×

Burudani

Wema Amzulia Balaa Diamond Platnumz

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Sepetu kumzulia balaa zilipendwa wake...

READ MORE

Snura Ayapa Kisogo Mapenzi

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa ameamua kuyapa mapenzi kisogo kwani hayana faida kwake....

READ MORE

Petit Man Nisingeweza Kuachana Mazima na Esma

 PENZI la kweli halifi na hata likifa haliozi, haya ndiyo maneno aliyotamka meneja wa wasanii mbalimbali nchini, Ahmed Hashim ‘Petit...

READ MORE

Vera, Daktari Bongo… Mahaba Kama Yote – Pichaz

   AMKENI, amkeni jamaniii! Habari ya mjini ni penzi zito la mwanamitindo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika na daktari Mbongo...

READ MORE

Wizkid Atangaza Kufunga Ndoa Mwakani 2020

Mwaka 2020 huenda tukashuhudia ndoa za wanamuziki wengi sana katika bara la Africa, baada ya Davido kutangaza kufunga ndoa na...

READ MORE

Dianmond Kufanya Kufuru ya Funga Mwaka!

    HII ni zaidi ya shoo ya kufunga mwaka! Ukiachana na shoo yake kukusanya mastaa wengi kuliko, siri ya...

READ MORE

Wamevuna Mamilioni ya Watazamaji

  TUMEBAKIZA siku chache kuumaliza mwaka 2019. Ni muda muafaka wa kila mtu kujifanyia tathmini ili kuona kama malengo yametimia...

READ MORE

Majizzo na Lulu Hakuna Dalili ya Ndoa

  MCHUMBA wa staa wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’, Francis Siza ‘Dj Majizzo’ ameonesha kumkubali Mrembo huyo kwa uvumilivu...

READ MORE

Amber Rutty Kuhusu Kufumaniwa na Enock Bella

  VIDEO vixen na msanii, Amber Rutty, amefunguka kusema aliwahi kufumaniwa na mume wake Davil, akiwasiliana na msanii Enock Bella...

READ MORE

Full Video: Fainali Za Bss 2019 Zilivyofanyika, Meshack Akaibuka Mshindi

 Fainali za kumsaka mshindi wa Bongo Star Search zimefanyika leo Desemba 24, 2019 katika ukumbi wa Next Door Arena,...

READ MORE

Gigy Money: Mimba kibao zilichoropoka!

  MREMBO kutoka Bongo Flevani, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa, alifikia hatua ya kuzaa baada ya mimba zake kibao...

READ MORE

Ben Pol: Skendo ya Kuachana Imekoleza Penzi Letu!

    BENARD Paul ‘Ben Pol’ amefanya balaa kwenye wimbo wake mpya wa Sikukuu. Ni wimbo mzuri ambao ameutoa katika...

READ MORE

Mama Dangote Ameweka Rekodi ya Aina Yake

DUNIA inakwenda spidi sana na watu hivyohivyo. Wanakwenda na kasi yake hiyo. Unakuta mtu mzee anafanya mambo ya ujana au...

READ MORE

Marlaw: Wafanyabiashara Kariakoo Ndio Walinitoa Kimuziki

  SEHEMU YA 7: KWENYE toleo la wiki iliyopita, Marlaw aliishia pale wakati akijaribu kuelezea namna alivyofanikiwa kutimiza lengo lake la...

READ MORE

Lauren: Tatizo Kubwa Arsenal ni Kiungo

  GWIJI wa Arsenal aliyekuwemo katika kile kikosi kisichofungika ‘Arsenal Invincibles’, Lauren Etame Mayer, anaamini Mikel Arteta anaweza kuipeleka klabu...

READ MORE

Balaa la Mbosso Christmas Kutikisa Dar Live

  MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Label ya WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi  maarufu kama Mbosso Khan amefunguka kufanya maajabu...

READ MORE

Maua halewi sifa kwa sauti yake

  Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maua Sama, amesema anajijua kuwa ana sauti nzuri na inapendwa kwa hiyo hawezi kujibweteka na...

READ MORE

Tanasha Awalipua Kimtindo Zari, Mobeto

  AMERUSHA mawe gizani! Si mwingine bali ni mrembo kutoka Kenya, Tanasha Donna Oketch ambaye ni mpenzi wa msanii maarufu...

READ MORE

Akili za Wabongo na Ufreemason wa Mondi

  “DIAMOND ni Freemason. Pesa zote hizi anapata wapi? Kampa mama yake na mpenzi wake magari ya kifahari? Hapana. Huyu...

