×

Celebrities

MINU AMBADILISHA MAVAZI SNURA!

Snura Mushi MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu.   Mtoa...

READ MORE

Linex MUZIKI NA TUMBAKU NDIYO MAISHA YANGU

  UKITEMBELEA katika viunga vya Mkoa wa Kigoma leo, ukauliza watu maarufu wanaopendwa mkoani humo pasi na shaka utajibiwa majina...

READ MORE

Rayvanny Aibuka Sakata la Diamond na Shonza

  MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi, Rayvanny amevunja ukimya kuhusu sakata la bosi wake, Diamond Platnumz, kufungiwa...

READ MORE

LUCKY DUBE ATOA USHAURI MZITO KWA DIAMOND!

  VIDOLE viwili vimekandamiza tundu mbili za pua. Nalazimika kufanya hivyo kutokana na harufu kali ya moshi mzito unaotokana na...

READ MORE

Waziri Shonza Kina Pretty Wapo Wengi, Bado Wanatamba!

  KWAKO mheshimiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Juliana Shonza. Habari na pole na majukumu yako ya kila...

READ MORE

HIVI NDIVYO AGNESS ANAVYODATISHWA NA MBASHA

MWANAMITINDO wa Bongo, Agness Mmassy  ameibuka na kueleza jinsi anavyodatishwa na mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha na ndiyo maana amekuwa...

READ MORE

Shilole Afunguka Kujiachia Kihasara

  BAADA YA video yake kusambaa akiwa anakata mauno kihasarahasara stejini na watu kuhoji inakuwaje mke wa mtu kufanya hivyo,...

READ MORE

Inspector Haroun: Namzimia Maua Sama… We Acha Tu!

  MPENZI msomaji Risasi Mchanganyiko kila Jumatano huwa linakusogezea kwenye ukurasa huu wakongwe mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine...

READ MORE

DULLY SYKES: Kuna Mastaa Wananiwekea Bifu

  MIONGONI mwa wanamuziki wenye mchango mkubwa katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva ni Abdul Sykes ‘Prince Dully Sykes’...

READ MORE

Mafufu Kutoa Mahari Jumamosi Hii

  MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu, baada ya kuokoka na kuachana na mambo ya kidunia huku mkewe akimwacha, hatimaye...

READ MORE

Sholo Mwamba: Nitawapiga KO Makabila, Man Fongo

  MKALI wa Muz-iki wa Singeli, Sholo Mwamba ameweka wazi kuwa atahakikisha anawakalisha mahasimu wake katika muziki huo mapema kabisa...

READ MORE

Mbasha Amtolea Povu Binti ‘Anayedai Kumpachika Ujauzito’

MSANII wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, amefunguka na kuwatolea uvivu mabinti wa Bongo akisema wengi wao hawaolewi kwa sababu...

READ MORE

Kisa Ndoa Yake, Uvumilivu Umefikia Kikomo, Dogo Janja Aanika Haya!

MSANII wa Bongo Fleva, Dogo Janja ‘Janjaro‘ ambaye ni mume wa ndoa wa muigizaji wa Filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema...

READ MORE

JIKE SHUPA AVUNJIWA MLANGO, KISA WANAUME TATA

  UBUYU wa wiki hii ni wa embe, ukiumung’unya, lazima mwishoni ukutane na ugwadu! Ubuyu wenyewe unamhusu muuza nyago aliyepata...

READ MORE

MAN FONGO, SHOLO WATAMBIANA

SIKU zikiwa zinah-esa-bika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), wakali wawili wanaotikisa katika Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba na...

READ MORE

UKISIKIA MANENO YA MKE WA ROMA, UTATOA MACHOZI

MKE wa Rapa maarufu Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, Nancy Mshana ‘Mama Ivan’ amefunguka kuwa mume wake kwa sasa anapitia...

READ MORE

Uwoya: Tangu Niolewe na Dogo Janja, Natongozwa Mpaka Basi

  MUIGIZAJi wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anashangaa tangu aolewe na Dogo Janja, mwishoni mwa mwaka jana, wanaume wengi...

READ MORE

Wastara Kusaidia Wanawake Wenye Matatizo – Video

Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, amesema kuwa ameamua kujitolea kusaidia wanawake wote wenye maisha magumu wakiwemo wanaoishi katika mazingira...

READ MORE

Msanii Bongo Movie Aukacha Uigizaji, Kisa… – Video

MSANII mkongwe wa Filamu nchini, Waridi Kurudi, ambaye kwa miaka kadhaa alikuwa ameitupa mkono tasnia ya uigizaji, amesema kuwa kisa...

READ MORE

WEMA: Hakuna wa Kunigombanisha na Aunt

MKALI wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu amelifungukia Ijumaa Wikienda kuwa, hakuna mtu wa kum-gombanisha na staa mwenzake, Aunt Ezekiel...

