×

Burudani

Chege Aachia Video Mpya Aliyomshirikisha Ray C na Sanaipei Tande – Najiuliza

MKALI wa Bongo Fleva toka kitambo hicho, Chege Chigunda ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Najiuliza” ambao ndani yake...

READ MORE

Wanazeeka na Bongo Fleva Yao

  HIVI karibuni kwenye Ukumbi wa Next Door, Msasani jijini Dar, nilimshuhudia msanii mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Khaleed...

READ MORE

Pichaz: Miaka 15 Ya Saida Karoli Escape One, Dar Usiku Huu

MUIMBAJI wa nyimbo za asili Bongo, Saida Karoli usiku huu amefanikiwa kukusanya umati wa watanzani waliyokuwa wamemkumbuka kwa muda mrefu...

READ MORE

Mali za mume wa Zari zapigwa bei, Alichoambulia Zari Mmh!

AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Habari zilizolifi kia Amani mapema wiki hii zimeeleza kuwa, wakati aliyewahi kuwa mume wa...

READ MORE

Wanene, Ziff Wahdamiria Kuipaisha Sanaa ya Afrika Mashariki

  KAMPUNI ya Wanene Entertainment yenye maskani yake Mikocheni jijini Dar leo imesaini makubaliano na Zanzibar International Film Festival (Ziff)...

READ MORE

Tecno Yaleta Amsha Dude kwa Bei Chee

KWA msimu huu wa maonyesho ya Sabasaba, kampuni maarufu ya simu za mkononi nchini Tanzania, Tecno, inazidi kuendelea kuwajali wateja...

READ MORE

Simulizi ya Maisha ya Ebitoke… Aliyoyapitia si Mchezo!

  KOMEDIANI wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) anayefanya vizuri zaidi kupitia mitandao ya kijamii alipitia mambo mengi ikiwemo...

READ MORE

Haya ni Mengi Ambayo Hukuyafahamu Kuhusu Filamu ya Titanic

JANA niliamua kuangalia tena na tena filamu ya Titanic, hakika sikuichoka na ninaweza kukiri kwamba ni filamu bora ya kimapenzi...

READ MORE

Ommy Dimpoz Asaini RockStar4000, Aungana na Kiba

  MKALI wa muziki, Ommy Dimpoz amesaini kufanya kazi na label kubwa ya muziki, RockStar4000 inayofanya kazi kwa ukaribu na...

READ MORE

Vita ya Ngumi za Kimataifa Mubashara Global TV

Vita ya Ngumi za Kimataifa vitaoneshwa Mubashara na Global TV JULAI 22, mwaka huu katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala...

READ MORE

Esha Buhet Ateswa na Kisirani cha Mimba

STAA wa sinema za Kibongo, Esha Buhet amefunguka namna anavyoteswa na kisirani cha mimba hivyo kuwaomba watu wamsamehe pindi atakapowakwaza....

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kutolewa Hospitali…. Jini Kabula Adaiwa Kuzua Timbwili Hotelini

  MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ juzikati alidaiwa kuzua timbwili la aina yake kwenye Hoteli ya Lamada iliyopo...

READ MORE

Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Muigizaji Yusuf Mlela

  Mpaka Home wiki hii imemuibukia msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni jijini Dar es...

READ MORE

Sabasaba: Mrisho Mpoto Awavuta Watanzania Kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro

  Msanii wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto maarufu kwa jina la ‘Mjomba’ amezidi kuwavuta Watanzania  walio wengi...

READ MORE

Cloud 112 Aibuka na Mke Mpya Global Kutambulisha Muvi Ya ‘Usijisahau’

Nyota wa filamu nchini Issa Mussa maarufu kwa jina la Cloud 112, aliyewahi kutamba na filamu zake ikiwemo Toba, Tripple...

READ MORE

Nimeikalisha Familia ya Matumla, Mmalawi Atakaa Tu

Chichi Mawe akisaini mkataba wa pambano hilo mbele ya Yassin Abdallah ‘Ustaadh’ BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Miyeyusho...

READ MORE

Kidoa si wa Mchezo Mchezo!

MSANII wa filamu Bongo, Asha Salumu ‘Kidoa` amethibitisha kuwa yeye sasa siyo wa mchezomchezo baada ya kufanikiwa kumiliki nyumba maeneo...

READ MORE

Birthday ya AY… Lil Ommy Afunguka Mchango wa Rapa Huyo Kwenye Game

  MTANGAZAJI wa Kipindi cha The Play List cha Times FM, Lil Ommy amefunguka kuhusu mchango mkubwa kwenye game ya...

READ MORE

Y -TONY: MUDA UKIFIKA LAZIMA ‘NITUSUE’

WIMBI la vijana wenye uwezo wa kweli katika Muziki wa Kizazi Kipya linazidi kuchipua. Orodha yao ni ndefu lakini hapa...

