×

Burudani

Ben Pol hataki mapenzi na staa

Stori: Gladness Mallya STAA wa kibao cha Moyo Mashine, Benard Paul ‘Ben Pol’ amesema hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Jay Mo vepee? Unatukosea sana mashabiki wako!

KWAKO mkongwe wa Hip Hop Bongo, Juma Mchopanga ‘Jay Mo’. Habari za siku ndugu yangu. Maisha yanakwenda? Kitambo sana sijakutia...

READ MORE

Video: Rubby amkana Aslay

READ MORE

Rammy apata shavu Ghana

Stori: Boniphace Ngumije MUUZA sura kwenye filamu za Bongo, Rammy Galis ‘Pacha wa Kanumba’ amezidi kula mashavu katika Tasnia ya...

READ MORE

Selebobo amkamata Shilole moja kwa moja

Oku Chigozie ‘Selebobo’ Stori: Boniphace Ngumije MREMBO kutoka Bongo asiyekaukiwa matukio, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa msanii ambaye pia ni...

READ MORE

Quick Rocka: Penzi la Kajala halinitesi

Quick Rocka na Kajala Masanja. Stori: Boniphace Ngumije MSANII anayekimbiza katika Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Quick Rocka amedai...

READ MORE

Nisha Amjibu Wolper

Salma Jabu ‘Nisha’ Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka...

READ MORE

Malaika akiri kutengana na mpenzi wake

Diana Exavery ‘Malaika’ BAADA ya kufanya siri kwa muda mrefu, staa wa Ngoma ya Raruararua, Diana Exavery ‘Malaika’ amekiri kwa...

READ MORE

Tone Records Yamuunga Mkono DC Kinondoni kwa Shindano la Uswazi Star Search

Mratibu wa shindano hilo, Fredy Njeje akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Prodyuza mkuu wa Studio za Tone Records,...

READ MORE

Prodyuza Manecky Auaga Ukapera

Prodyuza kutoka AM Records, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’ jana aliuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na Lilian. Manecky na Lilian...

READ MORE

Msamy Afanyiwa Surprise Ya Gari Mazoezini

Meneja wa msanii huyo, Rehema Jones (kushoto), akimkabidhi kadi ya gari Msamy muda mfupi baada ya kumfanyia Surprise hiyo. Msanii...

READ MORE

2 Face Ampa Shavu V-Money

Stori: Boniphace Ngumije MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa Afrika, 2 Face Idebia amempa shavu la mwaliko diva anayekimbiza kwenye Tasnia ya...

READ MORE

Nay: Kuchangia mwanamke siyo dhambi

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema haoni...

READ MORE

Cathy awaka kukimbiwa na mume

Stori: Gladness Mallya MWANAMAMA kutoka katika kiwanda cha filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amewatemea cheche wanaomsengenya kuwa amekimbiwa na mumewe...

READ MORE

Seyi Shay: Mnigeria anayedata na swaga za Bella

Deborah Oluwaseyi Joshua ‘Seyi Shay’. Makala: Boniphace Ngumije MUZIKI ni lugha inayowaunganisha watu wengi, wala haujalishi tofauti za kidini, kikabila,...

READ MORE

Uche agonga 30, awashangaza mashabiki

Andrew Carlos STAA mkongwe wa fi lamu Nollywood, Uche Ogbodo wiki iliyopita alitimiza miaka 30 na katika kusherehekea aliwashangaza mashabiki...

READ MORE

Tiwa Savage rasmi kwa Jay Z

STAA wa Ngoma ya Eminado kutoka Naija, Tiwa Savage amesaini rasmi lebo ya Roc Nation inayomilikiwa na staa wa Muziki...

READ MORE

Faiza aamua kumrudia Mungu wake

NA RICHARD BUKOS UNAMKUMBUKA yule mwanadada ambaye umaarufu wake kwa kiwango kikubwa umetokana na kupiga picha za nusu utupu? Huyu...

READ MORE

Tiko atumia Mwezi Mtukufu kupata mume!

NA GLADNESS MALLYA WAKATI waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa ndani ya swaumu, staa wa filamu Bongo, Tiko Hassan amefunguka...

