×

Burudani

Nando Awa Fiti, Aitwa Marekani

  MSHIRIKI wa Big Brother 2013, Nando Khan ambaye hivi karibuni alikuwa ameathirika kwa matumizi ya madawa ya kulevya, kwa...

READ MORE

Ruby Amuanika Baba Kijacho Wake

BAADA ya kufanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Na Yule, Sijutii, na nyingine nyingi, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Hii sasa kali! Idriss, Madee wapeana za chembe

MSHINDI wa Big Brother Africa mwaka 2014, Idriss Sultan na msanii wa Bongo Fleva Madee Ally a.k.a ‘Shineida’ wamerushiana madongo...

READ MORE

Sasha: Nipo Tayari Kuolewa Na Harmorapa

MUUZA nyago kwenye vid­eo za Kibongo, Sasha Kas­sim, amevunja ukimya na kudai kwamba, yupo tayari kuolewa na msanii wa Bongo...

READ MORE

FLORA, MBASHA HEBU ACHENI UTOTO

  Hakuna kazi ngumu kama kutoa ushauri kwa watu wenye mgogoro unaohusisha uhusiano wa kimapenzi, kwa sababu ni lazima upande...

READ MORE

Familia Yakomalia Ndoa ya Jokate na Kiba

  DAR ES SALAAM: Familia ya nyota wa Muz­iki wa Kizazi Kipya, Ali Kiba, imesema inahitaji ndoa kati ya kijana...

READ MORE

Happy Birthday Glory Lucas

LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Glory Lucas ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na...

READ MORE

Inspekta Haroun: Ustaa, Ujana Vilinitesa

  MOJA kati ya changamoto kubwa inayowakabili mastaa wa fani mbalimbali duniani, ni kuishi maisha ndani ya ndoa. Ni jambo...

READ MORE

Shilole: Umama N’tilie Umeniteka Kuliko Muziki

  MWANAM-UZIKI wa miondoko ya mduara, Zuwema Mohammed ‘Shilole’ ameweka wazi kuwa huenda akaukacha muziki siku za usoni kutokana na...

READ MORE

UJIO MPYA WA MPOTO NA CASSIM MGANGA HAUTAMUACHA MTU SALAMA!

  Baada ya kufanya vizuri na kibao chake cha Sizonje, mwanamuziki wa miondoko ya Asili, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ ambaye aliamua...

READ MORE

Linah Ajifungua Mtoto wa Kike

  Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga maarufu kama Linah amejifungua mtoto wa kike salama katika hospitali ya...

READ MORE

LIVE NGUMI ZA GLOBAL TV: NASIBU RAMADHANI VS YOHANE BANDA

TAZAMA LIVE MARUDIO YA MPAMBANO  WA NASIBU RAMADHANI VS YOHANE BANDA KUPITIA GLOBAL TV ONLINE   JUMLA ya mabondia sita...

READ MORE

Shilole Kutoka na Kigoli

MWANAMUZIKI mwenye jina hapa Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka na kusema kuwa yupo mbioni kutoa Ngoma ya Kigoli mwishoni mwa...

READ MORE

Rihanna ‘The Bad Gal’ Uhuni, Usela Vinampa Mkwanja Mnono

  UKIMTAZAMA mwonekano wake jinsi alivyo mrembo, mwenye haiba nzuri ya kike, mvuto wa asili na sauti yenye utamu wa...

READ MORE

Amber Lulu Hatasahau Kuchangia Penzi na Gigy

  MUUZA sura kwenye video za Kibongo ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo uitwao Watakoma, ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa katika...

READ MORE

Dogo Janja: Bila Mimi Young Killer Atakufa Njaa

MWANAMUKIZI anayefanya vizuri kwenye Tasnia ya Bongo Fleva na wimbo wake uitwao Kidebe, Abdulazizi Chende, ‘Dogo Janja’ amefunguka kuwa bila...

READ MORE

ZARI ROHO NGUMU AISEE!

  Kifo cha mama mzazi wa staa ambaye ni mjasiriamali Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Matovu...

READ MORE

MH! KWA PICHA HIZI LULU NI KIBOKO!

Staa wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu, ameingia kwenye rekodi ya mastaa wenye picha kali kwenye...

READ MORE

Rah P, jitahidi utoke mafichoni gemu bado linakuhitaji

Ukizungumzia miongoni mwa marapa wa kike waliokuwa wanachangamsha gemu ya Bongo Fleva kwa miaka ya nyuma basi huwezi kuacha kumtaja...

READ MORE

GlobalNews: Uwoya, Kelvina Hapatoshi!

  SIFA ya ubuyu wenye rangi nyekundu ni kuacha rangi midomoni vivyo hivyo penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Wamama wawili...

