×

Celebrities

A-Z KIFO CHA PRODYUZA PANCHO

DAR ES SALAAM: Aidan Magawa ambaye ni kaka wa mtayarishaji Yoshua Mwisho ‘Pancho Latino’ aliyefariki juzi wakati akiogelea, amesema mdogo...

READ MORE

P DIDDY ATARAJIA KUITWA BABA TENA

LICHA ya kuwa na watoto wengi mithili ya timu ya mpira wa kikapu, rapa mkongwe kwenye Muziki wa Hip Hop,...

READ MORE

ZARI AMUIGA WEMA

WAKATI Wema Sepetu akishikilia jina la Tanzania Sweetheart, mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ naye ameamua kumuiga...

READ MORE

PETIT AFUNGUKIA MADAI YA KUTEMBEA NA MTOTO WA GARDNER

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwa ‘Petit Man’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na mtoto wa mtangazaji wa Redio...

READ MORE

DIANA: SEMENI ILA KWA WEMA NIMEFIKA !

MUIGIZAJI Diana Kimari amesema kitendo cha yeye kuwa na urafiki wa karibu na Wema Sepetu kimeibua maneno mengi mitandaoni lakini...

READ MORE

WOLPER: WANAUME WAMETUFANYA MADARAJA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Jacque­line Wolper amefunguka kuwa wasa­nii wengi wa kike mawazo ya kuolewa yameshafutika mioyoni mwao kwa sababu...

READ MORE

SANCHI: SIJAONA MWANAUME BONGO

MWANAMITINDO Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameibuka na kusema kuwa, hajaona mwanaume wa kuwa naye kimapenzi Bongo japo karibia mastaa wote wenye...

READ MORE

MIAKA 20 YA TWANGA PEPETA SHUGHULI YAKE ASIKWAMBIE MTU!

WAKATI siku zikiendelea kuhesabika kuelekea maadhimisho ya miaka 20 ya bendi ya African Stars ‘Twanga pepeta’ kiongozi wa bendi hiyo...

READ MORE

Khaligraph Ashinda Tuzo ya AFRIMMA Dallas Texas

RAPA Mkenya, Khaligraph Jones, ameibuka kidedea na kuipa nchi yake heshima baada ya kupata tuzo ya All Africa Music Awards...

READ MORE

Huddah: Kenyatta Halalisha Bangi

MSANII maarufu nchini Kenya, Huddah Monroe ‘amerusha kombora’ kwa Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta,  akimtaka kuhalalisha matumizi ya madawa...

READ MORE

Muigizaji Akiri Hadharani Kufanya Ngono na Wanaume na Wanawake

MWIGIZAJI maarufu Diaries Aliiptisam, a.k.a Sicho amethibitisha hulala na wanaume na wanawake. The Real Arab Princess kama anavyojiita, ambaye ni...

READ MORE

UZUNGU WA DIAMOND, DADA’KE GUMZO KAMA LOTE

IKIWA hitimisho la bethidei yake aliyoifanya kwa wiki nzima lilikuwa Jumapili iliyopita ambapo alisherehekea ndani ya boti, uzungu wa staa...

READ MORE

DAVINA AVUNJA KIAPO CHAKE MWENYEWE

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ambaye mara kadhaa amenukuliwa akisema hana mpango wa kuolewa tena baada ya...

READ MORE

 AFYA YA CHOKI YAZIDI KUIMARIKA

BAADA ya siku chache zilizopita kuwa hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, mapafu na presha, mkongwe wa muziki wa dansi...

READ MORE

MAJIBU YA UKIMWI YAMPAGAWISHA MBASHA

KUPIMA Ukimwi siyo jambo la mchezomchezo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kupagawa...

READ MORE

DULLAH MAKABILA ANASWA NA KIFAA KIPYA

MSANII wa muziki wa Singeli, Abdallah Ahmed ‘Dullah Makabila’ hivi karibuni alinaswa na kifaa chake kipya anayejulikana kwa jina la...

READ MORE

MAMA AMTIMUA BWANA WA WEMA USIKU MNENE

IMEVUJA! Mama mzazi wa mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu anadaiwa kumfanyia varangati la kufa mtu...

READ MORE

Siri Jeuri ya Fedha ya Uwoya Yafichuka

KWA muda mrefu staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amekuwa akidaiwa kufanya kufuru ya fedha bila kujulikana chanzo...

READ MORE

Kanye West Kukutana Tena na Donald Trump

RAPA Kanye West ameonekana kukosolewa na mashabiki siku kadhaa zilizopita baada ya kuibuka kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa amevaa kofia iliyoandikwa ‘Make American...

