×

Celebrities

BABA JOKATE AFICHUA SIRI NZITO WEMA, UWOYA

  Urban Costa Ndunguru, baba mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amefichua siri nzito ya Miss Tanzania...

READ MORE

MONDI, ZARI CHUMBA KIMOJA SAUZ

Kama ulikuwa unajiuliza kwamba itakuwaje siku ‘watalaka’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ watakapokutana kwenye...

READ MORE

Ibada Yambeba Nandy

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Faustina Charles ‘Nandy’, ambaye wimbo wake uitwao Kivuruge ni kati ya ‘hit song’ zilizowahi...

READ MORE

Mashabiki Wampa ‘Stress’ Mwasiti

MWANAMUZIKI Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’ aliyewahi kutikisa na ngoma kali ikiwemo Hao na Nalivua Pendo, amepenyeza kuwa kwa sasa mashabiki wamempa...

READ MORE

ISHU YA YOUNG D, AMBER LULU YAFIKA PABAYA

MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amejikuta akiingia katika bifu zito na msanii mwenzake, David Genzi...

READ MORE

ZAMANI ‘HIT-SONG’, MSANII MKUBWA, SIKU HIZI KIKI KUBWA,‘HIT SONG’

ZAMA zinabadilika kwa kasi sana utadhani zinakimbizwa na mwanariadha mwenye heshima Bongo, Alphonce Simbu na walioushuhudia Muziki wa Bongo Fleva...

READ MORE

MAIZUMO NDOTO YANGU NA MAJUTO IMEYEYUKA !

  MTOTO wa miaka minne anayefanya vizuri katika fani ya uchekeshaji, Maisara Mohammed ‘Maizumo’ amesema kuwa ndoto yake ya kufanya...

READ MORE

WEMA ANUNUA UGOMVI WA MOBETO, ZAMARADI

DAR ES SALAAM: Wakati bifu baina ya mtangazaji wa runinga, Zamaradi Mketema na mwanamitindo Hamisa Mobeto juu ya gauni la...

READ MORE

DIAMOND; MKALI MWENYE ZALI NA WALIOZALISHWA

MARA nyingi wanaume wengi wanapenda kuwa wa kwanza kuwazalisha wanawake wanaokuwa nao kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kuonekana wao ndiyo...

READ MORE

Hamisa Mobeto Avuna Mkwanja Mil. 60 Kilainiii! – Pichaz

Maisha yameanza kumnyookea mwanamitindo Hamisa Mobeto kwa kuvuna kweupee shilingi milioni 5.7 kwa mwezi (zaidi ya milioni 60 kwa mwaka)...

READ MORE

WEMA: MAJUTO AMEONDOKA NA NDOTO YANGU !

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa nguli wa filamu za vichekesho marehemu Amri Athuman ‘King Majuto’ amefariki...

READ MORE

LULU DIVA: PENZI LANGU NA MAVOKO HALIKATISHWI NA WCB

MWANAMUZIKI wa kike anayekuja kwa kasi kwenye anga ya Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kuondoka kwa mpenzi...

READ MORE

50 CENT, TEKASHI69 WARUSHIWA RISASI WAKISHUTI VIDEO

MARAPA Tekashi69 na 50 Cent, wote wa Marekani, walipata taharuki juzi (Jumanne) wakati wakishuti video ya muziki eneo la Brooklyn, New York, ambapo...

READ MORE

Odama Atoa Kauli Nzito kwa Aliyemzushia Kifo!

  IKIWA ni saa chache baada mtu asiyejulikana kusambaza taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa filamu nchini, Jenifer...

READ MORE

CALISAH APATA ZALI MR AFRIKA 2018

Mwana-mitindo anayezidi kuja kwa kasi Bongo, Calisah Abdulhamiid, amepata zali la kwenda nchini Nigeria kwa ajili ya kushiriki Shindano la...

READ MORE

STEVE AFUNGUKA SKENDO YA KUCHIKICHIA RAMBIRAMBI

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, ameibuka na kufungukia skendo ya kuandaa misiba kisha kuchafuka kwa madai kuwa amechikichia...

READ MORE

OFFSET ADAIWA MIL. 26 NA FUNDI ALIYEMSHONEA NGUO

  ZAIDI ya mwezi mmoja uliopita, rapa wa Marekani, Kiari Kendrell Cephus (Offset) alipewa siku 45 na mahakama ya Fulton County,...

READ MORE

FID Q ‘ANAVYOLIA’ NA UFALME WA KING KIBA

KWA mpenzi wa burudani na shabiki wa Muziki wa Hip Hop Bongo hasa wa mwanamuziki Fareed Kubanda ‘Fid Q’, wimbo...

READ MORE

WEMA SEPETU AMZABA MAKOFI CHARLES BABA

KIBANO! Ndivyo unaweza kusema kufuatia kitendo alichofanya mwanadada kipenzi wa Watanzania, Wema Isaac Sepetu cha kumzaba vibao mpenzi wake wa...

