×

Burudani

Super Nyamwela Aeleza Kufundisha Dansi Kanisani

MWANAMUZIKI wa Dansi, Hassan Mussa ‘Super Nyamwela’ ameibuka na kueleza kuwa haoni shida anavyofundisha kucheza ‘dansi’ kanisani kwani ndiyo kazi...

READ MORE

Mbasha Aibuka na Kiki ya Mchumba

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha ameibuka na kiki ya aina yake tofauti na mastaa wengine baada ya...

READ MORE

Koletha: Adaiwa Kupigwa Stop Kuigiza Filamu

MSANII wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond anadaiwa kupigwa stop kucheza filamu na mumewe Temba ndiyo maana amejikita kwenye mambo...

READ MORE

Video ya Mwana FA, AY, FID Q Ya ‘Upo Hapo’ Yazinduliwa, Ipo Hapa

Wakongwe wa Gemu ya Bongo Fleva, Mwana FA, AY na FID Q wamezindua Video ya Kolabo yao inayoitwa ‘UPO HAPO’...

READ MORE

Walishtuka Wakasepa, Wakatusua

MVUTO wa makundi mengi yanayofanya Bongo Fleva umekuwa ukipungua kila siku huku namba ya wasanii ambao wanafanya muziki wa peke...

READ MORE

Tunda: Nilificha Mimba, Naogopa Ndumba

VIDEO Queen wa Bongo,Tunda Sebastian ametoa sababu ya kudanganya kuwa hakuwa na ujauzito kwamba kuonesha tumbo la mimba ni kuwapa...

READ MORE

Sanchi: Najutia Uzee Wangu na Mitandao

MWANAMITINDO ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa anajutia akifikisha umri wa...

READ MORE

Kula Unga, Kuishiwa Prezzo Muda Utatuambia

JACKSON Ngechu Makini ndilo jina lake halisi, lakini kwa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki na Kati, wanamtambua...

READ MORE

Chris Brown Kumrudia Rihanna

TAARIFA kutoka chini ya kapeti zinaeleza kuwa, miezi michache baada ya kutengeneza filamu fupi ya maisha yake, mkali wa Muziki...

READ MORE

JB AANIKA SIRI YA KUPIGA CHINI MUVI

AMITABH Bhachchan ni muigizaji maarufu duniani aliyejipatia jina kupitia Tasnia ya Filamu India inayojulikana kwa jina la Bollywood. Kwa wapenzi...

READ MORE

Amina Chifupa Akumbushia Vita ya Madawa ya Kulevya

HOW To Get Rich (Jinsi ya kuwa tajiri), ndiyo jina la kitabu nilichokuwa nimekishika mkono wa kushoto, ambacho mwandishi wake...

READ MORE

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA UREMBO WA DUNIA 2017

MISS Tanzania mteule wa mwaka 2017, Julitha Kabete,  leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania kwa ajili ya kushiriki mashindano ya urembo...

READ MORE

Mshindi wa Tatu Mzuka Apatikana, Anyakuwa Milion 55

Siku ya jana Mratibu wa shindano la Tatu Mzuka, Sebastiani Maganga amemtangaza, Juma Omary mshindi wa droo hiyo inayoendelea baada ya...

READ MORE

Kisa Kimini, Pretykind Azomewa

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael maarufu kama Pretykind, juzikati alionja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wanafunzi pamoja...

READ MORE

Miss Mara Anaswa na Kidume!

MARA paaaap! Miss Mara mwaka 2000, Rashida Wanjara ambaye ni mmoja wa masupastaa wa muda mrefu wanaopatikana katika viwanja vya...

READ MORE

Shilole: Namwamini Mpenzi Wangu

LICHA ya mastaa wenzake akina Shamsa Ford na Aunt Ezekiel kuwatolea povu wasichana wanaowamendea waume zao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yeye...

READ MORE

Kisa Ndoa Ndugu Wadaiwa Kumsusa Zamaradi

  BAADA ya kufunga ndoa hivi karibuni na kuibua gumzo kubwa nchini, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds TV, nyepesi vimevuja kuwa...

READ MORE

Nailaty: Mobeto Tulia Uwalee Watoto, Achana na Drama

MWANADADA anayefanya poa kwenye ulimwengu wa mitindo Bongo, Nailaty John ‘Nai Model’ amemfungukia mwanamitindo mwenzake, Hamisa Mobeto na kumtaka aachane...

READ MORE

Barua Nzito: Aslay Sikio Lisizidi Kichwa!

NIWASHUKURU wasomaji wa Barua Nzito kwa maoni na ushauri wenu mbalimbali. Kama ambavyo niliwahi kueleza awali kuwa lengo la safu...