READ MORE

Familia ya Ronaldo Yashutumu Madai ya Ubakaji Dhidi Yake

FAMILIA ya mwanasoka raia wa Ureno na klabu ya Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo,   imeshutumu  vikali madai dhidi yake, ambapo...

READ MORE

Salah, Mane, Ronaldo, Messi, Wengine 26 Kuwania 2018 Ballon d’Or

Shirikisho la Soka la Ufaransa limetoa majina 30 ya wachezaji soka watakaowania tuzo ya Ballon d’Or  kwa mwaka  2018.  Wachezaji wawili...

READ MORE

MUNA ALIA NA WATOTO HAWA

MIEZI kadhaa baada ya mwanadada Rose Alphonce ‘Muna Love’ afiwe na mwanaye Patrick Peter, ameamua kumuenzi mwanaye huyo kwa kufanya...

READ MORE

SNURA AFUNGUKIA KUPEWA MIMBA NA BEN’TEN

UNAPOTAJA wasanii warembo wanaofanya vizuri Bongo Flevani, huwezi kuacha kulitaja jina la Snura Mushi ‘Snuu Sex’. Amelisumbua anga la Bongo...

READ MORE

Siri ya Chid Benz kupaka rangi nywele

RAPA mkongwe kunako Muziki wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro, ‘Chid Benz’ ametaja sababu ya kupaka nywele zake rangi kuwa, sio...

READ MORE

Baba Diamond: I Wish Ningekuwepo! – VIDEO

BABA mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amefunguka kwa lugha ya kuchanganya maneno ya...

READ MORE

UBUYU! CHAZ BABA ABADILI DINI ILI AOE MKE MWINGINE

UBUYU siku nyingine lazima uchanganywe na pilipili kidogo ili uweze kuleta ladha ya tofauti kabisa! Ubuyu wa leo ni wa...

READ MORE

Rich Mavoko Kaachia Ngoma Mpya – Navumilia

Msanii wa  Bongo Fleva aliyekuwa akifanya kazi chini ya Lebo inayomilikiwa na Diamond Platnums, WCB, Rich Mavoko ameachia wimbo wake...

READ MORE

Waziri Shonza Ampa za Chembe Sister Fey

NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amempa za chembe msanii wa Bongo Fleva, Faidha Omary ‘Sister...

READ MORE

SASHA AMCHONGEA KIBA KWA MKEWE

DAR ES SALAAM: Muuza sura (video queen) wa video za wasanii wa Bongo Fleva mwenye umbo matata, Sasha Kassim anadaiwa...

READ MORE

Tunda Hajui Kubembeleza Mwanaume

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na...

READ MORE

MIZIGO YAMKONDESHA FAIZA

WIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema...

READ MORE

EXCLUSIVE: DIAMOND Hakunialika, Asijisahau Sana – Video

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufanya sherehe ya kumbukumbu ya Siku yake ya kuzaliwa na kutoa misaada...

READ MORE

STEVE: “DIAMOND Ndiye Mwanamuziki Bora / Baba Yake Mmh” – VIDEO

Muigizajii maarufu Bongo, Steve Nyerere, amempongeza Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kwa kitendo cha kurudisha fadhira nyumbani alipozaliwa...

READ MORE

Suge Knight Ahukumiwa Miaka 28 Jela Kwa Kugonga na Kuua

RAPA wa zamani, Marion “Suge” Knight amehukumiwa kifungo cha miaka 28 kwa kumgonga mtu kwa gari na kumuua na kumjeruhi...

READ MORE

Mastaa Watoto 5 Wasiovaa Nguo za Kitoto

KATIKA kupambwa zaidi na wazazi wao ambao ni mastaa, mastaa watoto nao wamejikuta wakivaa mavazi ya aina yake, tofauti kabisa...

READ MORE

MSHINDI SPOTI XTRA AKABIDHIWA ZAWADI

Mwandishi wa Spoti Xtra, Khadija Mngwai (kulia) akimkabidhi zawadi ya jezi, Halfan Habibu wa Keko Mwanga Dar es Salaam, baada...

READ MORE

VEE MONEY, JUX ‘LIFE STYLE’ YAO COPY & PEST YA JAY Z NA BEYONCE

MIAKA mitano iliyopita, staa wa kike wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ pamoja na staa wa R&B,...

READ MORE

AUNT LULU: DIAMOND OA SASA

MTANGAZAJI Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka baada ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumsihi...

READ MORE

WEMA: NINA KITU WENGINE HAWANA!

BAADA ya kusemwa mengi kuhusiana na jina la Tanzania Sweetheart, mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu hayupo tayari...

READ MORE

TUNDA, LYINN VITA MPYAA KWA DIAMOND

MAHABA kama yotee! Kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii kikimuonesha video queen matata wa Bongo, Annastazia Sebastian Kimaro...

READ MORE