×


Burudani


Yamoto Band Hakukaliki Dar Live Leo

HAKAI mtu! Unaweza sema kwa maana nyingine wakati bendi inayokimbiza mjini, Yamoto leo (Desemba 19), itakapoporomosha ngoma mpya na zote zinazobamba ndani ya Uwanja wa…

SOMA ZAIDI


Diamond afunika Kampala, Uganda jana

Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katuka Uwanja wa Lugogo Cricket Oval, Kampala, Uganda. Diamond akiimba kwa hisia….

SOMA ZAIDI
No Picture

Saint kumfungisha kizazi Kim Kardashian

Mwanamitindo Kim Kardashian. Marekani BAADA ya hivi karibuni Mwanamitindo Kim Kardashian kujifungua mtoto wa pili aitwaye Saint, madaktari wameshauri uzazi huo uwe wa mwisho lasivyo…

SOMA ZAIDI

No Picture

Osita kuzindua hoteli yake Krismasi!

Osita Iheme ‘Pawpaw’. KUNA kila dalili za staa mwenye umbo fupi anayekimbiza kunako soko la filamu Nollywood, Osita Iheme ‘Pawpaw’ kufungua bonge la hoteli yake…

SOMA ZAIDI

No Picture

Dimpoz meno nje filamu mpya ya JB

Ommy Dimpoz. MKALI wa Bongo Fleva anayetarajia kuachia ngoma yake mpya ya Achia Body Leo, Ommy Dimpoz amejikuta akivunjika mbavu kwa jinsi alivyoona mwigizaji Jacob…

SOMA ZAIDI


No Picture

Waje: sina haraka ya kuolewa

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Waje. MWIMBAJI maarufu wa kike nchini Nigeria, Waje, amesema hana haraka ya kuolewa na jambo hilo litatimia wakati wake ukifika. Amesema…

SOMA ZAIDI

D’Banj: Olamide si mwizi

HATIMAYE, mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’Banj, amejibu tuhuma za prodyuza wa muziki, Dee Vee, anayemiliki kampuni ya DB Records kwamba rapa Olamide aliiba mistari kadhaa…

SOMA ZAIDI

Rihanna Awatega Mashabiki Wake

Rihanna DIVA wa muziki wa Pop, Rihanna ameendeleza kuwatega mashabiki wake kwa kushirikiana na Kampuni ya Sumsung baada ya kuachia vipande vingine vya video alivyoviita…

SOMA ZAIDI

No Picture

Diamond kuwasha moto Dar Live

Diamond Platinumz. KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu…

SOMA ZAIDI