×

Burudani

Super Sunday: Manchester City Kuwakaribisha Liverpool EPL

Ni wikiendi ya aina yake kwenye EPL wiki hii. Mzunguko wa 8 utawakutanisha miamba ya soka la Uingereza katika mchezo...

READ MORE

Kolabo Ya Billnass, Nandy Tishio Afrika Mashariki

  ZIKIWA ni wiki kadhaa zimepita tangu Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ na mchumba wake Faustina...

READ MORE

Shilole: Ndoa Siyo Jela, Ukishindwa Sepa

MIEZI mich-ache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, Mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kuwa ndoa siyo...

READ MORE

Ndoa ya Harmo, Sarah Yadaiwa Kuvunjika

NDOA ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo na mkewe Sarah Michelotti ipo gizani na...

READ MORE

Pre-Order TECNO CAMON 16s Upate Zawadi Papohapo

Kampuni kinara ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa ofa ya zawadi kwa wateja wake wa kwanza kabisa watakaofanya malipo...

READ MORE

Uwoya Vyuma Vimekaza Afunga Baa Yake Sinza

Vyuma vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamama na staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, kufunga baa yake ya...

READ MORE

Hatari Tupu! Mauno ya Wamama Vuvuzela Classic Modern Taarab

KUNDI la Vuvuzela Classic Modern Taarab usiku wa kuamkia jana iliwanyongesha mauno kinamama waliohudhuria onesho lililofanyika Ukumbi wa Open Air...

READ MORE

Balaa la Twanga Pepeta Usiku wa Manane

  BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayotamba na wimbo wake mpya wa Mapenzi Sigala Kali, usiku wa kuamkia jana...

READ MORE

Lyyn Afunguka Penzi Lake Na Diamond – Video

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Irene Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘maneno’, amefunguka...

READ MORE

Christian Bella Kufanya Balaa Tamasha la Full Moon Party, Leo

Mkali wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella na Bendi yake ya Malaika leo anatarajiwa kuzindua tamasha la Full Moon...

READ MORE

Mpambano wa Magwiji wa Soka Duniani- Juventus vs Barcelona

Mchezo uliosubiriwa kwa hamu – Juventus vs Barcelona Msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa ulishaanza! Wiki iliyopita, michezo ya mzunguko...

READ MORE

Hii Kiboko! Wake Wenza Wanapendana Balaa, Waeleza Walivyokutana – Video

AKIDA ni Mume wa Wake wawili ambao wamekuwa wake wenza kwa miaka 6 na wameshibana huku wakisaidiana katioka mambo mbali...

READ MORE

Mobetto Afunguka, Sijui Kuimba?

Msanii wa BongoFleva na filamu, Video Vixen, Mjasiriamali Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kusema yeye sio mtu wa kukata tamaa...

READ MORE

Ben Pol Amfungulia Dunia Darasa

DAR: Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darasa’, amefunguka kuwa hadi hapo alipofikia, siyo yeye, bali ni sapoti ya...

READ MORE

Ambwene Afunguka Kutumika Kisiasa “Nina Chama Changu”

Kupitia kipindi cha Soulfood ya +255 Global Radio leo Oktoba 25, Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ambwene Mwasongwe amewataka vijana...

READ MORE

Makazi ya Mondi Yatapakaa Kinyeshi

Baada ya miezi kadhaa kupita tangu supastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atangaze kutoa misaada ya...

READ MORE

Kaze: Huyu Faridi, Nyie Acheni

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amemwagia sifa kiungo wake mshambuliaji Farid Mussa huku akimuhakikisha nafasi ya kucheza katika...

READ MORE

Harmonize Alizwa Mamilioni YouTube

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni bosi wa lebo kubwa ya muziki nchini Tanzania ya Konde Gang Music Worldwide,...

READ MORE

Lyyn Ampakulia Minyama Kiba!

Sexy lady wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’ amempakulia minyama kama yote mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King...

READ MORE

EL Clasico – Mechi ya Kipekee, Barcelona Kuwakaribisha Real Madrid

Ni mara chache sana kuona mechi inateka hisia za mashabiki ulimwenguni kama ilivyo El Clasico! Hilo sio jambo la kushangaza...

READ MORE

Bodi ya Filamu Yaipeleka Bongo Muvi, Soko la Kimataifa

Bodi ya Filamu nchini leo imemkutanisha mmilikiwa kituo cha luninga ya mtandaoni ya Nuella TV, Bwana Charles Liburd kutoka nchini...

