×

Burudani

Beka Flavour Awachana Shilole, Gigy

HASIMU wa muziki wa Aslaya Isihaka, mkali wa ngoma ya Libebe, Bakari Katuti ‘Beka Flavor’ amewachana wasanii wenzake, Zuwena Mohamed...

READ MORE

Rammy Gallis Ageukia Ujasiriamali

SIJUI ndiyo kusema vyuma vimekaza au nikujiongeza! Msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis ameamua kugeukia ujasiriamali kwa sababu anahisi kwa...

READ MORE

Odama Apangua Skendo Ya Kujitenga

MSANII wa filamu mwenye uwezo mkubwa awapo mbele ya kamera, Jennifer Kyaka ‘Odama’, amepangua ishu ya kuonekana anajitenga na wasanii...

READ MORE

Ndoa Ya Shilole Haina Mwaliko

MWA NAMUZIKI mahiri wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’ amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa yake Desemba, mwaka huu...

READ MORE

Ester Kiama Aomba Baraka Kwa Watoto Yatima

MUIGIZAJI anayekuja vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama, juzi alikwenda kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa katika Kituo cha...

READ MORE

Batuli Afurahia Kupotea Kisa Mashabiki Wake

STAA wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amesema kuwa, anafurahi  alivyokaa kimya kwa maana kufanya hivyo kunawafanya mashabiki wake wasimchoke...

READ MORE

Jike Shupa Atolewa Vyombo Usiku Wa Manane

UBUYU wa leo ni wa moto na hauna bei kwani upo kwenye punguzo maalum kutokana na hali ya sasa kifedha...

READ MORE

Riyama Anakomaa Na Maisha Yake

MWIGIZAJI mwenye uwezo mkubwa wa kuigiza Bongo, Riyama Ally amefunguka kuwa, maisha anayoishi kipindi hiki ni ya kukomaa na kivyakevyake...

READ MORE

Nahreel Na Aika Kimeelewekaaa!

  NAVY Kenzo kruu ya watoto wa kishua katika Afrika Mashariki, inaundwa Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale. Mbali na...

READ MORE

NAWAL AFUTA TATTOO YA NUH MZIWANDA!

Ni utamaduni wa mastaa wa Bongo, mara tu wanapoanzisha uhusiano na kukolea kwenye penzi jipya, kujichora tattoo ya jina la...

READ MORE

Zari Aumbuliwa Na Mitandao Ya Habari Nchini Uganda!

  Wakati akitajwa kuwa mmoja wa wanawake masta-watafutaji na matajiri wa Afrika Mashariki, mwanamama Zarinah Hassan Tlale almaarufu Zari The...

READ MORE

Wema Aliamsha Dude Kwa Marafiki wa Bwana’ke

  Siku chache baada ya picha za muigizaji Wema Sepetu na bwana’ke mpya aitwaye Bakari Kila akiwa bafuni kuvuja, mrembo...

READ MORE

Sarakasi za Uwoya Kubadili Wanaume Zalichefua Kanisa

Baada ya ku­vuja kwa picha za staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani) akiwa na staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz...

READ MORE

Jokate Awapiga Pini Wanafunzi Kuingia Gesti

MWANAMITINDO ambaye pia ni Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa UVCCM, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewapiga pini wanafunzi wa Mugabe Sekondari...

READ MORE

Global Tv Online: Usikose Kutazama Tamthilia ya Shevola Leo Saa 12:00 Jioni

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA...

READ MORE

Shamsha: Nimeridhika Sina Mimba Jamani

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana mimba kama wengi wanavyodhani bali amenenepa kwa kuwa ameridhika na...

READ MORE

Ester, Aunt Ezekiel Wamaliza Bifu Lao

BAADA ya mastaa wawili wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Ester Kiama kuwa kwenye bifu la muda mrefu ambalo hawakuwahi...

READ MORE

Wadada wa Mjini…Eti bora Kuwa ‘Single Mother’ Halafu?

SINGLE mother ni kamsemo ambapo kadiri siku zinavyozidi kwenda kanazidi kushika hatamu. Si msemo wa asili yetu bali tumeuchukua kutoka...

READ MORE

Huku ‘ndoa’ Yake na Uwoya Ikitikisa…Dogo Janja, Mijimama Siri 4 Zavuja!

  SIKU zinakwenda kwa kasi kwani ni ‘majuzi’ tu zilisambaa taarifa za dogo anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Abdulaziz Chende...

READ MORE

DOGO JANJA: NI KWELI NIMEMUOA UWOYA

Eh! Bwana kweli! Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya Ngarenaro, Dogo Janja,  amethibitisha kumuoa muigizaji wa filamu, Irene...

