×

Celebrities

Jay-Z Ashitakiwa Kwa Kutomlipa Prodyuza Mrabaha

PRODYUZA wa muziki, Raynard Herbert, wa Marekani amefungua mashitaka dhidi ya  mwanamuziki Jay-Z wa Marekani kwa kutomlipa asilimia moja ya...

READ MORE

ODAMA Ajitapa Kuwa Msanii Bora Bongo

MSANII wa filamu Bongo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya J-Film 4 Life, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amejitapa kuwa yeye...

READ MORE

ALIKIBA Msikilize Mzee wa Upako, Ana Hoja!

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’. Mambo ni vipi? Uko poa? Unaendeleaje na mishe za kila siku?  ...

READ MORE

SHILOLE AAHIDI KUMFUATA MZEE YUSUF

YOTE yanawezekana ukiweka nia! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli aliyoitoa msanii wa muziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuwa anatarajia kuachana...

READ MORE

Petit Man Awaka Ishu ya Mkewe Kutojua Kupika

MENEJA wa wanamuziki mbalimbali Bongo, Hamad Manungwa ‘Petit Man’ amewakia madai ya kwamba mkewe Asma Khan ‘Esma Platnumz’ hajui kupika...

READ MORE

Mzee Mbizo Aingia Studio Kupiga Kolabo na Mwanaye

INAWEZA kukuwia vigumu kuamini, lakini ndiyo hivyo tena, akiwa anatimiza umri wa miaka 68, miaka 39 ya kuwepo kwenye fani...

READ MORE

Lynn: Kuolewa na Diamond Wala Sina Papara

VIDEO Queen Irene Charles ‘Lynn’ ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amesema ametulia...

READ MORE

Jada Pinkett Azungumzia Alivyokwepa Mawazo ya Kujiua

MSANII wa Marekani, Jada Pinkett Smith ambaye ni mwimbaji, mnenguaji, mwigizaji na mjasiriamali, amezunguzia jinsi alivyokwepa,  hapo nyuma, mawazo mabaya...

READ MORE

Jordin Sparks Amweka Hadharani Mtoto Wake

MWANAMUZIKI wa Marekani, Jordin Sparks,  na mumewe, Dana Isaiah, ‘wamemfichua’ kwa mara ya kwanza kwenye mitandao mtoto wao wa kiume aliyezaliwa...

READ MORE

Ariana Aionyesha Pete ya 228bn ya Uchumba ya Pete Davidson

HATIMAYE  baada ya kuyaonyesha mapenzi yao wazi na kimwana wake,  Pete Davidson kamvisha mchumba’ke, Ariana Grande, pete ya thamani ya...

READ MORE

Mbosso Aingia Woga Kumshauri Diamond!

SEPTEMBA 21, 2014 yawezekana ikawa ni siku muhimu ya kumbukumbu kwa staa wa Bongo Fleva, Mbwana Yussuph Kilungi ‘Maromboso’ kwani...

READ MORE

Historia ya Maisha ya ALIKIBA Tangu Kuzaliwa – Video

STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ alizaliwa na wazazi wake Bi. Tombwe Njere na Mzee Saleh Omari, mkoani...

READ MORE

BLAC CHYNA: SINA UJAUZITO, NIMENENEPA TU

    MWANAMITINDO  maarufu wa Marekani, Blac Chyna, amesema hana ujauzito kama mashabiki wake wanavyoeneza, hususani kutokana na kufutuka kwa tumbo...

READ MORE

ESMA: JAMANI NIPO BIZE KUMSUBIRI WIFI YANGU

DADA wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnamuz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, mwezi huu wote yupo...

READ MORE

ASLAY: Naishi Kama Roboti!

HITMAKER wa Ngoma za Nibebe na Kwa Raha, Isihaka Nassoro ‘Aslay’, amesema kuwa kutokana na muziki kuwa sehemu ya maisha...

READ MORE

Lulu Diva Aibua Bifu na ‘Wauza Nyago’

MWANA-DADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wanamuziki wa kike Bongo wanaotengeneza ‘hit song’ kali, ameibua...

READ MORE

Amber Lulu Amsikitikia Mobeto

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’ Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amemfungukia mzazi mwenziye na mwanamuziki...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mke wa Mwarabu Fighter Afunguka Sarah wa Harmonize – Video

  MKE wa Baunsa wa Diamond Mama Tee amefunguka juu ya uvumi ambao ulikua unaendelea kutokana na mpenzi wa Harmonize...

