×

Burudani

Mwakyembe Apiga Marufuku Tuzo za Muziki na Mashindano ya Miss Tanzania

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku uandaaji na uendeshwaji wa mashindano ya urembo (Miss Tanzania)...

READ MORE

DOGO JANJA KATOA POVU KWA YOUNG DEE

JANJMSANII wa Hip Hop nchini Dogo Janja aliyekaa kimya juu ya kauli za Young Killer na Young Dee, sasa kafunguka...

READ MORE

Betty G Amliza Nandy ‘Coke Studio Africa’

MSANII wa muziki kutoka  Namibia,  Betty G Amliza Nandy ‘Coke Studio Africa’, amemtoa machozi Nandy kwenye Stage ya Coke Studio...

READ MORE

ALI KIBA ALIVYOITEKA MWANZA NA SEDUCE ME

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ usiku wa kuamkia jana aliliteka Jiji la Mwanza kupitia wimbo wake...

READ MORE

Nandy: Nilikata Tamaa Nikiwa B-Band

MKALI wa Ngoma ya Wasikudanganye, Fausta Charles ‘Nandy’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, katika maisha yake ya muziki amewahi...

READ MORE

KAYUMBA WA BSS, MADADA 6 WALIAMSHA DUDE MUZIKI MNENE (Video)

MSANII zao la Bongo Star Search (BSS) Kayumba Juma jana alikuwa kivutio kikubwa wakati wa tamasha la Mziki Mnene linaloendeshwa...

READ MORE

TAMKO LA GLOBAL KUHUSU HABARI YA WEMA NA BWANA MPYA

WAPENZI wasomaji wetu, mara kadhaa Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa Magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Risasi Jumamosi,...

READ MORE

NJENDANI YA EFM REDIO YAWAFIKIA WAKAZI WA KINONDONI

  Efm redio imewafikia wakazi wa Kinondoni siku ya leo ya tarehe 22/09/2017, kwa kupitia tamasha lake la Njendani lililofanyika...

READ MORE

ESHA KUMWANIKA MWANAYE LEO

MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti leo anatarajia kumwanika mwanaye kwa ndugu na marafiki ambapo atamfanyia sherehe ya nguvu....

READ MORE

Bill Nass: Nina Sababu Asilimia 60 Za Kumuoa Nandy

MSANII wa Hip Hop nchini Bill Nass anayetamba na wimbo wake mpya wa Sina Jambo amefunguka juu ya upendo wake...

READ MORE

Kumbe Ruby Alikuwa na Ujauzito Feki?

BAADA ya hivi karibuni kuonekana na mwenyewe kukiri kwamba ni mjamzito lakini ghafla ujauzito huo kuyeyuka na kuzua gumzo kwa...

READ MORE

Ua la Idris Lamtoa Machozi Wema

STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Ua alilodaiwa kumpelekea Idris ambalo si lake limemsababishia kugombana...

READ MORE

Mainda Azua Timbwili Nyumbani Kwao!

STAA wa Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ juzikati alizua timbwili nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni jijini Dar alipotembelewa na waandishi...

READ MORE

Nikki wa Pili Ampa Makavu Dogo Janja

STAA wa Hip Hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, amempa makavu msanii mwenzake, Abdulaziz Aboubakar Chende ‘Dogo Janja’ kwa...

READ MORE

Shetta Apata Mtoto Mwingine

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal maarufu kwa jina la Shetta, ameonyesha urijali wake kwa kubahatika kupata mtoto...

READ MORE

BAADA YA PRINCE DYLAN, MOBETO SASA KUZAA MAPACHA!

Ukisikia mfanyabiashara Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anakosa usingizi, basi ujue ni kwa sababu ya mwanamitindo Hamisa Mobeto, ambaye...

READ MORE

WIZKID AWEKA REKODI KITABU CHA KUMBUKUMBU CHA DUNIA

SALUTE kwake mzee baba! Mwanamuziki wa Kinigeria mwenye jina kubwa Afrika, anayekimbiza kila kona, Wizkid ameweka rekodi mpya ya kuwekwa...

READ MORE

ZARI: MTOTO WA MOBETO ASIWASHOBOKEE WATOTO WANGU!

  Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia ni nyasi! Hiyo imejidhihirisha kufuatia ‘vita ya penzi’ inayoendelea kuunguruma mitandaoni kati ya mwanamitindo...

READ MORE

YOUNG DEE: YOUNG KILLER NA DOGO JANJA NI VIFARANGA TU!

MSANII wa HipHop nchini,   Young Dee,  anayetamba na ngoma yake mpya ya Utani Utani ametoa povu juu ya kauli ya...

READ MORE

QUICK ROCKA : VIJANA WANGU NI WAKALI KWA HIPHOP TANZANIA NZIMA

MSANII wa miondoko ya Hip Hop Quick Rocka anayetamba na wimbo wake mpya wa STILL,  ambaye pia ni meneja wa...