READ MORE

Wema Aanika Madai ya Kulala kwa X Wake Madale

KWA mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu, mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

Umeinyaka Hii ya Birdman wa CashMoney Kutua Tanzania?

TAARIFA iliyotufikia kwenye dawadi letu la GlobalHabariUpdates ni kwamba, Rapper na Producer maarufu wa Marekani Bryan Williams ‘Birdman’ wa Kundi...

READ MORE

Wema Sepetu: Umaarufu Unani ‘Cost’

MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu, analia na umaarufu mkubwa alionao kwani umemfanya kushindwa kufanya vitu vingi ambavyo kama...

READ MORE

Steve Nyerere: Ni Aibu Staa Kufa Kwenye Nyumba Ya Kupanga

MCHEKESHAJI maarufu wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, amesema kuwa hakuna kitu kibaya kama staa mkubwa kufa akiwa bado yuko kwenye...

READ MORE

Amber Lulu: Tunajichetua Kwa Ajili Ya Maisha

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali Bongo, ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’, amefunguka kuwa vituko...

READ MORE

AMBA LULU: NATAMANI JUX AWE MPENZI WANGU

MSANII na mnenguaji kwenye video za wasanii hapa Bongo, Amber Lulu, amefunguka kwamba anampenda mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux...

READ MORE

Kimenuka… Ray C Amuwakia Nandy

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hatasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wanamuziki wanaoimba nyimbo zake bila makubaliano Nyota...

READ MORE

Aslay Afungukia Matumizi ya Kinga

STAA wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, amefunguka kuwa, kwenye maisha yake ya faragha kamwe huwa haachi kutumia kinga kwa...

READ MORE

Idris: Nikiwa Lokesheni Nabadilika Mpaka Moyo

MCHEKESHAJI anayefanya poa Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa anapokuwa lokesheni kwa ajili ya kazi hujikuta anabadilika mpaka moyo wake kwa...

READ MORE

KISA UMATI WA WATU, LULU AMPIGIA SALUTI ZARI!

Ule msemo wa nabii hakubaliki kwao! Umeweza kujidhihirisha kwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, na mzazi mwenza wa msanii wa Bongo...

READ MORE

Mapigo Matatu Ya Hamisa Mobeto

Mwanamitindo na Video Queen, Hamisa Mobeto usiku wa kuamkia jana aliangusha bonge la parti ndani ya Ukumbi wa King Solomon...

READ MORE

Moto wa Fiesta Kuwaka Songea Leo

BAADA ya moto mkali kuwashwa jijini Mbeya, hatimaye wakazi wa Songea watakuwa na kazi ya kuhakikisha wanauzima moto leo katika...

READ MORE

GLOBAL COLLEGES BASH KUWAUNGANISHA WASOMI NCHINI (VIDEO)

TAMASHA lijulikanalo kama Global Colleges Bash linaloendelea sasa nchini  limelenga kuwaunganisha wasomi katika vyuo kwa lengo la kuhamasishana  katika masomo...

READ MORE

ZARI, BWANA’AKE WAWAFUNGA MIDOMO VIZABIZABINA!

  Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbongo Fleva, ambao...

READ MORE

NUH MZIWANDA AANDIKA WARAKA MZITO KWA MTOTO WAKE!

  Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia nyasi! Hicho ndicho kinachoendelea kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’,...

READ MORE

Zari ni Habari Nyingine Kabisa… Aisimamisha Mlimani City – Video

MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua...

READ MORE

Chuz Adaiwa Kuvuruga Ndoa Ya Msanii Wa Bongo Fleva

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva aliyetamba na Ngoma ya Binti Mlokole, Jimmy Gulam ‘Father G’ ameibuka na kumlalamikia staa wa filamu...

READ MORE

Baba: Wallah Nitakufa Na Mobeto

BAADA ya hivi karibuni mwanamitindo Hamisa Mobeto kumpeleka mahakamani msanii wa Bongo Fleva kwa madai ya malezi ya mtoto aliyezaa...

READ MORE

Dida: Sijawahi Kuhongwa Chochote Na Mwanaume

MTANGAZAJI wa redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa katika maisha yake hajawahi kuhongwa chochote na mwanaume, mafanikio yake...

READ MORE

Mobeto: Nimekubali Kuwa Nyumba Ndogo Kwa Zari (Videoz +Pichaz)

MWANAMITINDO  Hamisa Mobeto amefunguka kuhusu uhusiano wake na mjasiriamali Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwa hana tatizo na ‘mke...

READ MORE