READ MORE

Mimi Mars Aonesha ‘Mahaba’ Kwa Blue

MREMBOanayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Mariane Mdee ‘Mimi Mars’ amefunguka kwamba, kwa upande wa wasanii wa kiume anaowazimia,...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Kuendelea Leo Usiku!! Ajax vs Liverpool

Huu ni mchezo wa aina yake katika ulimwengu wa soka. Mchezo huu unaturudisha mwaka 1966 ambapo timu hzi zilikutana na...

READ MORE

Simi Adondosha Ngoma Mpya ‘No Longer Beneficial’

  STAA wa muziki wa Afro – R&B kutoka Nigeria, Simi ameachia kibao chake kipya ‘No Longer Beneficial’ ikiwa ni...

READ MORE

Nisamehe- Cover Song By Idaah



READ MORE

Tamasha la Jiachie na ‘Kili’ Lilivyokuwa Full Mzuka Ndani ya Escape One

MASHABIKI wa burudani usiku wa kuamkia leo walikuwa ‘full vibe’ ndani ya Ufukwe wa Escape One uliopo Mikocheni jijini Dar...

READ MORE

Zuchu: Ni kweli Ninabebwa!

STA A wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa na memba wa lebo ya muziki ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Joh Makini Atoboa Siri ya Kuwa Bachela!

MUZIKI wa Bongo Fleva uliasisiwa na wakongwe mbalimbali kwa kuutangaza na kuujenga.Miongoni mwa wakongwe ambao wamejua kulijenga gemu la muziki...

READ MORE

Wolper: Acha Nionekane Chizi Kwa Rich Mitindo!

MALKIA wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amesema kuwa, yupo tayari aonekane chizi, kwani amedata kinoma kwenye penzi la Rich...

READ MORE

Video: Mtoto wa Dudu Baya Aeleza Baba Yake Kupotea – “Hatujui Yuko Wapi”

Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kupotelea kusikojulikana kwa takriban miezi miwili kwa msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu...

READ MORE

Amber Lulu Afunguka Kubeba Mimba ya Uchebe!

Pisi kali kunako Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Amber Lulu’ amefunguka juu ya tetesi zinazosa-mbaa kuwa amebeba ujauzito wa aliyekuwa mume...

READ MORE

Playson Solar Escape – Shinda Milioni 160 Cheza Sasa Kupitia Meridianbet

Unajihisi mwenye bahati? Kama jibu ni Ndio, chagua Playson Solar Escape shindano la shilingi 160,000,000 za kitanzania kupitia kasino ya...

READ MORE

Usajili Kili Marathon 2021 Wafunguliwa Rasmi

Waandaaji wa mbio maarufu ndani na nje ya nchi Kilimanjaro Premium Lager Marthon wametangaza kuanza kwa usajili wa mbio hizo...

READ MORE

WCB Wakimbiza Wasanii Youtube

Takwimu zilizotolewa na matandao wa YouTube zinazohusisha channel za wanamuziki nchini Tanzania zilizotazamwa kwa wingi mwezi Septemba zimewaweka kileleni wasanii...

READ MORE

Jaqueline Mengi Aeleza Siri Ya Umiss Kupoteza Umaarufu

WAKATI mashindano ya urembo nchini yakiwa yanaendelea kupoteza mvuto aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2000, Jaqueline Mengi ametaja baadhi ya sababu...

READ MORE

Billinas: Nandy Anaanzaje Kuvua Pete Yangu!

MARA nyingi husemwa uhusiano wa kimapenzi wa mastaa ni wa tia maji tia maji huku wengi wakithibitisha kumwagana muda mfupi...

READ MORE

Producer S2Kizzy Avamiwa Studio, Apigwa

MTAYARISHAJI  wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania, Producer S2Kizzy, ameeleza kuwa amevamiwa studioni kwake ya ‘Pluto World’ iliyopo...

READ MORE

Aunt Kujifungua Akirushwa Laivu

UKISTAAJABU ya Musa, utaona ya firauni! Ndivyo unavyoweza kutafsiri maajabu anayotarajia kuyafanya Staa wa filamu Bongo, Aunt Greyson Ezekiel baada...

READ MORE

Hatimaye Ndoa Ya Lulu na Majizo Yatangazwa Kanisa

MAPAMBIO ya ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mchumba’ke, Francis Siza ‘Majizo’, yameimbwa mpaka basi,...

READ MORE

Wild Corrida Slot – Ijaribu Bure kwenye Meridianbet

Unataka kutembea kwenye viatu vya bullfighter? Jaribu slot ya mtandaoni ya Wild Corrida kutoka Expanse Studios na utakuwa ukimsaidia wild...

READ MORE