×

Burudani

Pichaz + Video: Dokii Ajitofautisha Na Waigizaji Wenzake!

STAA wa maigizo na filamu za kicheshi Bongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amejitofautisha na wasanii wenzake, ambapo pamoja na mambo mengine...

READ MORE

Amber Lulu Awafungukia Wanaomponda

Lulu Augen ‘Amber Lulu’ amefungukia lawama ambazo amekuwa akizipata sababu ya vituko anavyovifanya katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa...

READ MORE

VIDEO: Mcheki R.O.M.A Mkatoliki Alivyorudi Darasani na Kufundisha Somo la Hisabati

RAPA namba moja Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ jana alitembelea shule ya Msingi Mchikichini iliyopo Mbagala Rangi Tatu na kufundisha...

READ MORE

Mashabiki Wa Wema, Sanchi Watambiana

WIKI hii imekuwa gumzo katika ukurasa wetu wa Facebook baada ya mashabiki wa Wema  na Sanchi kutambiana kila mmoja kuwa...

READ MORE

Licha ya Mwezi Mtukufu… Lulu Diva Adaiwa Kuishi na ‘Serengeti Boy’

EXCLUSIVE! Ubuyu wa ‘town’ unaoenea kwa kasi ya kiberenge unamhusu msanii na muuza nyago kunako video za Kibongo, Lulu Abbas...

READ MORE

Zari Mambo Ya Mitandao Waachie Mabinti

NIANZE kwa kumpa pole sana mama wa watoto watano, Zarinah Hassan ‘The Bossy Lady’ ambaye wiki chache zilizopita, alipata msiba...

READ MORE

Enock Bella: Awaambia Mashabiki Hatubebwi na Aslay

  MMOJA wa wasanii waliokuwa wakiunda kundi la Yamoto Band,  Enock Bella a.k.a The Base,  amesema wamechoshwa na maneno ya...

READ MORE

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5

  KAMPALA: Katikati ya majonzi, yapata siku 15 tu tangu mumewe, Ivan Ssemwaga ‘Ivan Don’ azikwe huko Nakalilo nchini Uganda...

READ MORE

Baby Madaha Achomoa Ndoa ya Mwarabu

DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Fleva na Sinema za Kibongo, Baby Joseph Madaha amechomoa ishu ya kuolewa na pedeshee...

READ MORE

Tunda Asanukia Ishu ya Kitumbo

DAR ES SALAAM: Muuza nyago machachari Bongo, mwenye kupenda kujiselfisha akiwa kwenye maakuli, Tunda Sebastian amesanukia ishu iliyoenea kwamba, ana...

READ MORE

Wolper: Saida Karoli Apewe Heshima Yake

  DAR ES SALAAM: Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi ya moyoni kuwa, mkali wa Muziki...

READ MORE

Mizimu wa Mwamuziki wa Hip Hop Duniani 2PAC Kuitikisa Dunia

YAPATA takriban miaka 20 sasa tangu rapa mwenye historia ndefu kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop duniani, Tupac Amaru...

READ MORE

R.O.M.A Mkatoliki Kufundisha Somo la Hisabati Mbagala jijini Dar leo

  MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’ anatarajiwa kuwa mwalimu wa muda wa somo la...

READ MORE

VIDEO: Enock Bella wa Yamoto Band Afunguka Kuhusu Kukosa Menejimenti

Moja kati ya msanii ambae alikuwa akiunda kundi la Yamoto Band lililokuwa na wasanii wanne Enock Bella, Aslay, Beka na...

READ MORE

Stone Town: Kisiwa cha Zanzibar (Live Now On Global TV Online)

GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA ambacho kinaonesha maisha...

READ MORE

Umeipata Hii Mpya Kutoka Tigo?

Tigo Kitabu App

READ MORE

VIDEO: Wema Sepetu na Gabo Walivyozindua Filamu Yao Mpya – KISOGO

Wasanii wa filamu, Gabo Zigamba na Wema Sepetu, wamezindua filamu mpya ya kisasa iitwayo Kisogo, itakayoweza kuonekana na mtu yeyote...

READ MORE

Beka: Mkubwa Fella Hajatujengea Nyumba

BAADA ya kundi la Yamoto Band kusambaratika na wasanii wake, Enock Bella, Aslay, Beka na Maromboso kila mmoja kupata menejimenti...

READ MORE

Mtoto Wa Amina Chifupa Afunguka Maisha Yake Baada Ya Babu Yake Kufariki

Stori: Boniphace Ngumije na Gladness Mallya | Risasi Mchanganyiko | Habari KIJANA Abdulrahman Mohammed Mpakanjia, mtoto wa aliyewahi kuwa Mbunge...

READ MORE

Snura Afungukia Ajali Yake!

