×

Burudani

Shinda Nyumba: Zimebaki siku chache tu, changamkia mjengo huu!

Kushinda nyumba hii mpya yenye fanicha ndani ni rahisi sana! Nunua Gazeti la Championi, Ijumaa, Uwazi, Amani, Ijumaa Wikienda au...

READ MORE

Idd Mosi ndani ya Dar Live… Sikinde, Msongonani zaidi?

Msondo Ngoma Music Band Na Elvan Stambuli UKIWAULIZA wapenzi wa Bendi ya Mlimani Park Ochestra au wana Sikinde Ngoma ya...

READ MORE

Haya ndiyo yaliyomkuta Rihanna jukwaani!

Rihanna akibubujikwa na machozi jukwaani. Dublin NYOTA wa muziki Rihanna alibubujikwa na machozi wakati wa tamasha mjni Dublin usiku wa...

READ MORE

Iggy: Siolewi na mwanaume nisiyemuamini!

ZIKIWA zimepita siku kadhaa tangu rapa wa kike kutoka Australia, Iggy Azalea atemane na mchumba wake ambaye ni mkali wa...

READ MORE

Dotnata Awafuturisha Wasanii

Wasanii wa kike wakichukua futari. Wasanii wa kiume wakipata futari. Wasanii wakimfanyia Dotnata dua maalum. Dotnata (katikati), mama Kanumba (kulia),...

READ MORE

Tiko Apania Kuifunika Chura

Stori: Gladness Mallya STAA wa filamu na Bongo Fleva, Tiko Hassan amepania kutengeneza video kali itakayoifunika ile ya Chura ya...

READ MORE

Mo Music afurahia kukosa meneja

Stori: Boniphace Ngumije MSANII wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amedai tangu aachane na meneja wake, Macdenis Mjata anafurahi...

READ MORE

Isabela Mpanda apangishiwa mjengo

Stori: Gladness Mallya MPENZI wa siku nyingi wa mkongwe wa Bongo Fleva, Luten Kalama, Isabela Mpanda amepangishiwa mjengo maeneo ya...

READ MORE

Quick Rocka na siri ya kugandana na Kajala

Makala: Boniphace Ngumije GEMU la Muziki wa Bongo Fleva lina vijana wengi wenye vipaji,  miongoni mwao ni Abbott Charles ‘Quick...

READ MORE

Sajna amfungukia aliyempoteza kimuziki

Stori: Jonson James MSANII kutoka Rocky City, aliyejulikana zaidi kwa Wimbo wa Iveta, Faraji Twaha  ‘Sajna’ hivi karibuni amefungukia ukimya...

READ MORE

Kurudiana na Diamond, Wema Aanika Ukweli

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ enzi za penzi lao. Stori: Imelda mtema, Wikienda Dar es Salaam:...

READ MORE

Familia yaingilia ishu ya mwanaume tata kumtaka Jux!

Juma Musa ‘Jux’ na mpenzi wake, Vanessa Mdee ‘V-Money’. STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Familia ya staa wa...

READ MORE

Babu Tale Anaweza Kuwa Kikwazo Chid Benz Kupona!

Chid Benz. Makala: Waandishi Wetu, WIKIENDA DAR ES SALAAM: JUKWAA la burudani linafahamu kuhusu hali aliyonayo Mbongo Fleva, Rashid Makwiro...

READ MORE

Tunda atia aibu!

STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Video queen matata Bongo ambaye ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, David...

READ MORE

Aunt Lulu auza mishikaki, bwana’ke amvunjia banda

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Baada ya kutosikika kwa muda mrefu, Mtangazaji Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amevunja ukimya...

READ MORE

Wa kumnusuru Ray C ni Mungu Tu!

Rehema Chalamila ‘Ray C’ MUSA MATEJA TUMUOMBEENI Ray C kwa sababu wa kunusuru maisha yake kwa sasa ni Mungu tu!...

READ MORE

Kim Kardashian auza makalio kwenye ‘gift paper’

Kim Kardashian. NEW YORK, MAREKANI KISTAAJABU ya Musa! Mwanamitindo na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim...

READ MORE

Jini Kabula, Lulu Diva Pachimbika

Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ Ubuyu: Hamida Hassan, Wikienda  DAR ES SALAAM: Pamechimbika! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’...

