watoto...

READ MORE

Mr. Nice Afungukia Kususa Shoo Za Bongo

MKALI wa Miondoko ya Tanzania, Kenya na Uganda (Takeu), Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’ amefungukia sababu za kususa shoo ndani ya...

READ MORE

AY, FA Kurudi Tena Mahakamani

WANAMUZIKI ambao wanakimbiza kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo muda mrefu, Ambwene Yessaya ‘AY’ na Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’,...

READ MORE

Nuh Apangua Kuimba Na Aliyemchukulia Mke

BAADA ya habari kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanaume aliyemuoa aliyekuwa mke wa ndoa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Bila Kubadilika, Kiki Na Bifu Hazitasaidia Bongo Movie

  MAISHA ni kitu cha ajabu kabisa. Leo mambo yanaweza yakawa mabaya kwa mtu fulani kiasi cha kila mmoja kumuonea...

READ MORE

Ndoa Isikufanye Uwe Na Papara

NDOA ni jambo la heri kwa kila mwanadamu hasa anapokuwa amefikia wakati wa kuolewa au kuoa, kwani kwa tamaduni za...

READ MORE

Blac Chyna Ndani Ya Penzi Jipya!

MARA baada ya migogoro kuzidi na kusababisha kutemana na mzazi mwenzake ambaye pia ni kaka wa mwanamitindo, Kim Kardashian aitwaye...

READ MORE

Dogo Janja Anakimbia Kivuli Chake!

MCHANA wa Ijumaa ya Desemba 24, 1993 hali ya hewa ikiwa ya manyunyu kwa mbali, katika jumba moja lililopo Pawling...

READ MORE

Madee Kiki Waachie Wasanii Wachanga!

HAMAD Ally ndilo jina lake, msela mmoja wa Manzese jijini Dar, ambaye kabla hajajiingiza katika muziki, hakukuwa na mtu anayemfahamu....

READ MORE

Tunda Afungukia Mimba Ya Mbongo Fleva

  BAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa...

READ MORE

Kajala Kuasili Mtoto Wa Kulea

STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa yuko mbioni kuasili mtoto kwenye kituo kimoja cha kulelea watoto yatima...

READ MORE

Flash Back…Ya Mastaa Ndani Ya Skendo Ya Usagaji

KATIKA ulimwengu wa mastaa wa kike wa kiwanda cha sinema za Kibonngo almaarufu Bongowood, kuna wahusika wake ambao wamewahi kugandwa...

READ MORE

Mc Pilipili: Kweli Nicole, Rose Ndauka Nimetembea Nao, Si Nandy!

MCHEKESHAJI mahiri, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ ameweka wazi kuwa Miss Shinyanga na mshiriki wa Miss Tanzania 2014, Nicole Sarakikya na...

READ MORE

Sanchi: Atoa Povu Kisa Kupondwa Miguu

Jane Rimoy ‘Sanchi’. MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amewatolea uvivu watu wanaomponda mitandaoni kuwa ana miguu mibaya akidai si...

READ MORE

Mr Nice Aibuka Na Dogo Janja, Irene Uwoya!

UNAPOZUNGUMZIA wakongwe wa muziki wa Bongo Fleva waliowahi kutusua, huwezi kumuacha Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Kwa mfuatiliaji wa burudani Bongo...

READ MORE

Milioni 400 za Wema Zatajwa Ndoa Ya Irene Uwoya!

DAR ES SALAAM: Nyuma ya sarakasi ya kile kinachosemekana ni ndoa kati ya staa wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya...

READ MORE

Pretty Kindy: Hakuna Wa Kunilinganisha Na Akina Amber Lulu

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni video queen na muigizaji wa Bongo Movies anayekuja kwa kasi Bongo, Pretty Kindy...

READ MORE

Bahati Bukuku: Mafanikio Yanaanza Na Nidhamu!

LEO tunaye mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Bukuku ambaye anaeleza dondoo mbalimbali juu ya mafanikio, lengo likiwa ni...

READ MORE

Kimenuka tena! Zari Amvaa Tena Mobeto

Kimenuka tena! Ndivyo unavyoweza kusema, siku chache baada kushambuliana kwa maneno kisha ukimya kupita, mfanyabiashara maarufu Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Choki: Muziki Wa Dansi Ni Kama Jeans, Haufi!

MUZIKI wa Dansi, ambao miaka kumi iliyopita ulikuwa ndiyo habari ya mjini katika burudani, hivi sasa unaonekana kupoteza mvuto, kiasi...

READ MORE

Ericah: Sitaki Kuolewa, Nakula Ujana

  MUUZA nyago kwenye video za wasanii mbalimbali Bongo, Ericah amesema hataki kuolewa kwa sasa, kwa sababu muda wake wa...

READ MORE

Msama Kumrudisha Rose Muhando

  BAADA ya mwimbaji wa muziki wa Injili, Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu huo, aliyekuwa meneja wake,...

READ MORE

Kisa Cha Koletha Kumwacha Mwanaye

STAA wa filamu aliyeshinda shindano la kusaka vipaji vya sauti lililoendeshwa na Kampuni ya Star Times, Koletha Raymond atamuacha mwanaye...

READ MORE

Snura Naye Kuiburuza Kampuni Mahakamani

WAKATI marapa marafiki Ambwene Yesaya ‘AY’ na Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ wakiwa wamekaa mkao wa kula kusubiri mamilioni ya shilingi...

READ MORE

Barua Nzito: Uwoya, Dogo Janja Mmejimaliza

  NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa kibali siku nyingine kuweza kukutana nawe msomaji, pia wewe msomaji wa Barua Nzito...

READ MORE

Mashehe Wakataa Ndoa Ya Dogo Janja na Uwoya

WAKATI sakata la ‘ndoa’ ya msanii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ na mwigizaji Irene Pancras Uwoya likizidi kupamba...

READ MORE

Keisha: Narudi Ila Si Kwa Kiki Za Janjaro

INAKUAJE sasa! Msanii wa Bongo Fleva, Khadija Shabani ‘Keisha’ amefunguka kuwa, anatarajia kurudi kwa kishindo kwenye gemu ila ujio wake...

READ MORE