×

Burudani

Barnaba Adai Ruge Mutahaba Alimlea, Asimulia Safari Yake ya Muziki Hadi Hapo Alipofikia

MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic amesema mtu aliyemlea katika Sanaa ya muziki na kumfanya kuwa staa ni aliyekuwa Mkurugenzi...

READ MORE

Breaking News: Diamond Athibitisha Kununua Ndege, Atamka Live Akiwa Ujerumani

KAMA ulikuwa unadhani ni stori stori tu za mtandaoni, habari ikufikie Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amethibitisha kununua ndege.   Ndio,...

READ MORE

Babu Tale Amjibu P Funk, Adai Afrika Nzima Inatambua Mchango wa WCB

SIKU chache baada ya Prodyuza mkongwe wa muziki nchini, P Funk ‘Majani’ kudai kuwa Lebo ya Muziki ya ya WCB...

READ MORE

Tiwa Savage Atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari Kutoka Chuo Kikuu cha Kent Uingereza

Tiwa Savage; ni staa wa kike wa muziki nchini Nigeria ambaye ametunukiwa Shahada ya Heshima ya udaktari kutoka Chuo Kikuu...

READ MORE

Esma Platnumz Adokeza Juu ya Suala la Kujaribu Ndoa kwa Mara Nyingine

ESMA Khan au Esma Platnumz; ni mwanamama maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholati) na dada wa staa wa muziki nchini...

READ MORE

Baada ya Kutimiza Umri wa Miaka 20 Paula Asema Sasa Akili Imekaa Sawa

PAULA Paul Mathyasse almaarufu Paula Kajala; ni binti wa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Mama Pau ambaye anasema...

READ MORE

Omondi Acharuka Kuitwa Shoga, Ataka Watu Watofautishe Maisha Halisi na ya Mitandaoni

MSANII maarufu wa vichekesho afrika mashariki, eric omondi ameweka wazi kuhusu madai ambayo yamekuwa yakimuandama kwamba yeye ni wa kile...

READ MORE

MC Gara B: Kajala Alikuwa Ananizungusha Wakati Harmonize Anapambana Kurudiana Naye

MSHEREHESHAJI Maarufu nchini MC Gara B leo Julai 14, 2022 ametembelea Studio za Global TV na Global Radio ambapo amefanya...

READ MORE

Baba Levo Amuonya Rayvanny, Asibadilike na Kuwa kama Harmonize

  BABA Levo au Chawa Promax wa Diamond Platnumz; ni msanii na mtangazaji wa Wasafi ambaye hajabaki nyuma kuzungumzia suala...

READ MORE

Rayvanny Aaga Rasmi: Ni Wakati wa Kuondoka WCB na Kuanza Maisha Mapya

MSANII maarufu wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ametangaza kuondoka rasmi katika Lebo yake ya Wasafi ‘WCB’ na kwenda kuanza...

READ MORE

Diamond Adaiwa Kumharibu Zuchu, Azua Gumzo Nchini Afrika Kusini

ZUCHU; ni msanii wa moto ile mbaya kunako lebo kubwa kabisa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Lulu Diva: Video Alinirekodi Mpenzi Wangu, Anazo Nyingi, Sijui Ataachia Ngapi

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva ameamua kufunguka kwa mara ya kwanza kuhusu video zake za...

READ MORE

Msanii wa Bongo Fleva Nandy Alijisikia Vibaya Kumkana Mwanaye Pindi Alipohojiwa

Nandy The African Princess; ni msanii mkubwa wa kike nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, amefikia hatua ya kuuanika ujauzito wake...

READ MORE

Msanii wa Bongo Fleva Lulu Diva Adaiwa Kulazwa Hospitali

LULU Abbas almaarufu Lulu Diva; ni mrembo mkali kunako Bongo Fleva na Bongo Movies ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kwa mshtuko...

READ MORE

Vita Ya Malkia wa Bongo Fleva Zuchu na Esma Yafika Pabaya Diamond Atajwa Kuwa Chanzo

ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye anadaiwa kuingia...

READ MORE

Chamudata Mpya Yaanza Mikakati Kuinua Muziki wa Dansi

    VIONGOZI wapya wa Chama cha muziki wa dansi nchini, CHAMUDATA wameweka hadharani mikakati yao baada ya kuingia madarakani...

READ MORE

Mume wa Diva (Abdulrazack) Afunguka A-Z Kuvunjika kwa Ndoa Yao, Diva Kunywa Sumu- Video

KATIKA kipindi cha ‘MAPITO’ leo Julai 06,  mtaalam wa masuala ya mahusiano, Sheikh Abdulrazack, ambaye pia ni mume wa mtangazaji...

READ MORE

Mbosso Afichua Bifu Lake na Aslay, Ataja Kilichoiua Yamoto Band

  MBOSSO Khan; ni staa mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amefichua kuhusu bifu lake la moto na memba mwenzake wa...

READ MORE

Harmonize: Bado Siamini Nipo na Kajala Baada ya Kumvalisha Pete ya Uchumba

  Rajabu Abdul Kahali almaarufu Harmonize; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye anafanya vizuri zaidi kwa sasa kiasi cha...

READ MORE

Johari: Sina Muda na Ray Kwa Sasa Nipo Bize na Kampuni Yangu ya Lokoma

Blandina Chagula almaarufu Johari ; ni muigizaji wa sinema za Kibongo ambaye anasema kuwa, hana muda wa kumfikiria aliyekuwa patna...