Stori: Gladness Mallya | Risasi Mchanganyiko | Habari SIKU chache baada ya kupata ajali mbaya, staa wa Muziki wa Bongo...

READ MORE

Hammer Q Akwaa Skendo ya Mwanaye

STORI: WAANDISHI WETU | RISASI JUMATANO | HABARI DAR ES SALAAM: Msanii maarufu wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Hussein...

READ MORE

CelebrityUpdates:Toni Braxton Afunguka Mahusiano Yake Na Birdman

STORI: SAMSON JEREMIAH / GPL MSANII wa muziki wa R&B Toni Braxton ameweka wazi mahusiano yake kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Wasanii Maarufu Tuwajali Wasanii Chipukizi

  STORI: SAMSON JEREMIAH / GPL MSANII  wa Bongo Flava, Ommy Dimpoz  mtunzi wa ngoma ya Kajiandae na mmiliki wa PKP...

READ MORE

Futuru Bure na Nikohub

HABARI ya mjini kwa sasa ni hii, ambayo imeingizwa na Kampuni ya Nikohub, inayokuwezesha mtu yoyote mahali ulipo kuweza kufuturu...

READ MORE

Gymkhana Yasherekea Miaka 100 Ya Kuanzishwa Kwake Kwa Mtindo Wa Kipekee

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es...

READ MORE

Dayna Nyange: Nina Tuzo Kibao Kutoka Nchini Nigeria

 STORI: SAMSON JEREMIAH / GPL MSANII Dayna Nyanga aka  Binti Nyange aliyehiti na ngoma ya Komela aliyomshirikisha Billnass amesema yeye...

READ MORE

Darassa Kaniandikia Wimbo wa Binadamu – Dogo Janja

  MSANII  wa muziki hip hop kutoka Tiptop Connection, Dogo Janja,  ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake inayoitwa...

READ MORE

Sikuu Ya Idd Mosi, Dar Live Kuandika Historia Mpya…Mr Blue, Jokha na Sabaha Kukinukisha

OVER ZE WEEKEND ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kuelekea Sikukuu ya Idd Mosi, imefahamika kuwa, Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar...

READ MORE

Maalim Seif: Hii Ndiyo Siri Yangu na Karume

SAFU hii na Global TV Online hivi karibuni ilifanya mahojiano na Katibu Mkuu wa CUF ambaye aliwahi kuwa Makamu wa...

READ MORE

Ukarimu Wa Vodacom Tanzania Wawafikia Wakazi, Bagamoyo Wa Kiwangwa

Kampuni ya mawasiliano inayoongoza nchini Vodacom Tanzania kupitia kampeni yake ya “Ukarimu wa Vodacom” yenye lengo la ukarimu, ushirika na...

READ MORE

Kisa Mwezi Mtukufu… Madee Awashangaa Mastaa Wapenda Kiki

NA BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI MKALI wa Ngoma ya Hela, Hamad Ally ‘Madee’ amewashangaa baadhi ya mastaa ambao katika Mwezi...

READ MORE

Weusi: Naliamsha Dude Imeharibu Utaratibu

MAKALA: BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI | SHOW BIZ TITO Mboweni ni jina maarufu Afrika Kusini. Hutumiwa sana na vijana wa...

READ MORE

Gigy Money Aanika Kilichompukutisha

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya mashabiki wake kumnanga na kuwa na maswali mengi juu...

READ MORE

Dully: Mi’ Niende Kwa Waganga? Big No!

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda DAR ES SALAAM: Lejendari wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully’ amefunguka kuwa, baadhi ya wasanii huwa...

READ MORE

Ulokole wa Jini Kabula Feki!

Ubuyu: Gladness Mallya | Ijumaa Wikienda DAR ES SALAAM: Ubuyu mtamu wa Wikienda! Licha ya mwanamama kutoka kiwanda cha filamu...

READ MORE

Jokate Adata, Kisa Baba’ke!

Stori:Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA Dar es Salaam: Baba mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo, Urban Mwegelo amemfanya mwanadada...

READ MORE

Kwa Hili Dude… Saida Karoli si wa Nchi Hii!!

NA BONIPHACE NGUMIJE | IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend MWAKA 2010 staa wa Muziki wa Soukous kutoka Jamhuri ya...

READ MORE

Zipompa: Kulala na Kuchati Ndiyo Ugonjwa Wangu

STORI NA WAANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME         MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya...

READ MORE

Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sasha, Wema, Masogange na Sanchoka nani Kuibuka Mshindi?

WIKI hii imekuwa sapraiz baada ya mashabiki wengi wanaofuatilia ukurasa wetu wa FB kukata rufaa na kuomba muuza nyago huyu...

READ MORE