READ MORE

Kajala Amfanyia Kufuru Kassim Mganga

HUKU watu mbalimbali wakiwemo maarufu nchini wakilia kuwa, hali ya uchumi siyo nzuri ‘vyuma vimekaza’, mwanadada anayefanya vizuri kwenye ulimwengu...

READ MORE

Mastaa Kiboko Kwa Kubadili Nywele Za Gharama Bongo

MASTAA wengi Bongo,kitu kikubwa wanachopenda ni kuonekana bomba kwenye vichwa vyao ambapo mara nyingi utawaona wamebadilisha mitindo mbalimbali ya nywele....

READ MORE

Za Chembe Lazima Ukae…Ni Aibu Uwoya Kuishi Kwa Kiki

KITU kimoja ambacho waigizaji wa filamu Bongo wanakitambua ni kuwa kazi hiyo hailipi kwa sasa. Labda kwa waigizaji wakubwa wenye...

READ MORE

Nandy: Dogo Janja Angemuoa Uwoya Ningealikwa Tu!

STAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefunguka kuwa, kama msanii mwenzake, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ angemuoa msanii wa Bongo...

READ MORE

Steve Atoa Saluti Kwa Aunt Ezekiel

  MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steve Nyerere amefunguka kuwa mwanamke anayemheshimu Bongo Muvi kwa sasa ni Aunt Ezekiel pekee. Akizungumza na...

READ MORE

Baby Madaha Atoboa Siri ya Namba 666 Kwenye Jina Lake

MWANAMUZIKI ambaye pia ni muigizaji kutoka Bongo, Baby Madaha ametoboa juu ya namba 666 ambayo anaitumia kwa sasa ikiwemo kwenye...

READ MORE

Siwema: Kuachwa Kulinipa Akili

  MZAZI mwenziye na mwanamuziki Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa kama asingepitia misukosuko ya...

READ MORE

Shamsa Atoa Povu Kisa Kuuza Duka!

MREMBO wa Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa povu la aina yake kwa mashabiki wanaomponda kwa kitendo cha yeye kuuza duka...

READ MORE

Amanda Awananga Mastaa Walevi

STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Poshi ameibuka na kueleza kuwa kutokana na watu wengi kulia ugumu wa maisha kwamba...

READ MORE

Kimenuka Upya! Soo La Zari, Mobeto Latinga Polisi!

DAR ES SALAAM: Hatimaye lile soo baab’kubwa la bifu kati ya mwanamitindo na video ‘vixen’ matata wa Bongo, Hamisa Hassan...

READ MORE

Seth: Mobeto Alijitabiria Kabla Hayajatokea

MSANII wa filamu, Seth Bosco amefunguka kuwa sakata la kuzalishwa na kutelekezwa na msanii wa Bongo Fleva, mwanamitindo Hamisa Mobeto...

READ MORE

Jogging 200 Kukutana Dar Live Jumapili

MAGENGE 20 Jogging and Sports Club kwa kushirikiana na Dar Live wamejipanga kuvikutanisha vilabu vya jogging na gym zipatazo 200...

READ MORE

Rammy Afunguka Kubanjuka Na Nikole

MSANII wa filamu Bongo, Rammy Galis amefungukia nyepesi za kuwa anabanjuka na msanii mwenzake, Naomi Salakikya ‘Nikole’ kwa kusema hakuna...

READ MORE

Nandy: Sipendi Kufananishwa Na Ruby

MREMBO aliyelikamata anga la Bongo Fleva, Nandy amewataka watu wanaomfananisha na mwanamuziki mwenzake Ruby kuacha mara moja kwa kuwa kila...

READ MORE

Gigy Money: Kudanga Kunaniweka Mjini!

MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni...

READ MORE

Sharo Milionea Akanusha Bifu Lake Na Kitale!

WINGU zito limetanda na kuzua hofu kubwa moyoni mwangu. Natamani kuondoka mahali nilipo lakini naukosa mlango na kujikuta nikikaa kwa...

READ MORE

Uwoya Apewa Makavu na Mashabiki Kisa Dogo Janja!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kudaiwa kuwa amefunga ndoa na staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’,...

READ MORE

Misifa ya Prezoo Yamlewesha Amber Lulu

MWANA-MUZIKI na muuza sura kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amelewa na sifa anazomwagiwa...

READ MORE

Steve Nyerere Alikoroga Ndoa ya Joti

Muigizaji na mchekeshaji Steve Mengere maarufu kama Steve Nyerere amelikoroga katika ndoa ya mchekeshaji mwenzake, Lucas Mhuvile ‘Joti’ kufuatia ‘comment’...

READ MORE