READ MORE

AMBER LULU: NILIKIMBIWA NA RAMMY GALIS HOTELINI

MSANII na mnenguaji  wa kwenye video za wasanii (video vixen) Amber Lulu, ambaye  anatamba na wimbo wake wa Only You...

READ MORE

ACHANA NA ILE RAV 4, MOBETTO KUSHUSHIWA PRADO MPYA!

Mwanamitindo ‘hot’ ambaye kwa sasa amegeuka mswaki kutokana na kuongelewa kila kona, Hamisa Mobetto, amewaacha watu njia panda baada ya...

READ MORE

Wema Anaswa Live Kwenye Sofa Kochi na Kidume Kipya -Video

MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao...

READ MORE

Kajala Atoa Povu Kisa Kudandia Mume Wa Mtu

STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ametokwa povu kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia katika maisha...

READ MORE

ASHAROSE MIGIRO AULA TENA UN

MWANADIPLOMASIA ambaye pia ni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Dk Asha-Rose Migiro ameula tena katika Baraza la Umoja wa Mataifa...

READ MORE

Droo Kubwa Shinda Nyumba Ni Viwanja Vya Mabibo Las Vegas

DROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ambayo itachezeshwa Jumatano ijayo, Septemba 27, mwaka huu, ili...

READ MORE

Dokii Wanaume wote ‘chenga’

MUIGIZAJI kitambo kwenye tansia ya filamu Bongo, Ummy Wencelaus ‘Dokii’ ameibuka na kusema kuwa anaona umri unazidi kusonga mbele siku...

READ MORE

DAVINA: AMLIPUA MOBETTO

STAA wa filamu Bongo Halima Yahya ‘Davina’ amemlipua mwanamitindo maarufu, Hamisa Mobetto kutokana na ishu ya kuzaa na Mbongo Fleva...

READ MORE

Kajala Adaiwa Nyakunyaku, Afunguka!

KUFUATIA uwepo wa tuhuma kwamba anaongoza kwa kukwapua mabwana wa watu, muigizaji kiwango, Kajala Masanja ameibuka na kukanusha vikali madai...

READ MORE

Mama: Nasubiri ndoa ya Lulu

MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha...

READ MORE

Nyamwela: Bora Bongo Fleva Kuliko Dansi

MNENGUAJI na mwanamuziki wa Dansi ambaye kwa sasa amegeukia pia Bongo Fleva, Hassan Musa ‘Super Nyamwela’ bendi za muziki wa...

READ MORE

Familia Ya Jini Kabula Yawashukuru Watanzania!

FAMILIA ya msanii wa Bongo Movie, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ imetoa shukrani za dhati kwa wote walioguswa na kujitolea michango...

READ MORE

BAADA YA MTOTO WA MOBETO, MAPACHA WENGINE WAIBUKA KUTOKA BURUNDI!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati sakata la mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kuzaa na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

CHAMBUSO: MUZIKI SIYO WA MKUBWA FELLA!

Meneja wa mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa, Aslay Isihaka ‘Dingi Mtoto’, Chambuso amesema Mkubwa Fella haumiliki muziki wa kizazi kipya...

READ MORE

UWOYA ACHORA TATTOO INAYODAIWA YA BWANA MPYA!

  BAADA ya penzi lake na mwanamuziki wa Bongo Fleva, kupotelea hewani, hatimaye Diva machachari kunako tasnia ya filamu Bongo,...

READ MORE

CHEGE: KUNA VICHWA 14 KWENYE ALBAMU YANGU

MSANII wa muziki nchini, Chege Chigunda ‘Mtoto wa Mama Saidi’, amefunguka juu ya ujio wa albamu yake mpya aliyoiachia hivi...

READ MORE

Chuzi Akwaa Balaa Jingine!

IKIWA bado lile sakata lake na Chama cha Waigizaji kupelekana mahakamani halijapoa, msanii nguli wa tamthiliya Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr....

READ MORE

Irene Uwoya: Napenda mwanaume mwenye sura ya kiume

MWIGIZAJI maarufu wa kike wa filamu za Bongo anayeitingisha Bongo Movie ambae pia aliwahi kuolewa na mcheza soka kutoka Rwanda,...

READ MORE

Wema, Huddah Waingilia Ugomvi wa Zari, Hamisa

Wakati kitendawili cha nani ni baba wa mtoto wa pili wa mwanamitindo Hamisa Mobeto kikiteguliwa baada ya mwenyewe kukiri hadharani...

READ MORE

Mmiliki wa Nyumba Ya Pili Ya Global Sasa Kujulikana J’5 ijayo

BAADA ya miezi sita ya wasomaji wa maga­zeti ya Global Publish­ers, kukata na kutuma kuponi zao kwa ajili ya Bahati...

READ MORE