READ MORE

Pimbi: Marioo Kamfunika Harmonize Kimuziki, Amebaki Kutembelea Kiki ya Kajala

MSANII wa vichekesho nchini anayefahamika kwa jina la Pimbi amesema kwa sasa kimuziki Marioo kamuacha mbali sana CEO wa Kondegang,...

READ MORE

Mjadala Mzito… Harmonize Anamuoa Kajala Mke Wa Mtu! Soma Hapa Muda Huu

  Mwijaku; ni mtangazaji na msemaji wa mastaa mbalimbali Bongo akiwemo Harmonize ambapo naye ameingilia mjadala mzito unaosambaa mitandaoni kuwa,...

READ MORE

Miss Afariki Baada ya Kufanya Upasuaji, Alikaa Koma Miezi Miwili

GLEYCY Correia ni aliyekuwa Miss Brazil mwaka 2018 ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 baada kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

Snura, Ney, Stamina, Mc Kinata, Chegge Chigunda, Maua Sama Waiteka Tmk kwa Tamasha la Zege Day

WASANII mbalimbali Leo wamefanikiwa kuusimamisha ukanda wa Wilaya ya Temeke na viunga vya jirani Jijini Dar es Salaam kwa kuwakutanisha...

READ MORE

Gigy Money Adai Unga, Pombe Vinatesa Mastaa wa Bongo, Agusia na Bangi

GIFT Stanford almaarufu Gigy Money; ni mwanamama staa wa muziki nchini Tanzania ambaye amefichua siri ya mastaa wengi Bongo kuwa...

READ MORE

Zari Kuolewa Tena Ndoa ya Tatu, Amtambulisha Mume Wake Kibenteni

Zari The Boss Lady ; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na baby mama wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania,...

READ MORE

Siri Yafichuka Nandy Kufunga Ndoa ya Chap kwa Haraka ‘Zimamoto’ na Billnass

  Nandy au The African Princes na Billnass au Nenga; ni wapenzi mastaa wakubwa wa muziki nchini Tanzania ambao wikiendi...

READ MORE

Kajala: Naangalia Zaidi Furaha Yangu Kuliko Kitu Chochote Msinipangie Maisha!

    Kajala Masanja au Mama Pau; ni staa mkali kwenye kiwanda cha filamu nchini Tanzania almaarufu Bongo Movies ambaye...

READ MORE

Makabila: Simuogopi Nay wa Mitego, Namheshimu na Naweza Kumvunjia Heshima Pia

MSANII wa Singeli Bongo, Dullah Makabila amemjibu Nay wa Mitego baada ya Rapa huyo kutumia ukurasa wake wa Insta story...

READ MORE

Harmonize au Konde Boy Mjeshi Amwagia Paula Mamilioni Pesa Kumlainisha

  PAULA Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye aliapa kwamba labda afe...

READ MORE

Mondi Ampongeza Manara kwa Ubingwa, Adai Anaijua Siri ya Magumu Aliyopita

  MWANAMUZIKI Nguli wa Tanzania Nassibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amempongeza Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Manara, kufuatia Klabu ya...

READ MORE

Zari The Boss Lady Aweka Historia Kenya, Alipwa Tsh Milioni 50 Kwa Siku Tatu

Ni wakati wa kutengeneza mkwanja tu kwa mwanamama Zari The Boss Lady baada ya kulipwa kiasi cha Ksh.2.5 milioni (Tsh...

READ MORE

Msanii wa Nigeria Burna Boy Akumbwa na Msala Mzito wa Kujaribu Kuua

BURNA BOY; ni staa mkubwa wa muziki wa Nigeria anayeshikilia Tuzo ya Grammy ambaye ameingia kwenye msala mzito mno wa...

READ MORE

AY Avimba Huko Youtube, Apokea Tuzo Maalum ya Mafanikio

AY; ni staa wa muziki wa Hip Hip Bongo ambaye sasa anavimba baada ya kupokea Silver Plaque (tuzo) kutoka Mtandao...

READ MORE

Justine Bieber Athibitisha Kupooza Uso, Aahirisha Shoo Zake

MWANAMUZIKI raia wa Canada, Justin Bieber (28) amefichua kuwa anaugua ugonjwa wa kupooza usoni baada ya matamasha yake kuahirishwa wiki...

READ MORE

Paula Amsamehe Mama Yake Baada Ya Kurudiana na Harmonize, “Aliapa Awe Amekufa”

  PAULA Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania na ni binti wa mastaa, mwigizaji Kajala Masanja...

READ MORE

UEFA Nations League Kufikia Tamati Wikiendi Hii, Unamalizaje? Pata Odds Bora

Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA...

READ MORE

Irene Uwoya Afunguka Sababu ya Kutozeeka Akionekana Msichana Mrembo

  Irene Pancras Uwoya; ni staa nembo wa Bongo Movies na ni mwanamama mjasiraiamali maarufu nchini Tanzania ambaye ametoa siri...

READ MORE

Mabadiliko Makubwa Kufanyika Ndani ya Konde Music Worldwide Maarufu kama Konde Gang

Mwijaku; ni muigizaji na mtangazaji maarufu nchini Tanzania ambaye amefichua kuwa, kitendo cha Kajala Masanja kutangazwa kuwa CEO mpya wa...

READ MORE

Nandy na Billnass Watarajiwa Kufunga Ndoa Mwezi huu wa Sita

Faustina Charles au Nandy na Wiliam Lymo au Bilnass au Nenga; ni mastaa wakubwa wa muziki nchini Tanzania ambao hayawihayawi...

READ MORE