×

Burudani

Comedy Gala Ya Azam Yafunika Jijini Dar

KAMPUNI ya uzalishaji wa vipindi na televisheni ya Azam Media leo imemshusha wachekeshaji mashuhuri kutoka nchini Uganda, Teacher Mpamire, MC...

READ MORE

#NishusheDarLive Pichaz: Kimeshanuka Muda Huu Dar Live

MWISHO wa Ubishi! Unaweza kusema hivyo kwa maana nyingine katika siku huu wa Mosi muda huu watakapovamia jukwaa moja la...

READ MORE

R.O.M.A, Darassa, Stamina Mwisho wa Ubishi Leo Dar Live

MWISHO wa Ubishi! Unaweza kusema hivyo kwa maana nyingine katika siku hii ya Idd Mosi pale watakapovamia jukwaa moja la...

READ MORE

Sikukuu ya Eid Mosi: Watoto Wajiachia Ndani ya Dar Live (Pichaz)

Watoto wakijiachia kwenye bembea la kuseleleka Shoo ya kihistoria itakayofanyika katika siku hii ya Idd Mosi pale watakapovamia jukwaa moja...

READ MORE

Uwoya Amfanyia Kitu Kibaya Mdogo wa Zari

MADAI mazito! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya, anatuhumiwa kumfanyia fujo mdogo wa mjasiriamali maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Kendrich Lamar Kumkumbuka Prodigy BET

HUKU wanamuziki wawili, Havoc na Lil Kim wakiwa wamejitolea kumkumbuka rapa wa Kundi la Mobb Deep, Prodigy aliyefariki mapema wiki...

READ MORE

Kwa Nini Wolper Hakumfariji Zari Alipofiwa na Mmewe? Majibu Yapo Hapa

KUFUATIA wadau mbalimbali kumtuhumu kwamba, hana utu kwa kushindwa kwenda kumfariji rafiki yake, Zarinah Hassan ‘Zari The Bosslady’ hivi karibuni...

READ MORE

Chuz Awapasua Vichwa Wanakamati

BAADA ya hivi karibuni mkongwe wa filamu Bongo, Tuesday Kihangala ‘Chuz’ kudaiwa kuwadhalilisha wasanii wa kike anaofanya nao tamthiliya huko...

READ MORE

Dada: Jini Kabula Ameruhusiwa

  BAADA ya kuugua wiki kadhaa na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar akisumbuliwa na matatizo ya afya ya...

READ MORE

Chid Benz Amtoa Chozi Mama Yake

MKALI wa michano, Rashid Mwakwiro ‘Chid Benz’ amemtoa machozi mama yake baada ya kuachia ngoma yake mpya ya Muda alioshirikiana...

READ MORE

Ebitoke: Nimemuahidi Ben Pol Kumpa Kitu Chochote Anachokitaka (Pichaz + Video)

Siku chache baada ya Ben Pol na mchekeshaji anayekuja kwa kasi Bongo, Ebitoke ku-make headlines baada ya kukutana na kupiga...

READ MORE

Pichaz: Wema Sepetu Awateka Watumiaji wa Instagram

SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na...

READ MORE

Baada ya Nyoshi Kung’olewa Uongozi, Mpasuko Mkubwa FM Academia

  Baada na Nyoshi el Sadaat kuondolewa urais wa bendi ya FM Academia huku nafasi hiyo ikichukuliwa na Patcho Mwamba,...

READ MORE

Amini: Bila Malipo Siandikii Mtu Wimbo

  MWANAMUZIKI anayeta­mba na Ngoma ya Yamoyoni, Amini Mwinyimkuu ameeleza kuwa kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu kwa...

READ MORE

VIDEO: Ben Pol Ataja Sababu za Ebitoke kuwa Mke wa Ndoa Baada ya Kukutana

WAKATI picha zikiendelea kutapakaa katika mitandao ya kijamii kuhusu mkali wa RnB nchini, Bernard  Paul ‘Ben Pol’ kuwa na msanii...

READ MORE

Azam Yamshusha Dar Mchekeshaji wa Uganda, Teacher Mpamire

KAMPUNI ya uzalishaji wa vipindi na televisheni ya Azam Media leo imemshusha mchekeshaji mashuhuri kutoka nchini Uganda, Teacher Mpamire ambaye...

READ MORE

Hamorapa Anaswa Akinunua Kanzu Ya Idd

Harmorapa ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, amebambwa katika soko la  Kariakoo jijini Dar kwenye  duka moja maarufu la kuuza...

READ MORE

Wolper Ampiga Kigogo Mil. 100

  NANI kasema Rais Dk. John Magufuli kabana kwenye su­ala la mkwanja? Kama wewe unaamini hivyo basi habari ikufikie kuwa,...

READ MORE

Johnny Depp Amuangukia Trump

Ikiwa Saa chache baada ya kusimama jukwaani na kutoa maneno ya utani kwamba angeweza kumuua Rais Donald Trump, muigizaji mwenye...

