MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Sepetu kumzulia balaa zilipendwa wake...
READ MOREMSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa ameamua kuyapa mapenzi kisogo kwani hayana faida kwake....
READ MOREPENZI la kweli halifi na hata likifa haliozi, haya ndiyo maneno aliyotamka meneja wa wasanii mbalimbali nchini, Ahmed Hashim ‘Petit...
READ MOREAMKENI, amkeni jamaniii! Habari ya mjini ni penzi zito la mwanamitindo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika na daktari Mbongo...
READ MOREMwaka 2020 huenda tukashuhudia ndoa za wanamuziki wengi sana katika bara la Africa, baada ya Davido kutangaza kufunga ndoa na...
READ MOREHII ni zaidi ya shoo ya kufunga mwaka! Ukiachana na shoo yake kukusanya mastaa wengi kuliko, siri ya...
READ MORETUMEBAKIZA siku chache kuumaliza mwaka 2019. Ni muda muafaka wa kila mtu kujifanyia tathmini ili kuona kama malengo yametimia...
READ MOREMCHUMBA wa staa wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’, Francis Siza ‘Dj Majizzo’ ameonesha kumkubali Mrembo huyo kwa uvumilivu...
READ MOREVIDEO vixen na msanii, Amber Rutty, amefunguka kusema aliwahi kufumaniwa na mume wake Davil, akiwasiliana na msanii Enock Bella...
READ MORE Fainali za kumsaka mshindi wa Bongo Star Search zimefanyika leo Desemba 24, 2019 katika ukumbi wa Next Door Arena,...
READ MOREMREMBO kutoka Bongo Flevani, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa, alifikia hatua ya kuzaa baada ya mimba zake kibao...
READ MOREBENARD Paul ‘Ben Pol’ amefanya balaa kwenye wimbo wake mpya wa Sikukuu. Ni wimbo mzuri ambao ameutoa katika...
READ MOREDUNIA inakwenda spidi sana na watu hivyohivyo. Wanakwenda na kasi yake hiyo. Unakuta mtu mzee anafanya mambo ya ujana au...
READ MORESEHEMU YA 7: KWENYE toleo la wiki iliyopita, Marlaw aliishia pale wakati akijaribu kuelezea namna alivyofanikiwa kutimiza lengo lake la...
READ MOREGWIJI wa Arsenal aliyekuwemo katika kile kikosi kisichofungika ‘Arsenal Invincibles’, Lauren Etame Mayer, anaamini Mikel Arteta anaweza kuipeleka klabu...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva, kutoka Label ya WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kama Mbosso Khan amefunguka kufanya maajabu...
READ MOREMwanamuziki wa Bongo Fleva, Maua Sama, amesema anajijua kuwa ana sauti nzuri na inapendwa kwa hiyo hawezi kujibweteka na...
READ MOREAMERUSHA mawe gizani! Si mwingine bali ni mrembo kutoka Kenya, Tanasha Donna Oketch ambaye ni mpenzi wa msanii maarufu...
READ MORE“DIAMOND ni Freemason. Pesa zote hizi anapata wapi? Kampa mama yake na mpenzi wake magari ya kifahari? Hapana. Huyu...
READ MOREUsiku wa kuamkia leo mashabiki wa burudani walipata burudani nya aina yake kwenye tamasha la Muziki Mnene lililofanyika Viwanja vya...
READ MOREKIMEELEWEKA! Baada ya kuruka viunzi vya hapa na pale, hatimaye, mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameridhia...
READ MORENI Jumamosi nyingine wewe mpenzi wa My Style tunakutana kupeana michongo mbalimbali kutoka kwa mastaa kuhusu mitindo na maisha...
READ MOREKAMA ilivyowahi kutokea kwa aliyekuwa bosi wake kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, madaktari...
READ MOREHAYA ni makubwa! Msikie msanii anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Lulu Auggen ‘Amber lulu’ amesema ameshindwa kujifanyia usafi kiasi...
READ MOREBAADHI ya wasanii wa tasnia mbalimbali nchini zikiwemo Bongo Fleva na Bongo Movies, wameungana na Waziri wa Maliasili na...
READ MOREMUIGIZAJI wa filamu za Bongo Movies, Niva Super Marioo, amewaponda mastaa wanaojifanya wana pesa kumbe maisha yao ni ya...
READ MORE Baada ya kufanya kazi nyingi na Producer Baddest47 ambaye sasa ana-hit na ‘Nikagongee’, kutoka green city Mbeya Tros Mashine...
READ MOREMAMA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibua gumzo la aina yake baada ya picha akiwa...
READ MOREKARIBU mpenzi msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi ambayo huwa inakuletea wasanii waliowahi kuwika kisha kuwa kimya ghafla. Leo...
READ MORESIYO kila kitu ni cha kuiga, bali vingine unaviacha vipite maana vinaweza kuleta madhara, hivyo ni vyema ukapishana navyo tu...
READ MORERAHA ILIYOJE! Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kuendelea kuboresha huduma zake na kuhakikisha linawapa vitu vipya wateja wake...
READ MOREDUNIANI kila mtu ana staili yake, ukihojihoji sana unaweza usipate majibu na ukaitwa mbea! Mtoto mzuri kunako Bongo Fleva, Irene...
READ MOREDAR: Kiroho safi! Hicho ndicho kinachotokea kufuatia baba mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul...
READ MORETONI-ANN SINGH ameshinda Taji la 69 la Shindano la Malkia wa Urembo la Miss World. Ni mara ya kwanza katika...
READ MOREBARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na mamlaka nyingine lilifanikisha prodyuza mkali Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk Majani’...
READ MOREFIRST lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ambaye juzikati alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara...
READ MOREMWANADASHOSTI wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, amevunja ukimya juu ya penzi lake na msanii wa Bongo Fleva, Eric Msodoki ‘Young...
READ MOREDAMU nzito kuliko maji! Hili limejidhihirisha baada ya mkali anayesumbua kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kujirudi kwa wanawe,...
READ MOREANATESEKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na yanayoendelea kwa mjasiriamali maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ kwani kila kukicha wanaume...
READ MORE