×

Celebrities

MUNA LOVE: BABA WA PATRICK NI CASTO, NITAMUABISHA PETER

KUFUATIA kifo cha mtoto wa Muna Love, Patrick aliyeaga dunia jana nchini Kenya akipatiwa matibabu, taarifa zenye mkanganyiko zimekuwa zikisambaa...

READ MORE

DAVINA KUACHA UIGIZAJI

MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Halima Yahaya ‘Davina’ amesema kuwa biashara zake zikimuendea vizuri ataachana na kuigiza. Akizungumza...

READ MORE

TUNDA…’LIFESTYLE’ YAKE INAACHA MASWALI MILIONI

MAISHA ya muuza nyago kwenye video za Kibongo, Tunda kwa mashabiki au watu wanaomfuatilia ni sanaa, halafu wakati huohuo ni...

READ MORE

Blac Chyna Aendelea na Viben-Ten ‘Under-20’

MWANAMITINDO maarufu wa Marekani,  Blac Chyna,  ameendelea na mtindo wake wa kuwa na washikaji wadogo chini ya umri wake — Viben-ten...

READ MORE

Cardi B Rapa wa Kwanza wa Kike Billboard Hot 100

Cardi B RAPA wa kike Cardi B wa Marekani ameweka hstoria ya kuwa rapa wa kwanza wa kike kushika nafasi mbili za...

READ MORE

Diddy Amtetea Mkuu wa Revolt Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi

  MWANAMUZIKI Puffy Diddy wa Marekani amemtetea mkuu wake wa mtandao wa televisheni wa Revolt, Roma Khanna, dhidi ya madai...

READ MORE

PRETTY KINDY ADAIWA KULA MAKOMBO YA WEMA !

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ anadaiwa kula makom­bo ya msanii mwenzake, Wema Sepetu kwa kutoka...

READ MORE

BARAKA , YOUNG DEE KUISIMAMISHA DAR LIVE

KAMA ulikuwa hujui sikukuu ya sabasaba hii (7/7) uende kiwanja gani kula bata jibu lake utalipata ndani ya Uwanja wa...

READ MORE

RAHA YA MUME ASIKUPE TABU SANA!

JUMATANO nyingine hiyo tumekutana shoga yangu! Anti Naa wa kujimwayamwaya nipo tena mjengoni shoga! Heee heeeiyaaa na watanawa maji ya...

READ MORE

LULU DIVA ADAIWA KUTOKA NA BILL NAS

HITMAKER wa Ngoma ya Ona, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kutoka kimapenzi na msanii mwenzake, William Lyimo ‘Bill Nas’. Kwa...

READ MORE

MASTAA HAWA …‘WAMEROGWA NA NANI ?’

MIAKA ya nyuma kujihusisha na muziki tu hasa huu wa Bongo Fleva, ilikuwa inaonekana ni uhuni pamoja na kukiuka maadili...

READ MORE

BABA: MONDI ATAPATA TAABU SANA!

LICHA ya hivi karibuni staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kumposti baba yake, Abdul Jumaa kwa mara...

READ MORE

JIKE SHUPA: WALIOTEMBEA NA MIMI WAPIME UKIMWI!

VUTA picha ‘umetembea’ na mwanamke halafu ghafla anakwamba ukapime Ukimwi, utakuwa kwenye hali gani? Ndivyo alivyoibua mshtuko msanii wa filamu...

READ MORE

Gari ya Bieber, Yaharibika Barabarani Akiwa na Baldwin

Bieber na Baldwin baada ya gari lao kuharibika. WAKATI mapenzi kati ya mwanamuziki wa Canada,  Justin Bieber   na mwanamitindo na mtangazaji...

READ MORE

Janet Jackson, Aongoza Maziko ya Baba Yake Kifamilia

MWANAMUZIKI nyota wa Marekani Janet Jackson,   jana (Jumatatu) aliongoza maziko ya baba yake,  Joe Jackson,  akiwa na ndugu wa familia hiyo katika...

READ MORE

JANJARO: NDOA IMEFANYA MUZIKI WANGU KUWA MURUWAAA

MUZIKI bwana! Miaka ya 2000 katikati waliibuka wasanii wengi wadogo kiumri, walikuwa na uwezo katika kuimba na kurap lakini kutokana...

READ MORE

MASTAA BONGO; UMRI UNAKWENDA, WANARUDI KUISHI KITOTO

KWETU akiwepo mtu mwenye umri mkubwa halafu akawa anazungumza na kufanya mambo ya vijana, malipo yake ya kwanza huwa ni...

READ MORE

ED SHEERAN AKOPI WIMBO, ADAIWA BIL. 225

STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki...

READ MORE

LeBron Asaini Bn. 350/= Kujiunga na Los Angeles Lakers

MFALME wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James,  amesaini kujiunga na timu ya  Los Angeles Lakers kwa kitita...

READ MORE

Beyonce Ashindwa Kuteremka Jukwaa ‘Automatic’, Aokolewa

Beyonce (katikati) na mumewe Jay-Z wakiwa katika ziara yao Ulaya. NYOTA wa muziki Beyonce juzi alishindwa kuteremka kwenye jukwaa maalum...

