×

Celebrities

MWAKYEMBE Afanya Maandalizi, Kuwakutanisha DIAMOND, ALIKIBA

DAR ES SALAAM: Kufuatia madai ya muda mrefu ya kuwepo kwa bifu kubwa kati ya mastaa wakubwa wa muziki wa...

READ MORE

Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo

MBUNGE  na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi...

READ MORE

KWA TABIA HIZI ZA…., DIAMOND KAMA MSHUA WAKE

WASWAHILI wanasema siku zote maji hufuata mkondo! Katika maisha ya kila siku, wanadamu tumekuwa tukiutumia msemo huo kwa kufananisha maisha...

READ MORE

ZARI, PETER WA P SQUARE MAMBO NI MOTO

DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAFALI MTOTO WA MASOGANGE

INASIKITISHA sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni simanzi kubwa kutawala katika mahafali ya mtoto wa aliyekuwa video queen...

READ MORE

MBOTO: NINGEMUOA RIYAMA NINGEPATA TABU SANA !

MSANII wa filamu za Kibongo, Haji Salum ‘Mboto’ amesema endapo angemuoa msanii mwenzake Riyama Ally ambaye wamekuwa wakinoga sana kwenye...

READ MORE

Diamond, Bob Junior Wamaliza Bifu Lao, Collabo Mpya Soon – Video

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amekutana na aliyekuwa producer wake wa ngoma zake mbalimbali tangu kitambo hocho, Bob Junior...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Jr Ajiunga na Kikosi cha Watoto cha Juventus

Cristiano Ronaldo Junior, mtoto wa mwanasoka nyota duniani, Ronaldo, anayeichezea Juventus, amejiunga na kikosi cha watoto walio chini ya umri...

READ MORE

FAIZA: Sikwenda Msibani, Mama Mkwe Alikuwa Hanipendi Kabisa – Video

MZAZI Mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema hakwenda kwenye msiba wa mama mkwe wake,...

READ MORE

WOLPER AOKOKA, AFUNGUKA KILICHOMKIMBIZA BONGO!

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper hivi karibuni ametangaza kuokoka na kusema kwamba kwa sasa anampenda Yesu na anamtumikia huku...

READ MORE

PENZI LA UWOYA LAMVURUGIA KALALA JUNIOR

  UBUYU mpya mjini ni kwamba mwanamama kiwango kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Irene Uwoya anamzimia usipime mkali wa miondoko...

READ MORE

UICHOKIJUA KUHUSU NIKKI WA PILI KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kampuni ya Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ hivi karibuni amezua gumzo baada ya...

READ MORE

STEVE NYERERE ATANGAZA NDOA NA WELLU SENGO!

UKISIKIA mtoto anasema hadithi… hadithiii na wengine kuitikia ‘hadithi njoo utamu kolea’, basi ujue simulizi inafuata. Sharti lake ni kukaa...

READ MORE

MPENZI WA MBASHA ACHUMBIWA

ALIYEWAHI kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ambaye pia ni mshiriki wa Miss Tanzania 2008,...

READ MORE

GIGY MONEY: ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA

IJUMAA Sexiest Girl 2015 ndiyo iliyonifanya kufahamiana na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani...

READ MORE

MAMA KANUMBA: SETH ALIVISHINDWA VIATU VYA KANUMBA

MAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba, Bi. Frola Mtegoa ‘mama Kanumba’ amesema baada ya...

READ MORE

Birdman Amwomba Msamaha Wayne Mbele ya Mashabiki

UGOMVI wa kifamilia kati ya wasanii Birdman na Lil Wayne umemalizika Jumamosi iliyopita kwenye tamasha la  Lil Weezyana Fest lililofanyika...

READ MORE

MBOSSO: NILITAKA KUZIKWA NIKIWA HAI

  HITMAKER wa Ngoma ya Nadekezwa ambaye pia ni Memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yussufu ‘Mbosso’, amefunguka kuwa...

READ MORE

SISTER FAY AHOFIA KUPORWA BENTEN WAKE

MWANADADA Faidha Omari ‘Sister Fay’, ambaye kwa sasa anatengeneza vichwa vya habari kutokana na uhusiano na ‘benten’ wake aitwaye Hollystar,...

READ MORE

Mastaa wa Holywood Wasiojali Usafi, Afya Zao

Johnny Depp na Vanessa Paradis Mwigizaji  Johnny Depp na mpenzi na mwimbaji wake wa zamani, Vanessa Paradis, wanasemekana hawapendi kuoga. ...

READ MORE

KIBINTI CHA KHLOÉ KARDASHIAN CHAZAWADIWA KIGARI CHA BENTLEY

Khloé Kardashian alipokuwa mjamzito. PAMOJA na kwamba bado ni kibinti kidogo, True Thompson, kitoto cha nyota Mmarekani,  Khloé Kardashian, bado...

