×

Burudani

GHETTO KIDS: KUTOKA MATOPENI MPAKA MAMTONI!

  Moyo wa subira, juhudi na ubunifu ndiyo kila kitu katika maisha ya mtu mwenye shauku ya mafanikio. Hicho ndicho...

READ MORE

Kidoa: Bila Cheni Kiunoni Sijatimia!

MUIGIZAJI ambaye pia ni Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema katika mwili wake atavaa...

READ MORE

Lulu Aingia Mkataba na Jaguar

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas `Lulu Diva’ amejikuta kwenye furaha ya aina yake baada ya kuingia mkataba na msanii...

READ MORE

Sanchi Ajitosa Kwenye Kilimo

VIDEO queen mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi dhamira yake ya kujitosa kwenye biashara ya kilimo cha...

READ MORE

VIDEO: Global TV Kenya Yamuibua Juacali

  Paul Julius Nunda, maarufu kwa jina la Juacali, Msanii wa muziki wa Genge kutoka nchini Kenya ameongea na Global...

READ MORE

Malaika, Kiki Zingine Zinakushushia Heshima

  Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi uliyonipatia siku ya leo kwa kuweza tena kupata uwezo wa kuandika Barua Nzito kwa...

READ MORE

Zari Aleta Pozi Kaburini Kwa Mumewe Ivan

Zarinah Hassan maarufu kama Bossy Lady, ambaye ni mke wa zamani wa mfanyabiashara Ivan Ssemwanga, aliyefariki Mei mwaka huu, wiki...

READ MORE

Baby Madaha: Kutambika Muhimu

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha Joseph, amekiri kuwa kila mwaka hurudi kwao Mwanza kwa ajili ya kuonana...

READ MORE

CHEMICAL: SIFAGILII MASHAROBARO, NATAKA MGUMU KAMA NAY WA MITEGO

Miongoni mwa marapa wa kike wanaofanya vizuri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Chemical ni miongoni mwao ambapo hivi karibuni ameonekana...

READ MORE

Angel Mary Kato: Nimerudi Kuwafunika Marapa wa Kike

  MSHINDI wa nne wa michuano ya Bongo Star Search (BSS) ya mwaka 2015, Angel Mary Kato, amerudi upya kwenye...

READ MORE

Kukopi Na Kupesti Hakutaiacha Salama Bongo Fleva

NYIMBO nyingi za Bongo Fleva kwa sasa zinabebwa na ubora wa video ambayo msanii anai­fanya. Hapa unaweza kukuta wimbo wa...

READ MORE

FLORA MBASHA ALIA NA WANAOMCHAFUA MITANDAONI

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora Mbasha amevunja ukimya na kutoa onyo kwa baadhi ya watu wanaomchafua kupitia mitandao...

READ MORE

Vee Money Ampa Stress Lulu Diva

WANAMUZIKI ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo uitwao Utamu, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa mwanamuziki wa kike anayempa...

READ MORE

Davido anusurika kichapo

  MKALI wa ngoma ya Fall, David Adeleke ‘Davido,’ hivi karibuni amenusurika kuchezea kichapo kutoka kwa kundi la wahuni waliomvamia...

READ MORE

Sanjay Mkongwe wa Filamu za Kihindi Atua Bongo

  Msanii mkongwe wa filamu kutoka India (Bollywood), Sanjay Balraj Dutt ametua nchini hivi karibuni na kupokelewa na Mbunge wa...

READ MORE

Profesa Jay: Wakongwe nanyi oeni sasa

    WAKATI jana akiangusha pati ya kukata na shoka kwa wapigakura wake, Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa...

READ MORE

Gigy Money adaiwa kuwekwa kinyumba na mtoto wa kigogo

  MUUZA nyago machachari Bongo, Gift Stanford `Gigy Money’, anadaiwa kuwekwa kinyumba na mtoto wa kigogo maeneo ya Masaki jijini...

READ MORE

Jack Patrick Atajwa Jux kuachana na Vanessa

  UBUYU huu umepasua anga hadi China! Baada ya hivi karibuni penzi la mastaa wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’...

READ MORE

Ndonga za Global TV Sasa Kupigwa Jumapili Ijayo

  KUFUTIA maombi ya wadau mbalimbali nchini, Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO), chini ya rais wake, Yassin Abdallah...

READ MORE

Wolper Abanwa Skendo ya Ushoga ya Bwana’ke!

  BAADA ya hali ya hewa kuchafuka kufuatia bwana’ke mpya aitwaye Brown kukumbwa na skendo nzito ya ushoga, mtoto mzuri...

READ MORE

Nuh Mziwanda kujiunga lebo ya Ali Kiba

  MKALI wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ yupo kwenye hatua za mwisho za mchakato wa kuingia mkataba na...

