×

Celebrities

DYNA AJAZWA KITUMBO NDII

MREMBO anayekimbiza kwenye Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amejazwa kitumbo ndii kinachodaiwa kumpeleka puta na ndiyo sababu ya kuwa...

READ MORE

BABY SHOWER YA MTOTO WA GIGY YABUMA

MWANADADA machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye anatarajia kujifungua mwezi ujao, amejikuta akishindwa kufanya shughuli ya maandalizi...

READ MORE

PAM D AGEUKIA SINGELI

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli na kuahidi kuliteka soko hilo, kwa kuwa...

READ MORE

BENPOL AFUNGUKA KUNANGWA NYWELE ZAKE

BAADA ya kunangwa na mashabiki zake mitandaoni kwamba rangi ya kijani aliyoweka kwenye nywele zake haijampendeza, mwanamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

KWA NINI ZARI KAUMIZWA NA WEMA NA SI MOBETO?

  SIKU chache baada ya Zarinah Hassan ‘Zari Boss Lady’ kuweka wazi kuwa ameachana na baba watoto wake, Nasibu Abdul...

READ MORE

CHEMICAL: SINGELI IMENIPUNGUZIA HESHIMA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa kwa upande fulani Muziki wa Singeli, ulimpunguzia heshima kutoka kwa mashabiki...

READ MORE

KUMBE FID Q, MPENZI WAKE WAMEUNGANISHWA NA PILAU

    MKALI wa Hip Hop ambaye anakimbiza kwenye gemu kwa sasa na ngoma ya Fresh Remix, Fareed Kubanda ‘Fid...

READ MORE

ISABELLAADAIWA KUTUNDIKWA MIMBA NA JACK PEMBA

  UBUYU uliopo  mezani leo ambao unamung’unywa ni wa chengachenga, lakini ni mlaini na hauchubui ulimi! Ubuyu wenyewe unayeya kuwa,...

READ MORE

LAZIMA SAJENTI AMZALIE DULLAH MAKABILA

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Husna Idd ‘Sajenti’ ameapa kuwa lazima ampatie japo mtoto mmoja staa wa Singeli, Abdallah Makabila...

READ MORE

DHARAU ZIMEMFIKISHA ODAMA HAPO ALIPO

STAA wa kitambo kwenye Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ anaamini kuwa dharau na kejeli alizopitia kwenye tasnia hiyo ndizo zilizomfanya...

READ MORE

SIYO SIRI HATA STEVE NYERERE AMECHOKA!

KOMEDIANI wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anaamini kuwa, soko la sinema za Kibongo haliwezi kubadilika kama sura za waigizaji...

READ MORE

ATAKAYEMUOA JIKE SHUPA AJIPANGE!!

MUUZA nyago aliyetamba kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ anakiri kwamba,...

READ MORE

UKWELI WA SNURA KUPORA BWANA WA NISHA

  DAR ES SALAAM: Baada ya msanii wa Mduara Bongo, Snura Mushi kuanika picha zikimuonesha akiwa na mpenzi wake mpya,...

READ MORE

MAMBO 7 YALIYOMNG’OA ZARI KWA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Mwanamama mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ juzi Jumatano usiku, alitangaza kuachana jumla...

READ MORE

Diamod Tekeleza Ulichokiahidi, Acha Ubabaishaji

  KWA wafuatiliaji wa masuala ya burudani, mtakumbuka kwamba mwishoni mwa mwaka 2013, msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka...

READ MORE

Diana Ajipanga Kumuombea Lulu

STAA wa filamu Bongo, Diana Kimari, amesema anajipanga kwenda Gereza la Segerea jijini Dar kumuombea aliyekuwa swahiba wake, Elizabeth Maichael...

READ MORE

Diva: Ishu ya Mavoko iliniumiza sana!

MKALI wa Ngoma ya Amezoea, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kwa mara ya kwanza amefunguka ishu yake na msanii wa Bongo...

READ MORE

ETI HARMORAPA HAJAISHIWA KIKI!!!

UNAMKUMBUKA Kiboko ya Mabishoo Harmorapa? Basi ameibuka na kuiambia Showbiz kuwa, eti bado hajaishiwa kiki mjini bali zinaendelea kumfuata zenyewe....

READ MORE

Kisa Penzi la Miss Tanzania… Mbasha Aitikisa Ndoa ya Masanja

  Kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa ‘Jack’, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha...