READ MORE

DIAMOND AMLIZA MAMA MOBETO!

USHUHUDA alioutoa hivi karibuni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuhusu maisha yake, umekuwa mwiba mkali kwa mama...

READ MORE

Ommy Dimpoz: Naendelea Vyema Sana!

KUTOKANA na dua na maombi mengi nyingi kutoka kwa wasanii, mashabiki, jamaa na marafiki wa Msanii Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,...

READ MORE

DUMA: BONGO MUVI YA FAIDA INAKUJA

MSANII wa filamu za Kibongo, Daudi Michael ‘Duma’ ambaye hivi karibuni amefanya uzinduzi wa filamu yake ya Nipe Changu amefunguka...

READ MORE

SO SMART! ALICHOKISEMA VEE MONEY KWA WATOTO YATIMA

UKIZUNGUMZIA wanadada wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva.  Vee...

READ MORE

Super Nyamwela: Siachi Kunengua, Mwili Unaruhusu

MNENGUAJI wa kitambo katika Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Musa Hassan ‘Super Nyamwela’ amesema kuwa, pamoja na kudumu...

READ MORE

Wolper Atamani Kumpa Penzi Rais

STAA anayejua kupigilia pamba kali ndani ya Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, anatamani kama ni kutoa penzi lake,...

READ MORE

KISA DENI LA NYWELE, AMBER LULU AFUNGIWA SALUNI

UBUYU nao siku zote una staili yake ya kuula. Ubuyu mwingine unauacha tu mdomoni kisha unatema mbegu huku mwingine unamun’gunya...

READ MORE

BASATA Waguswa na Hali ya Ommy Dimpoz

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo pia ni walezi wa sanaa hapa nchini wameguswa na hali ya ugonjwa wa msanii...

READ MORE

Diamond, WCB Wamuombea Ommy Dimpoz kwa Mungu

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka pembeni tofauti zilizokuwepo kati yake na Ommy Dimpoz katika wakati huu ambapo Dimpoz...

READ MORE

Kisa Video Yake na Diamond, Wema Awapa Makavu Akina…. – Video

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amewaponda wanaofuatilia maisha yake mara baada ya kupiga kipande cha video akiwa na X...

READ MORE

Kutoka IG: Sister Fey Ateuliwa Kuwa ‘Mkuu wa Wilaya’ – VIDEO

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko amnbaye kwa sasa anachukua nafasi kubwa katika vichwa vya habari nchini, Sister Fey ametoa kali ya mwaka...

READ MORE

RAY C, ACHA KUKATISHA TAMAA WENZAKO, PAMBANA NA HALI YAKO!

HABARI zinazotingisha kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu bifu jipya kati ya mwanadada Rehema Chalamila ‘Ray C’ na...

READ MORE

Hali Tete, Ommy Dimpoz Arudishwa Sauzi Kutibiwa

STAA wa Bongo Fleva, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amerudishwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ kwa ajili ya matibabu baada ya hali yake...

READ MORE

MADAI YA KUBWIA UNGA, NDUGU WA DARASSA WAVUNJA UKIMYA!

BADO gumzo lipo kila kona nchini, kwa mashabiki wa Muziki wa Bongo Fleva kutaka kufahamu wapi alipo mwanamuziki mwenye viwango...

READ MORE

Bobi Wine; Saa 240 za Machozi, Jasho na Damu

KWENYE Tasnia ya Muziki Uganda, majonzi yametawala kutokana na wakati mgumu aliopitia mwanamuziki Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ kwa takriban siku...

READ MORE

KIMENUKA! MAMA AANIKA MAPYA YA MCHUMBA WA WEMA

DAR ES SALAAM: Baada ya uvumi wa bintiye kupata mchumba na kwamba anatarajia kuolewa na jamaa anayefahamika kwa jina la...

READ MORE

Siri ya Mahaba ya Sanchi na Mbwa!

JANE Rimoy ‘Sanchi’ ni mmoja wa wanamitindo Bongo ambao wameweza kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na jinsi wanavyojiweka. Ni mdada aliyejipatia...

READ MORE

MWARABU: Kufukuzwa WCB, Diamond Alinipigia Simu – Video

ULE utata kuhusu Kufukuzwa kundini kwa Baunsa wa Mbongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika kwa jina la Mwarabu Fighter, unazidi kuchanganya...

READ MORE

DIAMOND, LAVALAVA, MBOSSO WALIVYOPIGA SHOO YA ‘JIBEBE’ – VIDEO

WASANII wa WCB wamefanya showa ya hatari katika siku ya kuzaliwa ya kaka yake na Diamond Plantinum Rom Jons iliyofanyika...

READ MORE