×

Celebrities

Sanch: Mwanaume Rijali Anayemtaka Kimapenzi Awe Tayari Kufanya Hivi – Video

MWANAMITINDO maarufu anayetikisa Bongo kwa sasa kutokana na picha zake za utupu, Jane Rimoy ‘Sanch’, amefungukia bila chenga akitaja vigezo...

READ MORE

Uchawi Watikisa Nyumbani kwa Mobeto

WAKATI sakata lake la kuzaa na mtoto wa pili na mwanaume mwingine likiwa bado linarindima, umati wa watu ulikusanyika nyumbani...

READ MORE

Joh Makini, Barnaba Kuongoza Wakali 25 Dar Live

MKALI wa Muziki wa Hip Hop, Joh Makini pamoja na mkali wa miondoko ya Zouk Rhumba, Barnaba wanatarajiwa kuongoza wakali...

READ MORE

Umeinyaka Hii ya Lulu Diva Kumlilia Chid Benz?

HUKU wasanii mbalimbali wakimtaka rapa mkali Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, chipukizi anayefanya...

READ MORE

Kadja Nito: Nusura Nifie Leba

MSANII wa filamu Bongo Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ amesema ilikuwa nusura apoteze maisha akiwa chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali...

READ MORE

DULLA: Makabila: Bifu Zinaua Singeli

MSANII wa Muziki wa Singeli, Dulla Makabila amefunguka kuwa muziki huo unakufa kwa sababu ya wasanii kuendekeza bifu za kishamba....

READ MORE

Zari Amnyima Usingizi Ester Kiama

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ester Kiama amesema kuwa, kila akimt azama Mwan amama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Picha za Wema, Bwana’ke Wakiwa Bafuni Zavuja

DAR ES SALAAM: MREMBO mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya...

READ MORE

Hakuna wa Kuyatabiri Maisha ya Mainda

MKONGWE kutoka kiwanda cha sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kuwa, hapa duniani hakuna ambaye anaweza kuyatabiri maisha yake...

READ MORE

JOHARI: Naogopa Kupangwa Msururu!

JINA la Johari si jina geni kwa wapenzi na wadau wa sanaa Bongo kutokana na kuifanya sanaa hiyo ilipokuwa chimbuko...

READ MORE

Sasha Yamkuta, Atapeliwa na Wajanja wa Mjini

VIDEO Queen Sasha Kasim ‘Sasha’ hivi karibuni amedaiwa kutapeliwa pesa za gari na mpenzi wake (jina linahifadhiwa) ambaye ni mume...

READ MORE

Mobeto: Sitaki Kufuata Maneno Ya Mtandaoni

MWANAMITINDO, Hamisa Mobeto ameibuka na kusema kuwa hataki kuyafuata maneno ya mtandaoni kwani yanaweza kumkondesha hivyo ameamua kuyatupilia mbali. Akiongea...

READ MORE

Aliyedaiwa Kubeba Mimba ya Kiba Afunguka Live

DAR ES SALAAM: BAADA ya picha na habari kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana ujauzito wa staa wa muziki...

READ MORE

Super Nyamwela Aeleza Kufundisha Dansi Kanisani

MWANAMUZIKI wa Dansi, Hassan Mussa ‘Super Nyamwela’ ameibuka na kueleza kuwa haoni shida anavyofundisha kucheza ‘dansi’ kanisani kwani ndiyo kazi...

READ MORE

Mbasha Aibuka na Kiki ya Mchumba

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha ameibuka na kiki ya aina yake tofauti na mastaa wengine baada ya...

READ MORE

Kisa Kimini, Pretykind Azomewa

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael maarufu kama Pretykind, juzikati alionja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wanafunzi pamoja...

READ MORE

Wema Aanika Madai ya Kulala kwa X Wake Madale

KWA mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu, mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

Umeinyaka Hii ya Birdman wa CashMoney Kutua Tanzania?

TAARIFA iliyotufikia kwenye dawadi letu la GlobalHabariUpdates ni kwamba, Rapper na Producer maarufu wa Marekani Bryan Williams ‘Birdman’ wa Kundi...

READ MORE

Kimenuka… Ray C Amuwakia Nandy

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hatasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wanamuziki wanaoimba nyimbo zake bila makubaliano Nyota...