READ MORE

Wasanii 5 Kutoka Tanzania Watajwa Afrima 2018

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kufanya vizuri safari hii kwenye tuzo za Afrima 2018. Wasanii waliochaguliwa ni staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

JOKATE KAFUNGUA MLANGO, KING MAJUTO KAACHA SOMO

MIONGONI mwa wadau wanaoifahamu sanaa ya Bongo nje ndani ni mwanamama Asha Baraka ‘Iron Lady’, ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi...

READ MORE

Waraka wa Zamaradi kwa Mobetto, Bifu Lao Lafikia Pabaya!

MTANGAZAJi na mjasiliamali Zamaradi Mketema ameingia ndani ya bifu zito na Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto Kwenye mitandao...

READ MORE

SAFAREE: MINAJ ALINICHOMA KISU AKITAKA KUNIUA

MWANAMUZIKI wa Marekani na Jamaica, Safaree amedai kwamba msanii na mwanamitindo wa Marekani,  Nicki Minaj,  alimchoma kisu sehemu kubwa na kusababishwa akimbizwe hospitali....

READ MORE

POLISI WAIZINGIRA NYUMBA YA RIHANNA LOS ANGELS

POLISI wa Los Angels juzi (Jumatatu) waliizingira nyumba ya mwimbaji Rihanna baada ya kupata wito uliorushwa na mashine “kibahati mbaya”...

READ MORE

JIKE SHUPA AVUNJA KIAPO

Juma Kassim ‘Nature’LICHA ya kuapa kwamba hatazaa mtoto mwingine zaidi ya yule aliyezaa na mwanamuziki, Juma Kassim ‘Nature’, muuza nyago...

READ MORE

NISHA: PENGO LA MAJUTO HALIFUTIKI MAISHANI

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alikuwa akiigiza mara kwa mara na aliyekuwa mkongwe wa filamu, marehemu...

READ MORE

Maamuzi ya Basata Kuhusu Rich Mavoko Vs Diamond – Video

KUFUATIA sakata linayoendelea kati ya Mwanamuziki Rich Mavoko na Lebo ya WCB inayoongozwa na Diamond Platnumz, suala hilo limetua mikononi...

READ MORE

Diamond, Rich Mavoko, Uso kwa Uso Basata Kumalizana

MKURUGENZI wa Kampuni ya WCB, ambaye pia ni staa wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul  ‘Diaomond Platnumz’ na Mameneja wake wawili,...

READ MORE

UKISTAAJABU YA KANUMBA , MAJUTO UTAYAONA YA MAVOKO NA WCB

BASATA si jina geni Bongo kwa sababu ya urafiki wake wa karibu na wanasanaa wote Bongo na ndiyo maana kirefu...

READ MORE

AY ATOBOA SIRI KUISHI MAREKANI

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’...

READ MORE

WELU AMFICHA MWANAYE KUHOFIA WAJA

Sexy mama wa sinema za Kibongo, Matrida Sengo ‘Welu’, kwa mara ya kwanza amefunguka kisa cha kumficha mwanaye aliyezaa na...

READ MORE

KIFO CHA MAJUTO… KILICHOMTOA FAHAMU TAUSI CHA JULIKANA

SIRI ya muigizaji Tausi Mdegela, kuangua kilio kupita kiasi kwenye msiba wa nguli wa vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’...

READ MORE

HARUSI YA MAFUFU KURUKA ‘LIVE’

UBUYU ukufikie kuwa, harusi ya mwigizaji mkongwe wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu inatarajiwa kuruka hewani ‘live’ itakapofungwa jijini Dar,...

READ MORE

Uwoya bado hajaona kama Kanumba

Mwigizaji mama la mama kwenye kiwanda cha kuzalisha Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ametoa la moyoni kwamba, bado hajaona mtu...

READ MORE

BONGE LA NYAU ATOBOA SIRI KUTOKA NA KHADIJA KOPA

MWANAMUZIKI Lameck Philipo ‘Bonge la Nyau’ amefunguka kwamba siri ya yeye kuamua kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe wa Taarab, Khadija...

READ MORE

DIAMOND ANANGWA ‘BETHIDEI’ MTOTO WA MOBETO

WAKATI akijiandaa kumfanyia sikukuu maalumu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake mwanaye Tiffah, sherehe ya bethedai ya Dylan mtoto aliyezaa na Hamisa...

READ MORE

LUNGI , KALALA WANASWA KIMAHABA

MSANIi wa filamu za maigizo nchini, Lungi Mwaulanga hivi karibuni alifanya kituko cha aina yake baada ya kunaswa akijibebisha laivu...

READ MORE

KAMATI MASTAA BONGO YAPASUKA

DAR ES SALAAM: Wakati staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kwenye maandalizi ya kuwaandalia usafiri wa...

READ MORE

MAISHA MAPYA YA JOKATE USIPIME!

MKUU DAR ES SALAAM: Maisha mapya ya mwanamitindo Jokate Mwegelo yametajwa kuwa ya tofauti na huenda yakampa taabu sana mrembo...

READ MORE

SHILOLE HAKUSOMA, ALITELEKEZWA NA WATOTO; LEO NI STAA BONGO!

  ANAITWA Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezaliwa katika familia ya kimasikini huko Igunga, Tabora. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto...

READ MORE