READ MORE

Kumbe Dola Milioni 20 Kwa Kanye Hazikuwa Zawadi!

SI KWELI! Huku bifu la wanamuziki wawili, Jay Z na Kanye West likiendelea, kulikuwa na taarifa za chinichini zikisema kwamba...

READ MORE

Bendi ya Hifadhi ya Ngorongoro Yatangaza Dili kwa Waimbaji

Msanii wa muziki wa asili ambaye pia ni Balozi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Mrisho Mpoto ametangaza deal...

READ MORE

Hamissa Mobeto Amuanika Baba Kijacho Wake

  Muuza nyago kwenye video za wasanii, Hamissa Mobeto anayehisiwa kuwa ni mama kijacho, kutokana na baadhi ya picha zake...

READ MORE

Baba Rihanna Amkataa Mpenzi wa Mwanaye!

SIMTAKI! Huku mwanamuziki mwenye jina kubwa, Rihanna ‘RiRi‘ akiwa amemtangaza bilionea mkubwa, Hassan Jameel kama mpenzi wake mpya, mzazi wa...

READ MORE

Malaika Amfungukia Pam D

  MKALI wa ngoma za Saresare pamoja na Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ amefunguka kuwa  mashabiki wa muziki wamekuwa wakimfananisha staili...

READ MORE

Mwanamke Atinga Bongo Kutoka Mombasa, Kenya Aangua Kilio…‘Nimezaa na Kiba

  Hii ni skendo nzito! Staa mwenye nyota zake wa Afro- Pop, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amekwaa tuhuma nzito,...

READ MORE

Bondia King Class Mawe Atua Bongo Kutoka Ujerumani na Ubingwa Ubingwa wa Dunia GBC

  Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ alipotua leo katika Uwanja wa Julius Nyerere akitokea Ujerumani baada ya kushinda Ubingwa...

READ MORE

Idris Sultan Ala Shavu Hollywood

Baada ya wiki ya mchakato wa ukaguzi wa karibu, Mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika...

READ MORE

LIVE: Mapokezi ya Issa Mussa ‘Cloud’ 112, Dar Akitokea Sweeden

Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Issa Mussa ‘Cloud 112’ amerejea Bongo kutoka nchini Sweden alikokuwa ameweka...

READ MORE

Mapambano ya Ubingwa wa Global TV Kurushwa Mubashara

  MABONDIA watatu wa Tanzania wanatarajia kupanda ulingoni katika mapambano ya kimataifa ya kuwania Ubingwa wa Global TV, Afrika Mashariki...

READ MORE

Pepo la Picha za Utupu Lamvaa Malaika

MUNGU WANGU! Mastaa wa Bongo ni kama wamevamiwa na pepo la picha za utupu au zinazoonyesha baadhi ya viungo vyao...

READ MORE

Baada ya Kuchanwa, Kanye Ajitoa Tidal

AMEJIKATAA KIBISHI! Huku zikiwa zimepita siku kadhaa tangu Jay Z alipotoa albamu yake ya 4:44 na kumchana mshikaji wake, Kanye...

READ MORE

Mzazi Mwenza wa Young D Abanwa Kumwacha Mwanaye

BAADA ya kudaiwa kumuacha mwanaye mchanga mwenye umri wa miezi saba kwa bibi yake ambaye ni mama mzazi wa mwanamuziki...

READ MORE

Swali la Ndoa Lampa Kigugumizi Flora Mvungi

STAA wa sinema za Kibongo, Flora Festus Mvungi, kwa mara nyingine amejikuta akipatwa na kigugumizi cha kushindwa kujibu swali lililomtaka...

READ MORE

Chuchu: Mimi na Ray Hakuna Anayewaza Ndoa

STAA wa kitambo wa Bongo Movies, Chuchu Hans amefunguka kuwa, baada kupata mtoto aitwaye Jaden na staa mwenzake, Vincent Kigosi...

READ MORE

Historia Itawakumbuka Ma-Miss Hawa wa Tanzania

Leo, nataka niwagusie warembo wanne. Ambao umaarufu na kujulikana kwao kumetokana na ushiriki na ushindi wao kwenye shindano la U-miss...

READ MORE

Ndoa Ya Messi Na Funzo Lenye Imani Na Msimamo

HALIPO na sijaliona neno mbadala la kutumia, zaidi ya ndoto imetimia. Kitendo cha mwanasoka maarufu na mwenye uwezo wa kipekee,...

READ MORE

Wakongwe 15 Bongo Fleva Wapigiwa ‘Mizinga Ya Heshima’ Dar Live

Usiku wa kuamkia leo Jumapili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar...

READ MORE

Haitham Kim – Play Boy ft. Wema Sepetu (Official Video)

MSANII wa kike anayepanda kwa kasi kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva Bongo, Haitham Ghazal Seif ‘Haitham’ ambaye pia...

READ MORE

Ferre Gola Aweka Historia King Solomon, Dar (Pichaz + Video)

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

READ MORE