READ MORE

G Nako Agoma Kuanika Uhusiano Wake

G Nako. MKALI kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop, Bongo, G Nako Wara Wara amegoma kuanika juu ya uhusiano...

READ MORE

Prezzo aeleza siri ya kolabo na Bamboo

Jackson Makini ‘CMB’ Prezzo. RAPA mwenye jina kubwa Afrika Mashariki,  Jackson Makini ‘CMB’ Prezzo amefunguka kuwa siri ya kufanya kolabo...

READ MORE

Hemed PHD afunguka madhara ya kutoka na staa

Staa wa filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘Hemed PHD’ Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi MUUZA sura kwenye filamu za Kibongo, Hemed...

READ MORE

Kanye amuunga mkono mkewe kupiga za nusu utupu

Kim Kardashian, mumewe wa ndoa, Kanye Wes. Siku chache baada ya Gazeti la GQ kuingia mitaani, ukurasa wa mbele likipambwa...

READ MORE

Quick Rocka kuibuka na Wizkid

Quick Rocka Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva ambaye sasa yuko ‘busy’ kupushi ngoma yake mpya waliyoshirikiana na...

READ MORE

Isha; Mgonjwa wa chumba chake!

Isha Mashauzi MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa Mpaka Home? Spidi yetu ni 120. Kwa kuonesha kuwa tunakujali wewe msomaji...

READ MORE

Wazazi wamkomalia Madee kuvuta jiko!

Madee. Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi STAA wa Wimbo wa Migulu Pande, Hamad Ally ‘Madee’ amesema hakuna kitu kinachomtesa kwa sasa...

READ MORE

Bongo Movies wafungua Tawi la Yanga

Mike Sangu Na Hamida Hassan,  Dar es Salaam MASTAA wa Bongo Movies wanaoshabikia Timu ya Yanga wamefungua tawi rasmi kwa...

READ MORE

Nuh Mziwanda: Skendo za kijingajinga sasa basi

BONIPHACE NGUMIJE M SANII wa Bongo Fleva anayetamba kwa sasa na Wimbo wa Jike Shupa, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amesema...

READ MORE

Raymond, Shetta na ushamba wao!

Raymond wa WCB STORI: MWANDISHI WETU WASANII wa Bongo Fleva, Shetta na mwenzake Raymond wa WCB wamepondwa vikali kufuatia kuposti...

READ MORE

Nay akunwa na uwezo wa Sanjay Boy!

MWANDISHI WETU STAA wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki amefunguka kuwa ameguswa na uwezo wa bwa’m-dogo anayefanya poa kwenye Muziki...

READ MORE

Pah One kumtumia Wema

Wasanii wanaounda Kundi la Pah One STORI: BONIPHACE NGUMIJE WASANII wanaounda Kundi la Pah One, Ola, Igwe na Tabanako wamefunguka...

READ MORE

V Money afurahia kolabo na Sauti Sol

STORI: BONIPHACE NGUMIJE DIVA anayefanya poa kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Vannesa Mdee ‘V-Money’ hivi karibuni...

READ MORE

Pichaz: Muonekano Mpya wa Chid Benz

Rapa wa muziki wa hip hop, Rashid Abdallah Makwiro ‘Chid Benz’ katika pozi. Chid Benz akishow love na Bab Tale....

READ MORE

Mazoezi ya Yoga ya nchini India kufanyika nchini

Balozi wa India nchini, Sandeep Arya (katikati) akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Balozi Sandeep Arya (wa pili kushoto)...

READ MORE

Nyamwela achekelea kunengua Australia

Stori: Gladness Mallya MNENGUAJI nyota wa Bendi ya The African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Hassan Musa ‘Super Nyamwela’ ametoboa jinsi...

READ MORE

Shamsa: Napiga kazi mwezi mtukufu

Stori: Gladness Mallya TOFAUTI na miaka mingine, staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema licha ya kuwa Mwezi Mtukufu wa...

READ MORE

G-Nako: Kuna msanii mkubwa Afrika nitakolabo naye

 George Mdeme ‘G Nako’ Makala: Boniface Ngumije WACHACHE sana wanaofuatilia muziki wa Bongo watakuwa hawamuelewi nini anafanya huyu jamaa, maana...

READ MORE