×

Celebrities

ROSA REE AMEBANA AMEACHIA , UGUMU TUPA KULE

Rosa Ree ni mmoja wa mabinti wanaokuja kwa kasi kwenye muziki wa Hip Hop barani Afrika akitokea Bongo Flevani.   ...

READ MORE

PIERRE ASIPOFUNGA ZIPU …? APEWA TAHADHARI

ASIPOFUNGA zipu yatamkuta! Ndiyo mijadala inayoendelea katika mitandao ya kijamii baada ya picha mbalimbali kusambaa zikimuonesha jamaa aliyejizolea umaarufu Bongo...

READ MORE

AUNT AFUNGUKA KUMSALITI IYOBO

VUNJA ukimya! Baada ya mapichapicha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii yakimuonesha staa mkubwa wa Bongo Movies, Aunt Ezeikiel Grayson akiwa...

READ MORE

MIMBA YA TANASHA FAMILIA YACHEKELEA

DAR ES SALAAM: Mpenzi wa sasa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameibua gumzo kufuatia muonekano wake...

READ MORE

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu...

READ MORE

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto...

READ MORE

EASY MAN “Simuogopi Mzee wa BWAX” – Video

MWANAMUZIKI  wa miondoko ya Singeli, Easy Man, anayetamba hivi sasa na kibao chake cha Ndombolo, amepiga stori na Radio yako...

READ MORE

KANYE ANAENDELEA NA IBADA ZA AINA YAKE JUMAPILI

MWANAMUZIKI wa Marekani, Kanye West,  ameendelea na mpango wake wa kufanya ibada na familia yake kila Jumapili. Ibada hii hufanyika...

READ MORE

Majibu Ya Zari Kwa Diamond Platnumz

MZAZI mwenza wa mwanamuziki Diamond Platnumz,  Zari Boss Lady,  amefunguka baada ya msanii Diamond kuongea mengi kuhusu mahusiano yao yaliyopita...

READ MORE

ALBUM YA BEYONCE YAINGIZA MAMILIONI YA MKWANJA

MWANAMUZIKI staa Mmarekani,  Beyonce,  siku kama ya leo, Aprili 24, 2016, aliachia albam yake ya sita ya  Lemonade kupitia mtandao...

READ MORE

DIAMOND: ZARI ALIKUWA AKI-DATE NA PETER WA P SQUARE

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,  ameanika sababu za kuachana na kutorudiana na mpenzi wake ambaye ni mama wa watoto...

READ MORE

MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi...

READ MORE

HATIMAYE DIAMOND, BABA YAKE SASA FRESH! WACHEZA MUZIKI WCB – VIDEO

BAADA ya kuishi kwa miaka kadhaa bila maelewano wala uhusiano, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amepatana...

READ MORE

WAKATI MOND AKISUASUA KWA TANASHA… GUMZO NDOA YA ZARI!

UKISIKIA kupindua meza kibabe ndiyo huku anakotaka kufanya mrembo kutoka Uganda Zarinah Hassan ‘Zari’, shemeji wa zamani wa Wabongo kwa...

READ MORE

 MUTRAH ATAJA VITU AMBAVYO HAWEZI KUVIACHA

MSANII anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Mutrah Tamimu ametaja vitu viwili ambavyo katika maisha yake hawezi kuja...

READ MORE

EXCLUSIVE: Ebitoke Atinga Studio Kurekodi Ngoma Yake! – Video

MUIGIZAJi wa vichekesho ambaye kwa sasa amegeukia gemu la Bongo Fleva, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’,  kwa mara ya kwanza amezungumzia jinsi...

READ MORE

AMINI TRUE LOVE NEVER DIE !

NI kitambo kidogo mambo yamekuwa ni moto kati ya wasanii wa muziki Bongo, Amini Mwinyimkuu na Asterlina Sanga ‘Linah’. Awali...

READ MORE

Aunt, Bwana’ke Mpya Wanaswa Live Airport, Aonyesha Dole la Kati – Video

BAADA ya stori nyingi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ameachana na mpenzi wake,...

READ MORE

BABA Mondi Apata Shavu Lingine

NYOTA ya jaa inazidi kumuangukia baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Abdul Juma baada ya kupata...

READ MORE

Kajala Amkumbusha Lulu ya Segerea

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja baada ya kumtakia heri ya kuzaliwa muigizaji mwenziye Elizabeth Michael ‘Lulu’ alimkumbushia mambo...

