×

Burudani

Snura, Mashauzi, R.O.M.A ndani ya Dar Live

R.O.M.A Mkatoliki. MASTAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura na R.O.M.A Mkatoliki, wakali wa Singeli, Man Fongo na Shoro Mwamba...

READ MORE

Prezzo amfuata Gigy Bongo!

Prezzo IMEVUJA! Kumbe rapa mwenye jina kubwa Afrika Mashariki, Jackson Makini ‘Prezzo’moja ya ishu zilizomleta Bongo ni pamoja na kukutana...

READ MORE

Baada ya Nay Kuchepuka… Lulu Diva Amgeukia Belle 9

Lulu Diva SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa...

READ MORE

Khalid Chokoraa kutambulishwa rasmi Twanga, Juni 4

STAA wa Muziki wa Dansi aliyekuwa akiunda Kundi la Mapacha Watatu, Khalid Chuma ‘Chokoraa’ amejivua rasmi umiliki wa bendi hiyo...

READ MORE

Kidoa Alamba Shavu la Kutangaza Nguo EBM

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA VIDEO Queen Asha Salum ‘Kidoa’ hivi karibuni ameibua maswali mengi mtandaoni baada ya kutupia picha akiwa...

READ MORE

Wema: Nikitembelea Bajaj kinawahusu nini?

STORI: Imelda Mtema, Wikienda STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka...

READ MORE

Lungi alinanga penzi la Wolper, Harmonize

Jacqueline Wolper na Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA MSANII wa filamu wa kitambo, Lungi Maulanga amelinanga penzi na...

READ MORE

Stara Thomas aeleza siri ya kupungua kwake

Mwanamuziki Stara Thoma STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliongea na Ijumaa Wikienda na kueleza siri ya kupungua...

READ MORE

Edwin Mashayo na Mary Mollel Wauaga Ukapela

Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa...

READ MORE

Wakongwe wa Muziki ‘Waikalisha’ Dar Live

Abby Skills akiwakumbushia mashabiki wimbo wa Maria. Dully Sykes akiwapagawisha mashabiki. Juma Nature akigonga ‘nyundo’ zake. Mabaga Fresh nao wakiwakumbusha...

READ MORE

Championi Yawaibukia Tena ‘Vibandaumiza’ Dar

   Ofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers, Yohana Mkanda (kushoto) akimkabidhi Salum Magoma, Mkazi wa Kinondoni Makuti ubao wa...

READ MORE

Maisha Plus East Africa 2016 Yazinduliwa kwa Kishindo

Masoud Kipanya (katikati) akiongea na washiriki waliopita wa Maisha Plus. Mkongwe wa miondoko wa Reggae nchini, Jhiko Man (kushoto) akiwa...

READ MORE

Glory Gideon Atwaa Taji la Miss IFM 2016

Miss IFM 2016 Groly Gideon (katikati), akiwa kwenye pozi na mshindi namba mbili Nasra Muna (kushoto), huku kulia akiwa amepozi...

READ MORE

Leo ndiyo leo wakongwe Bongo Fleva Dar Live!

Dully Sykes Stori: Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani imefika ambapo...

READ MORE

Gigy Money sikio la kufa

Stori: Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI KUONESHA kwamba haoni wala hasikii, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amezidi kutia fora kwa kunaswa na...

READ MORE

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Jacqueline Wolper na Harmonize. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa...

READ MORE

Ni Ulimwengu wa… Prezzo, Sappy na Ervixy Kenya

Jackson Makini ‘Prezzo’ Makala: Boniphace Ngumije, RISASI JUMAMOSI UKITIMBA katika ‘viunga’ vya Jiji la Nairobi ni rahisi sana kugundua kuwa...

READ MORE

Baba Haji akomalia sinema za kidini

Mkongwe wa Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ Stori:Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI MUIGIZAJI mkongwe Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’, amesema baada...

READ MORE

Miaka 3 kifo cha Ngwea… Ngoma Zake Bado Zinaishi

Marehemu Albert Magwea SIKU kama ya kesho mwaka 2013, Tasnia ya Muziki Bongo ilipata pigo kubwa baada ya kuondokewa na...