READ MORE

SKYNER NDIYO KAPOTEA MAZIMA

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye amepotea, Sykner Ally ameweka wazi kuwa, kupotea kwake mazima kwenye filamu ni kwa sababu alijitumbukiza...

READ MORE

Utu Uzima Wamtuliza Kajala

MWANAMAMA mkali kwenye Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amesema kuwa, ukimya wake unatokana na umri wake alionao kwa sasa (miaka...

READ MORE

UCHEBE HAJAWAHI KUMZIBUA SHILOLE

MUME wa staa wa Mduara B0ng , Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambaye alifunga naye ndoa miezi kadhaa iliyopita, Ashiraf Uchebe amefunguka...

READ MORE

Sholo Aomba Radhi, Aahidi Makubwa Pasaka

  KUFUATIA kuingia mitini katika tamasha la Mwaka Mpya, Mkali wa Singeli, Sholo Mwamba ameweka wazi kuwa kilichotokea ni kwamba...

READ MORE

Penny: Ningemzalia Diamond Lakini…

UKITAJA orodha ya mastaa wa kike Bongo ambao siku za nyuma walisumbua kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, basi huwezi kuacha...

READ MORE

SKENDO YA KUTOA MIMBA 8… TUNDA AFUNGUKA!

  DAR ES SALAAM: Haya ni mahojiano maalum! Baada ya kusambaa kwa skendo ya kudaiwa kuchoropoa mimba takriban nane, muuza...

READ MORE

Huku Drama za Diamond na Wema Zikinoga, Kule Zari Bata Batani – Picha 7

WAKATI Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiendeleza drama ya mapenzi na aliyekuwa girl friend wake, Wema Sepetu kupitia mitandao...

READ MORE

Wema Amchanganya Diamond, Mahaba ni Moto, Insta Pamechafuka!

  STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies,...

READ MORE

Hatimaye Wema Avunja Ukimya, Amwandikia Diamond Ujumbe Mzito

  STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amevunja ukimya na kuamua kumwandikia ujumbe mzito huku akimwagia misifa mpenzi wake...

READ MORE

Wastara Alamba Shavu Sweden

Wastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi...

READ MORE

Ushoga Wake na Wema… Aunt Atoa Povu Unafiki Wake kwa Zari

DAR ES SALAAM: Baada ya picha mpya kusambaa na kuonesha muigizaji Aunt Ezekiel akiwa karibu na Wema Sepetu, wafausi wa...

READ MORE

Riyama Aeleza Sababu za Kufutuka

  STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally ameeleza sababu zilizomfanya anenepeane baada ya watu kumponda kwamba, amekuwa na ‘minyama...

READ MORE

Yah TMK Waipiga Mkwara Jahazi

Kundi la Muziki wa Taarab Yah TMK KUNDI la Muziki wa Taarab linakuja kasi katika anga la burudani, Yah TMK wamechimba...

READ MORE

PRODYUZA WA HARMONIZE AJIWEKA KWA SNURA

Msanii wa Bongo Fleva Snura FRANK Mshumbusi almaarufu Fraga ambaye ndiye prodyuza wa Wimbo wa Happy Birtyhday wa msanii kutoka...

READ MORE

WOLPER; KIBOKO KWA KOPI & PASTE

HAKUNA kitu kizuri duniani kama kubarikiwa kuwa na kipaji ambacho unaweza kukifanya na jamii ikakukubali. Jacqueline Wolper ni mmoja kati...

READ MORE

Enock Bella Alamba Shavu Burundi – Video

  MSANII wa Bongo Fleva, Enock Bella anayetamba kwa nyimbo mbalimabli kama Sauda, Ngoja Kidogo na zingine nyingi hivi amelamba...

READ MORE

DULLA MAKABILA KUMTAMBULISHA MREMBO WAKE DAR LIVE

MKALI wa Muziki wa singeli, Dulla Maka­bila amefunguka kuwa atamtambulisha mwa­namke wake wa sasa katika shoo ya Usiku wa Mwisho...

READ MORE

Mafufu Amwanika Mrithi wa Mkewe!

DAR ES SALAAM: Baada ya miezi kadhaa kupita tangu aamue kuokoka na kuachana na mambo ya kidunia hali iliyosababisha mkewe...

READ MORE

ZARI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI KIBABE, KIMENUKA!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuonekana akiwapeleka watoto wake kanisani, imeelezwa...

READ MORE

Uzinduzi wa Albamu ya Diamond Watikisa Kenya – (Pichaz)

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezindua rasmi albamu yake mpya ‘A Boy From Tandale’ jijini Nairobi na kufanya bonge...

READ MORE