READ MORE

Z-Anto kufanya kolabo na pacha P-Square

  BAADA ya kubamba na Ngoma ya Malavidavi kisha Ukipendwa Ringa, staa wa Bongo Fleva, Ally Mohammed ’Z-Anto’ huenda akafanya...

READ MORE

Picha za Ebitoke Zawateka Mashabiki Instagram

KOMEDIANI wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) anayefanya vizuri zaidi kupitia mitandao ya kijamii alipitia mambo mengi ikiwemo kufanya...

READ MORE

Ubingwa wa Global TV… Mabondia watambulishwa, Tayari kwa Vita

  KAMISHENI ya ngumi za kulipwa leo umewatambulishwa mabondia wote wanaotarajia kupanda ulingoni Julai 22, mwaka huu katika pambano ya...

READ MORE

Nisha Amempiga Dongo Wolper Kuhusu Serengeti Boy?

  STAA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu almaarufu Nisha Bebe staa, amesema hawezi kutoka na vijana wenye umri...

READ MORE

VIDEO: Muigizaji Duma ‘Avamiwa’ Usiku wa Manane

  Ukisikia hatuachi kitu ujue ni kweli tunamaanisha na katika kulitekeleza hilo Global TV ‘imevamia’ nyumbani kwa muigizaji Daudi Michael...

READ MORE

Jike Shupa, Mamisa wa Young D Bifu Zito

  MUUZA nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ na mzazi mwenza wa msanii wa...

READ MORE

Loooh! UKIWA NA VIGEZO HIVI UMEMNASA LULU DIVA

DIVA anayekimbiza na Ngoma ya Utamu, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefungukia vigezo vya mwanaume anayeweza kumnasa lazima kwanza awe na...

READ MORE

Wolper, Sarakasi za Mapenzi Zinakuharibia

MIONGONI mwa mambo ambayo napenda kuyafanya nje ya kazi yangu ya uandishi, ni kutazama filamu. Kwenye eneo hili ninao uzalendo...

READ MORE

Hizi Ndizo Muvi Zitakazowania Tuzo za Emmy

Huku ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya Tuzo za 69 za Emmy kufanyika nchini Marekani, tasnia ya filamu nchini humo,...

READ MORE

Pichaz: AY Amvalisha Pete Mchumba Wake, Ndoa Yanukia

  Rapper nguli asiyechuja tangu kitambo hicho kutoka Bongo Fleva, Ambwene Allen Yessayah maarufu kama A.Y ama ‘Mzee wa Ankara’,...

READ MORE

Baada ya Profesa Jay Kuoa, Vipi Kuhusu Hawa ‘Wahenga’

WAHENGA ni neno maarufu kwa sasa, watu mbalimbali wanalitumia wakimaanisha mtu wa zamani ama mkongwe ambapo hata kwenye tasnia yetu...

READ MORE

Amber Rose Atambulishwa Ukweni

  RAPA anayetikisa na Albamu ya Issa, 21 Savage, (24) ameonesha kuwa siriazi katika uhusiano wake wa kimapenzi na Mwanamitindo...

READ MORE

Kim Kardashian Amtembelea Beyonce Kwa Siri

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu staa wa Muziki wa Pop, Beyonce Knowles kujifungua mapacha (Rumi na Sir), chini ya kapeti...

READ MORE

Sabby Alia Filamu, Muziki Kumharibia Maisha

  SIKU chache baada ya kutangaza kuachana na sanaa, mrembo aliyekuwa akifanya filamu na muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary...

READ MORE

LULU Afunguka Sababu za ‘Kupukutika’

  MSANII kutoka Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa mara ya kwanza amefungukia sababu zinazomfanya kupungua sana mwili kuwa ni...

READ MORE

MH! SHEMEJI YETU KWA WOLPER KULIKONI?

KAPO mpya inayotikisa kwa sasa Bongo ni ya muigizaji Jackline Wolper na baby wake, mwanamitindo anayeitwa Brown. Tangu kuibuka kwa...

READ MORE

Ali Kiba Hivyo Vipensi Vepee!!!!!

NYOTA kutoka kiwanda cha Bongo Fleva , Ally Salehe Kiba almaarufu kwa jina la Ally Kiba, amekuwa gumzo mjini kwa...

READ MORE

Vanessa Mdee Apiga Kolabo na Peter Okoye wa P Square

  AKIWA amemaliza jukumu la kuigiza katika kampuni ya MTV SHUGA, mwimbaji maarufu wa kike wa Afrika Mashariki, Vanessa Mdee...

READ MORE

Mcongo; Historia ya ‘Rumble In The Jungle’ itanibeba Dar Live

  KATIKA historia ya mchezo wa ngumi za kulipwa duniani, DR Congo inakumbukwa kutokana na kufanyika kwa pambano kubwa la...

READ MORE