READ MORE

Tabia ya Shamsa Kutopenda Wageni Wakati wa Kula

MSANII wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunua siri ambayo watu wengi walikuwa hawaijui kwamba enzi za utoto wake alikuwa...

READ MORE

MADEE AMCHANA MTU VIWEMBE, ASAKWA NAPOLISI

KATIKA toleo lililopita, Madee aliendelea kuelezea historia ya maisha yake, aliishia pale alipoona maisha ya Sauz siyo kitu, akarejea Bongo....

READ MORE

Amber Lulu kikaangoni kwa picha chafu

ACHANA na video yake inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu akigawa zawadi kwa watoto akiwa...

READ MORE

Rose Muhando, MSHUKURU MUNGU, CHUNGA SANA USIRUDI ULIKOTOKA

SIKU chache zilizopita, picha zinazomuonesha mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili, Rose Muhando akiwa amenawiri na kupendeza, ziliibua gumzo kubwa...

READ MORE

Mahaba Xclusive: Mazoea yasiyofaa yanavyoweza kuwa sumu ya penzi lako

NI IJUMAA Kuu! Kwa wale waumini wa Dini ya Kikristo leo wanakumbuka mateso ya Yesu Kristo aliyefia msalabani kwa ajili...

READ MORE

Rose: Acheni utoto

MANENO kuntu! Mwanamama wa Bongo Movies, Rose Ndauka ameibuka na kusema kuwa, siku zote mtu akiacha utoto, mambo lazima yamnyookee....

READ MORE

Kidoa: Nashangaa kwa Nini Wanaume Hawanioni

WAOAJI mpo? Video queen ambaye kwa sasa amegeukia kwenye uigizaji Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amefunguka kuwa yeye ni ‘waifu matirio’...

READ MORE

Tunda hata akifa ghafla hana kinyongo na mtu

MAKUBWA! Muuza nyago matata Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, hata kama atakufa leo hii, hana kinyongo na mtu yeyote.  ...

READ MORE

DIAMOND, HARMONIZE, RAYVANNY NGOMA NZITO… MONDI ATATESEKA SANA!

DAR ES SALAAM: NGOMA ni nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia madogo kutoka familia ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul...

READ MORE

AUNT AMBABUA ANAYESEMA AMEMUIBIA MUME

KAZI kwelikweli! Mkali wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefungukia tuhuma za kukwapua mume wa mtu na kusema kuwa anayedai ameibiwa...

READ MORE

ARIANA GRANDE AVUNJA REKODI YA MKWANJA WA BEYONCE

MWIMBAJI Mmarekani, Ariana Grande,  ameweka rekodi ya kuingiza mkwanja mkubwa katika tamasha la Coachella kwa kumzidi staa Mmarekani mwenziye, Beyonce....

READ MORE

NICKI MINAJ AACHANA NA MENEJIMNTI YAKE

RAPA Nicki Minaj ameachana na menejimenti yake YA  Blueprint/Maverick Gee Roberson kwa madai kwamba amekuwa akifanya kazi na watu watatu...

READ MORE

CHOCKY AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

MWANAMUZIKI, Ali Chocky,  ameoa mke wa pili aitwaye Zai Kingo na kufunga naye ndoa jijini Dar.   Akizungumza na Global...

READ MORE

TRAVIS SCOTT KULIPA MAMILIONI KWA KUTOFANYA SHOO

MWANAMUZIKI wa Marekani, Travis Scott, ametakiwa na mahakama kulipa  Dola 382,932,79 (Tsh. millioni 880.5) baada ya  kutotokea kwenye tamasha la...

READ MORE

MONDI, TANASHA ILIKUWA NI PROJEKTI?

WAKATI Tanasha Donna Oketch anatambulishwa rasmi Novemba 23, mwaka jana kama mchumba halali na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

BONGO MUVI KUMFUATA MSUKUMA DODOMA

  WASANII wa filamu za Kibongo nchini wamesema wanajipanga kwenda jijini Dodoma kwa lengo la kumpongeza Mbunge wa Geita Vijijini...

READ MORE

Maskini Rose Muhando, Baada ya Kutoka Hospitali Akutana na Mengine

DAR ES SALAAM: HAYA ni majanga tena! Siku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando kutoka kwenye...

READ MORE

JK Comedian Amuigiza Baba DIAMOND Kuimba Dudu la Yuyu! – VIDEO

MCHEKESHAJI  maarufu wa kuiga sauti za watu ajulikanaye kama JK Comedian, kwa mara ya kwanza ameiga sauti ya baba mzazi...

READ MORE