READ MORE

Barakah Da Prince: Nimsaliti Naj kwa Linah, sijipendi?

Barakah da Prince na mpenzi wake, Naj. Stori: GABRIEL NG’OSHA Juzikati wasanii Baraka Andrew ‘Barakah da Prince’ na Estelina Sanga...

READ MORE

Pam D aahidiwa darasa la Hip Hop na R.O.M.A

Stori: Mwandishi WETU MKALI wa Miondoko ya Hip Hop, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A’ amefunguka atampa darasa la Hip Hop, staa wa...

READ MORE

Rammy Galis atamba ‘santana’ za Kanumba zinamfiti

Wiki hii kwenye safu hii tunaye msanii wa filamu, Rammy Galis ambaye anajibu maswali 10 aliyoulizwa na Mwandishi Wetu Boniface...

READ MORE

Feza Kessy, Chegge wapewa gwala

Feza Kessy Stori:  Boniphace Ngumije DAIREKTA anayetengeneza video za viwango vya juu Bongo, Hanscana amewapa gwala wasanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Miliomi 600 Kushindaniwa Promosheni ya Vodacom “Kamata Mpunga”

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salam leo(hawapo pichani)wakati wa Uzinduzi wa  Promosheni...

READ MORE

Baada ya FA kupata jiko… AY naye mbioni kufunga ndoa

Ambwene Yessaya ‘AY’ KUFUATIA staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku...

READ MORE

Saka Saka 2016 ni Ya Kukata na Shoka

Baada ya kukabidhi magari mawili na pikipiki kumi kwa wasikilizaji wake kupitia shindano la shikandinga , EFM redio inakuja na...

READ MORE

Chidinma ahofiwa kupotea

ZIKIWA zimepita wiki chache tangu staa wa muziki kutoka Naija, Chidinma Ekile atemane na lebo iliyokuwa ikimsimamia kazi zake za...

READ MORE

Notorious B.I.G Atengenezewa Sanamu

Christopher Wallace ‘Notorious B.I.G’. SANAMU ya aliyekuwa rapa marufu, Christopher Wallace ‘Notorious B.I.G’ ambaye kwa sasa ni marehemu inaendelea kutengenezwa...

READ MORE

Snura: Majanga ilinipa majanga

Stori: Gladness Mallya STAA wa Muziki wa Kizazi Kipya, Snura Mushi ambaye alipata kiki ya aina yake kwa kibao chake...

READ MORE

Shoo ya Kanye West yakumbwa na ghasia New York

Shoo ya ghafla iliyofanywa na rapa wa Marekani, Kanye West mjini New York, iliahirishwa baada ya maelfu ya mashabiki kufika...

READ MORE

Mastaa hawa waliviona vifo vyao

KIFO ni fumbo kubwa katika maisha ya mwanadamu kwani huwa hakijulikana siku wala saa kitakapotokea. Wapo mastaa ambao enzi za...

READ MORE

Baby Madaha: Sina Hobi na Serengeti Boys

Na Gladness Mallya, RISASI mchanganyiko MSANII na mcheza filamu za Kibongo, Baby Madaha amesema hapendi kushiriki mapenzi na wanaume wa...

READ MORE

‘Shinda Nyumba’ yatikisa Vikindu-Mkuranga

Shukuru Chamu (katikati) akielekezwa na Ofisa Masoko wa Global,Yohana Mkanda namna ya kujaza kuponi yake kushiriki bahati nasibu ya Shinda...

READ MORE

Jokate ateswa na skendo!

Stori: Boniphace Ngumije DIVA mwenye jina kubwa kwenye Tasnia ya Mitindo na Urembo Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa miongoni mwa...

READ MORE

Prezzo Azidi Kumlipua Jaguar

BONIPHACE NGUMIJE MKALI wa Muziki wa Hip Hop Afrika Mashariki, Jackson Makini ‘Prezzo’ hivi karibuni alizidi kulimwagilia maji bifu kati...

READ MORE

Mama Harmonize Amtilia Shaka Wolper

Jacqueline Wolper Massawe na mkwe wake, mama Harmonize. STORI: MUSA MATEJA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya staa...

READ MORE