READ MORE

Harmonize Apagawisha Tamasha la Mziki Mnene Dar

Usiku wa kuamkia leo mashabiki wa burudani walipata burudani nya aina yake kwenye tamasha la Muziki Mnene lililofanyika Viwanja vya...

READ MORE

Hatimaye Wema Akubali Posa ya Rubani

  KIMEELEWEKA! Baada ya kuruka viunzi vya hapa na pale, hatimaye, mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameridhia...

READ MORE

Nay: Napenda Mapenzi Ila…

  NI Jumamosi nyingine wewe mpenzi wa My Style tunaku­tana kupeana michongo mbalimbali kutoka kwa mastaa kuhusu mitindo na maisha...

READ MORE

Madaktari Wamuonya Harmonize

  KAMA ilivyowahi kutokea kwa aliyekuwa bosi wake kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, madaktari...

READ MORE

Amber Lulu Ana Msitu Kwapani

  HAYA ni makubwa! Msikie msanii anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Lulu Auggen ‘Amber lulu’ amesema ameshindwa kujifanyia usafi kiasi...

READ MORE

Dogo Janja, Chege, JB Wasimulia Walichokiona Amboni – Video

  BAADHI ya wasanii wa tasnia mbalimbali nchini zikiwemo Bongo Fleva na Bongo Movies, wameungana na Waziri wa Maliasili na...

READ MORE

Niva: Unajizawadia Gari Bethidei Yako? Ukimtangazia Ndoa Umempata! – Video

  MUIGIZAJI wa filamu za Bongo Movies, Niva Super Marioo,  amewaponda mastaa wanaojifanya wana pesa kumbe maisha yao ni ya...

READ MORE

VIDEO MPYA: Tros Machine – Kuzima

 Baada ya kufanya kazi nyingi na Producer Baddest47 ambaye sasa ana-hit na ‘Nikagongee’,  kutoka green city Mbeya Tros Mashine...

READ MORE

Mama D Azua Gumzo Tena

MAMA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibua gumzo la aina yake baada ya picha akiwa...

READ MORE

Hafsa Kazinja: Waganga Wamenifilisi Nyumba, Magari

KARIBU mpenzi msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi ambayo huwa inakuletea wasanii waliowahi kuwika kisha kuwa kimya ghafla. Leo...

READ MORE

Staili ya Maziwa Wazi kwa Mastaa Mmmh!

SIYO kila kitu ni cha kuiga, bali vingine unaviacha vipite maana vinaweza kuleta madhara, hivyo ni vyema ukapishana navyo tu...

READ MORE

Tazama Movies, Tamthilia Mtandaoni Bila Intaneti – Video

  RAHA ILIYOJE! Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kuendelea kuboresha huduma zake na kuhakikisha linawapa vitu vipya wateja wake...

READ MORE

Jeuri ya Fedha…. Utajiri wa Lynn Kufuru

DUNIANI kila mtu ana staili yake, ukihojihoji sana unaweza usipate majibu na ukaitwa mbea! Mtoto mzuri kunako Bongo Fleva, Irene...

READ MORE

Baba Diamond Ammwagia Sifa Mme wa Mwenzake

  DAR: Kiroho safi! Hicho ndicho kinachotokea kufuatia baba mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul...

READ MORE

Toni-Ann Atwaa Miss World, Aweka Rekodi – Video

TONI-ANN SINGH ameshinda Taji la 69 la Shindano la Malkia wa Urembo la Miss World. Ni mara ya kwanza katika...

READ MORE

Basata Nayo ni Mzigo?

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na mamlaka nyingine lilifanikisha prodyuza mkali Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk Majani’...

READ MORE

Darleen Siyo Mke wa Kuachika

  FIRST lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ambaye juzikati alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara...

READ MORE

Wolper Avunja Ukimya Penzi na Young Killer

MWANADASHOSTI wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, amevunja ukimya juu ya penzi lake na msanii wa Bongo Fleva, Eric Msodoki ‘Young...

READ MORE

Mondi Ajirudi kwa Tiffah, Nillan

DAMU nzito kuliko maji! Hili limejidhihirisha baada ya mkali anayesumbua kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kujirudi kwa wanawe,...

READ MORE

Wanaume Wazidi Kumtesa Zari

  ANATESEKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na yanayoendelea kwa mjasiriamali maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ kwani kila kukicha wanaume...

READ MORE