READ MORE

KISA UGONJWA WA MWANAYE… MAMA WEMA AMWAGA MATUSI

MIRIAM Sepetu ambaye ni mama mzazi wa staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu juzikati amejivunjia heshima ya kuitwa mama baada...

READ MORE

Chin Bees Awaanika Wasanii Bongo Anaowachukia

MSANII wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Musa Ramadhani ‘Chin Bees’ amechukizwa na baadhi ya wasanii wanaopenda kufanya kiki ili...

READ MORE

BILLNASS AMFUNGUKIA DARASA

  MIONGONI mwa wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Hip Hip, Bongo ni William Lymo ‘Bill Nas’, ambaye...

READ MORE

Shamsa Amkingia Kifua Uwoya

MREMBO wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amemkingia kifua muigizaji mwenzake Irene Uwoya baada ya watu kumtolea maneno machafu kwenye mtandao...

READ MORE

BIBI HARUSI AFARIKI DUNIA GHAFLA!

DAR ES SALAAM: “Mamaaa….Mirabel umeondoka mamaaaa, umetuachaaa….ndoa yako imeyeyuka Mirabel, tangulia Mirabel, tangulia rafiki, uuuuwiiii…” Hayo ni maneno ya simanzi...

READ MORE

Zari Afunguka Diamond Anavyohangaika Kuomba Msamaha

ALIYEKUWA mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan “Zari The Bosslady”, amefunguka kuhusu alivyoombwa msamaha mara kibao na watu mbalimbali akiwemo...

READ MORE

Jay-Z, Blue Ivy Wajinafsi Bustanini Ziara ya ‘On the Run’ Berlin

RAPA mkali wa Marekani Jay-Z  jana (Ijumaa) alivutia mashabiki lukuki alipoamua kupunga upepo na binti yake,  Blue Ivy,   katika bustani moja jijini...

READ MORE

Meneja Apata Kigugumizi Afya ya Wema

DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya video inayomuonesha ‘sweetheart wa Tanzania’ Wema Sepetu akiwa hospitali kusambaa mitandaoni na kuzua...

READ MORE

Peter Msechu Afungukia Kufulia Kimuziki

Peter Msechu, aliyewahi kufanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo Relax, Mama aliomshirikisha Banana Zorro pamoja na Hasira Hasara, amefunguka kwamba...

READ MORE

ZAMARADI: Nitazaa Kama Wazee wa Zamani

MKURUGENZI wa Vipindi wa Televisheni ya Wasafi, Zamaradi Mketema ambaye alijizolea umaarufu kupitia Kipindi cha Take One kilichokuwa kikioneshwa kupitia...

READ MORE

Sabby Angel Adaiwa Kufichwa Kenya

MREMBO ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’, anadaiwa kufichwa nchini Kenya na mwanamuziki anayekimbiza kwenye...

READ MORE

DIAMOND, BAUNSA WAKE WAFIKA PABAYA!

PENYE siri iliyofichwa na wengi husubiri wakati na sababu ili ifichuke, ndiyo maana Waswahili husema ‘hakuna siri ya watu wawili,’...

READ MORE

Mastaa Hawa… Kwa Tiffah Watapata Tabu Sana!

KUWA mtu maarufu ni jambo moja, ‘ku-maintain’ huo umaarufu huwa ni jambo lingine tofauti. Unaweza kuwa maarufu kwa maana ya...

READ MORE

Victoria Kimani: Nina Mwaka Simjui Mwanaume

HITMAKER wa Ngoma ya China Love ambaye ni Mkenya lakini makazi yake yapo nchini Nigeria, Victoria Kimani amesema kuwa hali...

READ MORE

Ntuyabaliwe: Ukiwa na Ndoto, ota Ndoto Kubwa Kupindukia

MIONGONI mwa vitu ambavyo Hawezi kukwepa mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, ni historia yake kwamba aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000,...

READ MORE

CHRIS BROWN AMPONZA KARRUECHE

GUNDU! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya mwanamitindo ambaye pia ni staa wa filamu, Karrueche Tran ‘kupigwa kibuti’...

READ MORE

LUPITA KUPEWA HESHIMA HOLLYWOOD

MDADA mwenye asili ya Kenya na Mexico, Lupita Nyong’o amezidi kupeta ambapo safari hii anatarajiwa kupewa tuzo kubwa ya heshima...

READ MORE

ALIYETOKA KIMAPENZI NA DIAMOND, AGAWA MAHABA KWA MBWA

DAR ES SALAAM: Skendo! Video Queen maarufu Bongo, Irene Charles ‘Lynn’ ameingia kwenye skendo nzito baada ya kuachia video zake...

READ MORE

Diamond, Kiba Waibuliwa Zengwe Zito

DAR ES SALAAM:Ni zengwe zito! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wapenda ubuyu kuibua madai kuwa nyumba wanayokaa wazazi wa mkali...

READ MORE

Cardi B, Offset Wafanya ‘Baby Shower’

  WANAMUZIKI wa Marekani, Cardi B  na Offset waliooana Septemba mwaka jana, wamefanya ‘Baby Shower’ kwa ajili ya ‘kijacho’ wanayemtegemea.  Hafla hiyo ya...

READ MORE