READ MORE

Mapenzi Yamficha Masogange

VIDEO Queen mwenye figa bomba Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa ukimya wake wa hivi karibuni na kutojichanganya kwa watu...

READ MORE

Lulu Diva – Utamu (Official Video)

Msanii Lulu Diva baada yakufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Usimwache’, ameachia video mpya ya wimbo ‘Utamu’, tazama hapa chini...

READ MORE

Kidoa: Sina Ndoto za Kuwa Mwanamuziki

MUUZA nyago anayefanya poa kwenye video mbalim­bali nchini ‘Kidoa’ amesema kuwa hana mpango wa kuingia kwenye muziki kama wafanyavyo video...

READ MORE

Closed Chapter Imekuja Kuwashika Tena!

Muonekano wa Cover ya Tamthilia ya Closed Chapter ambayo itakua madukani hivi karibuni na pia kuoneshwa na TBC1 kila wiki....

READ MORE

Picha: Hatimaye Ben Pol na Ebitoke Wakutana Live!

Hatimaye Ben Pol na Ebitoke wakutana Live! Ni baada ya mwanadada huyo wa kwenye tasnia ya uchekeshaji hivi karibuni kufunguka...

READ MORE

G Nako Kahamia Muziki wa Injili? Ukweli Huu Hapa

  MSANII wa Hip Hop kutoka Kampuni ya Weusi, George Mndeme ‘G Nako’ anayetamba na kibao chake kipya cha Lucky Me,...

READ MORE

Video ya Mpya ya Ben Pol Iliyosababisha Apige za Utupu

Wiki kadhaa zilizopita picha za mwanamuziki Ben Pol zilizua utata kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha sehemu kubwa ya...

READ MORE

Motra The Future: Ningemsaka Harmorapa Anipe Kiki

MSANII wa Hip Hop anayewakilisha pande za R chuga, Motra The Future ambaye anatamba sana  na ngoma yake ya Sina Koloni...

READ MORE

Curry; Hili Ndiyo Bata la Ushindi Sasa!

BATA BATANI! Mcheza kikapu wa Timu ya Golden State Worriors ambao walichukua ubingwa wa NBA wiki iliyopita, Steph Curry ameamua...

READ MORE

Utani Dhidi ya Trump Kumuingiza Johnny Depp Matatani

NI UTANI WA NGUMI! Muigizaji mwenye jina kubwa Hollywood, Johnny Depp anaweza kuingia matatani baada ya kutoa utani jukwaani wa...

READ MORE

Kwa Hili,Tumuombee Jini Kabula!

KAMA kiumbe mwenye vinasaba na utoshelezi wa binadamu kamili, hakika nilizipokea kwa masikitiko makubwa mno taarifa za kuugua kwa msanii...

READ MORE

Mayweather: Nitamchakaza Vibaya Mpinzani Wangu

TAMBO! Huku siku zikiendelea kukatika kama kawaida mwanamasumbwi mwenye mbwembwe za pesa, Floyd Mayweather ameanza kutamba kwamba iwe isiwe ni...

READ MORE

Madaha, Kwa Vee Money Ni Wivu Tu

MUZIKI wa Kizazi Kipya maarufu kama Bongo Fleva umepita katika njia nyingi sana hadi kufika hapa ulipo leo, ambako wanaoufanya...

READ MORE

Nay wa Mitego aachia Dude ‘Moto’, Wamo Alikiba, Ruby, Young Killer

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Moto’. Rapa huyo...

READ MORE

Kauli ya Jux Baada ya Ku-Graduate China

Msanii wa Bongo Fleva, Jux amesema haikuwa kazi rahisi hadi yeye kumaliza masomo yake ya elimu ya juu nchini China....

READ MORE

Gonjwa La Zari Hofu Yatanda, Siku Chache Mumewe Kufariki Dunia

PRETORIA: Takriban siku 25 baada ya kifo cha aliyekuwa mumewe, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Roma, Snura na Stamina ‘Wamwaga’ Mafuta Kwa Bodaboda (Pichaz + Video)

    IBRAHIM Musa ambaye ni maarufu zaidi kama Roma, mkali wa Hip Hop aliyetengeneza vichwa vikubwa vya habari miezi...

READ MORE

Kadja Achanganywa Na Mama Yake

Msanii wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ amesema kuwa yupo kwenye wakati mgumu wa kutaka kujifungua huku akiwa bado...

READ MORE

Kidoa Amnanga Gigy Kupukutika Msambwanda

Dar es Salaam: Msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni video queen, Asha Salum `Kidoa’ amemnanga staa mwenzake, Gift Stanford...

READ MORE

Masikini Kim Kardashian Hana Uwezo wa Kuzaa

MWANAMITINDO aliyejaa vituko kila kukicha Kim Kardashian, ambaye pia ni mke wa mwanamuziki wa Hip Hop Marekani Kanye West amepoteza...

READ MORE