READ MORE

Tanzia: Hussein Macheni afariki dunia

Hussein Macheni enzi za uhai wake. Aliyekuwa mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein...

READ MORE

Drake amvalisha Rihanna pete ya uchumba

Mwanamuziki Robin Rihanna Fenty na rapa Aubrey Drake Graham ‘Drake’ wameingia kwenye vichwa vya habari mitandaoni baada ya Drake kumvalisha...

READ MORE

Rama Dee: ‘How come’ Jide awe mpenzi wangu?

Rama Dee Mkongwe wa RnB Bongo, Rama Dee juzikati alipanda kwenye jukwaa na kuimba na Mwanamuziki Lady Jaydee pale Mlimani...

READ MORE

Huh! eti kwa Naj, Baraka kafuata mapene

Naj na Baraka Msanii wa Bongo Fleva, Baraka de Prince kwa sasa kafa kaoza kwa msanii mwenzake Naj ila madai...

READ MORE

Davina alia filamu za mapenzi kuua soko

Na Gladness Mallya Muigiza wa long time Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kueleza kwamba filamu za mapenzi wanazocheza wasanii...

READ MORE

Jimmy Mafufu agomewa mtoto wa pili

Na Imelda Mtema Msanii wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa watu wengi wanamuulizia kuhusu kutafuta mtoto mwingine na mkewe...

READ MORE

Steve Nyerere: Iyobo ametusitiri kwa Aunt

Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ Na Imelda Mtema Staa wa filamu na vichekesho Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, amewavunja mbavu watu...

READ MORE

Video ya Mayunga wa Airtel Trace Music Stars na Akon

Mashabiki wa muziki wamejitokeza kupakuwa kuitazama video ya Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga aliyoifanya na mwanamuziki...

READ MORE

Petit, Esma mahaba upya!

DADA wa staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul na mumewe, Petit Man wameonesha wako katika...

READ MORE

Aunt: sasa natafuta mapacha

Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyoyo sambamba na mtoto wao, Cookie STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa baada...

READ MORE

Mercy Aigbe amepigwa kibuti?

HUENDA staa wa filamu kutoka Nigeria, Mercy Aigbe amepigwa kibuti na bwana wake, Richard Mofe-Damijo ‘RMD’ kutokana na viashiria anavyovitoa...

READ MORE

Hatari… Kylie anunua na mjengo wa bil. 13

STAA wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kylie Jenner amenunua mjengo mpya pande za Calabas, California wenye thamani...

READ MORE

Juliet ‘ajibebisha’ kwa Odochie

MREMBO kunako filamu Ghollywood, Juliet Ibrahim juzi kati alionekana akijibebisha ‘live’ na mkongwe wa filamu kutoka Nollywood, Pete Odochie. Kupitia...

READ MORE

Kumbe Martin Kadinda ngangari

Richard bukos, Amani Dar es Salaam: Mwanamitindo wa kiume Bongo, Martin Kadinda amenaswa akiwa ngangari akimbambia kimahaba kimwana ambaye jina...

READ MORE

Mama Shujaa wa Chakula Kuondoka na Milioni 25

Afisa Miradi kutoka Shirika la kimataifa la OXFAM Kefah Mbogela akizungumzia juu ya Shindano la Mama Shujaa wa Chakula, Umiliki...

READ MORE

Fid Q ageukia udairekta

Farid Kubanda ‘Fid Q’, Omary Mdose, Dar ess Salaam MWANAMUZIKI wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’, ameibuka na...

READ MORE

Sheta: namjua itaifunika Shikorobo

Wilbert Molandi, Dar ess Salaam MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Sheta anaamini kuwa songi lake jipya la Namjua litaifunika...

READ MORE

Harmonize: Wolper Bibi? Niacheni Nimempenda Mwenyewe

Wolper na Harmonize katika mahaba mazito. Said Ally, Dar ess Salaam MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rajab Abdulhan...

READ MORE