READ MORE

Ndikumana Amkumbuka Uwoya

MANYUNYU ya mvua yanaulowesha mwili wangu, baridi kali inapenya vilivyo kwani sikuwa na koti. Eneo nililopo lina utulivu wa hali...

READ MORE

Chemical Atokwa Povu Kisa Kufulia

MWANADADA ambaye anakimbiza kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop Bongo, Claudia Lubalo ‘Chemical’, ametokwa povu baada ya kuambiwa kwamba...

READ MORE

Esha Asimulia Alivyotaka Kujiua na Mwanaye!

UKITAJA listi ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye filamu Bongo, huwezi kuacha kulitaja jina la Esha Buhet ambaye alianza kun’gara kwa...

READ MORE

Taiya Alazimishwa Kupima

MUIGIZAJI anayekuja kwa kasi kwenye anga la uigizaji, ambaye anatamba kwenye Tamthiliya ya Kapuni inayorushwa na Kituo cha Televisheni ya...

READ MORE

Bella, Jack Pemba Wazua Gumzo

LICHA ya msanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ kuwahi kukiri kwamba amemwagana na aliyekuwa mpenzi wake, tajiri Jack Pemba...

READ MORE

ESMA: SIPENDI KUMTEGEMEA DIAMOND

DADA wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan amesema hapendi kumtegemea mdogo wake huyo katika shughuli...

READ MORE

Gigy Money Amalizana na Mpenzi Wake

MWANADADA ambaye ni mwana-muziki na muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, hivi karibuni amefunguka kwamba, hana...

READ MORE

MAMA DOGO JANJA ATIA NENO LA VALENTINE KWA UWOYA

Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Abubakar Chande al-maarufu Dogo Janja ametoa ujumbe wa Valentine Day kwa mkwe wake Irene...

READ MORE

Zari Atangaza Rasmi Kuachana na Diamond

  IKIWA ni siku ya wapendanao,  leo Februari 14, 2018, Mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari...

READ MORE

Mama Diamond Ajitoa Kwa Zari, Mobeto

DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim (pichani) amejitoa kwenye gogoro...

READ MORE

MWANA: NGUO ZA HESHIMA NDO’ KILA KITU

MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana...

READ MORE

MR CHUZI KAMWE HANA MPANGO WA KUOA!!

WAKATI akiwa na watoto wanne aliozaa na mama tofauti, mwigizaji mkongwe wa Bongo Movies, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuzi’ ameibuka na...

READ MORE

MASTAA HAWA, GUSA UPOTEE

PENYE wengi pana mengi. Kila uchwao katika ulimwengu wa mastaa kuna mengi yanayotokea yakiwemo mazuri na mabaya, ya kufurahisha na...

READ MORE

Skendo ya Unga Ilivyomtafuna Baby Madaha

MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu na muziki Bongo, Baby Madaha ameeleza kuwa katika maisha yake hakuna kitu kilichowahi kumtafuna na...

READ MORE

Faiza Aanika Siri za Wanaume Aliozaa Nao

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye ni miongoni mwa mastaa wenye wafuasi wengi kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Faiza Ally...

READ MORE

JOH MAKINI AFUNGUKIA KUPOTEZWA KIMUZIKI

MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni aliachia wimbo wake uitwao Mipaka, John Simon ‘Joh Makini,’ amefungukia kupotezwa kimuziki na baadhi ya wanamuziki...

READ MORE

WANATEMBELEA NYOTA ZA KAKA ZAO?

MUZIKI wa Bongo Fleva kila siku unazidi kuongeza sura mpya, kila anayekuja kwenye gemu huwa anakuwa na njia zake. Wapo...

READ MORE

MTANGAZAJI AFICHUA SIRI KUALIKWA NDOA YA AY

ZIKIWA zimepita siku tatu tangu mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ kufunga ndoa na mchumba wake wa...

READ MORE

ESTER YEYE NA PESA TU, MAPENZI TUPA KULE!

KATIKA kipindi hiki kigumu, mwigizaji sexy wa Bongo Movies, Ester Kiama, kwenye kichwa chake hawazi kabisa mapenzi, badala yake anawaza...

READ MORE

Diamond Amtia Askari Matatani

  STAA wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kumtia matatani askari magereza mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, Ijumaa...

READ MORE

RIYAMA NA STERIO NI KUFA NA KUZIKANA

MWANAMAMA mwenye sifa zote awepo mbele ya kamera za Bongo Movies, Riyama Ally anamuomba Mungu yeye na mumewe, Leo Mysterio...

READ MORE