READ MORE

Mboto: Mzee Majuto Hajafa Jamani!

MSANII wa filamu nchini, Haji Salum maarufu kama Mboto, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zinazodai kuwa nguli wa vichekesho katika tasnia...

READ MORE

Basi Lamgonga Wastara, Mama Yake Aambiwa Amefariki

  ILIPOISHIA… MPENZI msomaji kama ndiyo umeanza kufua­tilia simulizi hii ya mai­sha ya staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma bado...

READ MORE

Ruby Ajazwa Kibendi

JAZA ujazwe! Habari ya mjini kwa sasa inamhusu sexy lady wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ kujazwa kibendi na staa...

READ MORE

Chris Brown kumshtaki promota Mfilipino

  STAA wa Muziki wa R&B, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ amejipanga kumshtaki promota kutoka Ufilipino, Jose Victor Los Banos kwa...

READ MORE

Barakah The Prince: Alikopita Ameacha Shida!

  JINA Barakah The Prince si geni kwenye Muziki wa Bongo Fleva. Ni miongoni mwa wasanii wa R&B wanaofanya vizuri....

READ MORE

Walichokifanya Wasanii Kwenye Tamasha la Castle Lite Unlocks Leaders

TAMASHA la Castle Lite Unlocks lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar  usiku wa kuamkia leo wasanii wa ndani...

READ MORE

Gobal TV Online: Sasha Awahimiza Mashabiki Kutazama Mapambano ya Ngumi Leo

Mrembo wa Miss Lake Zone na Miss Mara, 2014  Sasha Kassim amewahamasisha wadau wanaotumia mitandao kusubscribe Global TV Online ili ...

READ MORE

Ritha Komba – Kivulini (Official Music Video)

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Ritha Komba ameachia video ya wimbo wa  Kivulini. Kwa mawasiliano zaidi na huduma...

READ MORE

Mabondia wapima uzito, kupasuana kesho

  JUMLA ya mabondia sita  mapema leo wamepima uzito kwa ajili ya mapambano ya kimataifa ya ubingwa wa Global TV,...

READ MORE

Dude: Hali Ngumu Imenipoteza Nimeamua Kulima

STAA wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza kuwa kutokana na hali ngumu ya maisha na soko la filamu...

READ MORE

Sanchi Anunua Kiwanja cha Milioni 70!

  VIDEO Queen Jane Rimoy ‘Sanchi’ baada ya kufanya kazi zake za mitindo na upigaji picha amenunua kiwanja cha shilingi...

READ MORE

Wahuni wa Mwanza Wamng’oa Kucha Kajala

  STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni yalimkuta makubwa jijini Mwanza baada kunyofolewa kucha na wahuni alipokuwa...

READ MORE

Kimenuka: Mbasha ‘Amtolea Povu’ Flora

  Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ‘Madam Flora’ ambaye pia ni mzazi mwenziye, Emmanuel Mbasha ameibuka gumzo mitandaoni baada ya...

READ MORE

Justin Bieber Yamkuta China

  Nyota wa muziki wa Pop duniani kutoka nchini Canada, Justin Bieber amepigwa marufuku kutumbuiza nchini China, kwa mujibu, katazo...

READ MORE

Mabondia Ndonga za Global TV Watambiana, Kupasuana Jumapili

  Homa ya Pambano ya ubingwa wa Global Tv, Afrika Mashariki na Kati imeendelea kupamba moto kufutia mabondia hao kutambiana...

READ MORE

Baraka Da Prince Ajitoa Rockstar 4000 ya Alikiba, Ataja Sababu

  Mwimbaji maarufu wa muziki Bongo, Baraka Da Prince aliyesaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar 4000 mwaka jana 2016,...

READ MORE

Ziggy: Sitaki Kuitwa Msanii Wa Bongo Muvi

STAA wa filamu nchini  aliyewahi kung’aa kwenye filamu kama Wake Up, Kalambati Lobo, Handsome Fake na Maziko Saa 6, Sogurd...

READ MORE

El da Bway Akana Kuwa na Bifu na Nahreel

KWA mara ya kwanza prodyuza kutoka Home Town Records, El da Bway amefungukia bifu lake na aliyekuwa prodyuza wa studio...

READ MORE

Mabondia wa Ndondi za Global TV Watambulishwa Rasmi, Jumapili Kazi Ipo!

  JUMLA ya mabondia sita wanaotarajia kupanda ulingoni keshokutwa kushindania ubingwa Global TV, Afrika Mashariki na Kati leo wametambulishwa kwa...

READ MORE

Miss Grand Tanzania Yarudi Tena

  BAADA ya kukaa kimya kwa miaka miwili, hatimaye lile shindano kubwa la urembo lijulikanalo kama Miss Grand Tanzania limerudi...

READ MORE