READ MORE

MPAKA HOME: MAISHA HALISI YA MWARABU FIGHTER – VIDEO

GLOBAL TV Online imefunga safari usiku wa manane hadi nyumbani kwa Baunsa wa Diamond, Mwarabu Fighter na kufanikiwa kufanya naye...

READ MORE

BABA DIAMOND AMSAMEHE QUEEN DARLEEN

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amedaiwa kulainishwa na zawadi za Sikukuu ya...

READ MORE

Amber Lulu Adaiwa Kuchoropoa Mimba ya Prezzo

KAMA mjuavyo siku zote kwamba ili ubuyu unoge ni vizuri tuumung’unye tukiwa wengi, peke yako haonogi bwana na ndio maana...

READ MORE

Aliyempa Wolper Jeuri ya Pesa na Gari la Mil. 170 Anaswa Live

UNAMKUMBUKA yule kigogo aliyewahi kumpa jeuri ya pesa mjini na kutanulia ule mkoko wa gharama aina ya BMW X6 mrembo...

READ MORE

Lynn Apata Kigugumizi Dia­mond Kurudi kwa Zari

VIDEO Queen Irene Charles ‘Lynn’ ambaye alijipatia umaarufu baada ya kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

Lulu Diva: Mavoko Hawezi Kunivunjia Swaumu Yangu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa penzi lake na msanii Richard Martin ‘Mavoko’ haliwezi kutengua swaumu...

READ MORE

Nay wa Mitego, Ifike Mahali Uachane na Drama za Kitoto

  STORI ambayo imetrend kwa siku kadhaa sasa, ni kuhusu sakata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Mama Mobeto Ageuka Mbogo Mvua Ya Matusi

DAR ES SALAAM: Pale mtu mzima anapoingilia mambo ya watoto kisha akatolewa nishai, ni heri akajifunza kujipanga kuliko kuzidi kupoteza...

READ MORE

MJENGO ULIOMPONZA MOBETO WANASWA

UMENASWA! Ndivyo unavyoweza kusema kwani kila mtu alikuwa na hamu ya kuuona mjengo unaodaiwa kusababisha ugomvi kati ya familia ya...

READ MORE

HII NDO’ NYUMBA SAM WA UKWELI ALIMJENGEA BIBI YAKE – PICHA

KUFUATIA kifo cha Mkali wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli ambaye leo anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kiwangwa wilayani Bagamoyo mkoani...

READ MORE

Utata Mzito Ndugu wa Sam wa Ukweli Vs Mameneja Wake – Video

  KUFUATIA kifo cha msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli kilichotokea usiku wa kuamkia jana Alhamisi, utata mzito umeibuka...

READ MORE

Gumzo Kauli ya Alikiba: Dini Yangu Hairuhusu Kumposti Marehemu ‘Sam wa Ukweli’

KAULI ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba aliyofunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutowaposti wasanii au watu maarufu kwenye kurasa...

READ MORE

Aslay Afungukia Maisha Yake ya Starehe, Penzi la Nandy

NI kijana wa Temeke, alianza kufahamika mwaka 2011 baada ya kutoa ngoma iitwayo Nakusema, alitamba pia akiwa chini ya Band...

READ MORE

Mjomba wa Sam wa Ukweli Aanika Mazito – Video

  Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa...

READ MORE

Mlela: Ningekuwa Diamond Ningepiga Chini Zari, Wema, Mobeto – Video

MSANII wa bongo Movies, Yusuph Mlela amefunguka na kusema angekuwa yeye ndo’ Diamond Platinumz, basi asingekuwa na uhusiano na Zari,...

READ MORE

KAJALA: Nitamsaidia Wema, Zari Simjui – Video

  STAA wa Bongo Movies, Kajala Masaja ‘Kay’ amesema anaweza kumsaidia jambo rafiki yake wa kitambo Wema Sepetu lakini siyo mzazi mwenzake na...

READ MORE

Wastara Akosolewa Kujianika Ramadhani

MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.   Licha...

READ MORE

Msaga Sumu, Man Fongo Jukwaa Moja IDD EL FITR

WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Muziki wa Singeli, Man Fongo na Msaga Sumu wanatarajiwa kukutana jukwaa moja kwa mara...

READ MORE