READ MORE

Zari ni Habari Nyingine Kabisa… Aisimamisha Mlimani City – Video

MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua...

READ MORE

Zari Atua Bongo, Atoa kauli ya Kumkacha Mpenzi Wake – Video

MFANYABIASHARA Zari The Bosslady ametua Tanzania, leo jioni  Septemba 13, akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la...

READ MORE

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa...

READ MORE

Gigy Money Adaiwa Kunasa Kibendi

MUUZA ‘nyago’ na msanii wa filamu Bongo, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kubeba ujauzito wa mwandani wake Moulad Alpha ‘Moj’...

READ MORE

Dansi Inapita Barabara ya Bongo Movie!

ACHANA na muziki wa Dansi ile ya zamani, ya bendi kama Marquis, MK Beats, Dar International, Mlimani Park au Juwata...

READ MORE

Esha Sasa Kuzaa Dabodabo

MSANII anayefanya vizuri katika anga la filamu Tanzania, Esha Buhet, baada ya kujaaliwa kupata mtoto wa pili aliyemsubiri kwa miaka...

READ MORE

Aslay Afungukia Bifu Lake na Beka Flavor

HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi...

READ MORE

Madee: Ilikuwa Niwe Bondia

RAPA anayetamba na Video ya Sema aliyomshirikisha mwimbaji mahiri Nandy, Hamadi Ally ‘Madee’ ameweka wazi kuwa kabla ya kuibukia katika...

READ MORE

Flora Mvungi Atoboa Siri za Tanzanite!

TANZANITE ni mtoto wa mastaa wawili Bongo, waigizaji ambao pia ni wanamuziki, Hamis Baba ‘H-Baba’ na Flora Mvungi. Mbali na...

READ MORE

Uwoya Achoshwa na Dogo Janja

MKALI kunako soko la filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema kuwa amechoshwa kuuliza maswali juu ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

MASTAA WASHEREHEA BETHIDEI NA WATOTO YATIMA

PWANI: Mastaa mbalimbali wa filamu wakiongozwa na Ndumbangwe Mithayo ‘Thea’, Blandina Jagula ‘Johari’ na Chiki Mchoma, jana waliungana na mwigizaji...

READ MORE

Mwana FA Ashindwa Kujizuia Kwa Lady Jaydee

RAPA Mkongwe anayetamba na ngoma ya Dume Suruali, Mwana FA  ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya kwa kuonyesha sapoti kwenye video ya...

READ MORE

Wabongo Wamkwaza Lulu Diva Kimapenzi

HIT maker wa Kibao cha Usimwache, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva, ameelezea kukwazwa kwake na wanaume wa Kibongo kutokana...

READ MORE

Roma: Mwanaume Kuoga Mwisho Mara Mbili

STAA namba moja katika Hip Hop kwa sasa nchini, anayetamba na kibao na video yake ya Zimbabwe, Ibrahimu Musa a.k.a...

READ MORE

Matonya… Dudu Baya, Chid Benz, Jifunzeni Kitu

MATONYA ni jina la mwanamuziki mwenye heshima kubwa Bongo, amewahi kutamba na nyimbo nyingi zikiwemo Uaminifu, Siamini, Vaileti, Anita, Zilipendwa...

READ MORE

Nuh Afungukia Povu la X-Wake

KUFUATIA povu alilolitoa aliyewahi kuwa mke wa mwanamuziki Nuh Mziwanda, bidada Nawali kwenye kituo kimoja cha televisheni kwamba baba wa...

READ MORE

Duma Afungukia Kufanya Uchafu na Uwoya

MUUZA nyago kwenye muvi za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ juzi kati alipobanwa juu ya kufanya uchafu na muigizaji mwenziye Irene...

READ MORE

Wolper aonyesha mahaba kwa Fid Q

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo...

READ MORE

Maua Sama Afunguka Kuhusu Kuolewa!

WIKI chache baada ya kuchumbiwa na Mzungu, staa wa Muziki wa R&B, Maua Sama amefunguka kuwa ataolewa mwakani. Akichonga na...

READ MORE

Z-Anto Atokwa Povu Kisa Binti Kiziwi

antoSTAA aliyewahi kuwika na Kundi la Tip Top Connection, Z-Anto ametokwa povu baada ya kuulizwa kuhusiana na aliyekuwa mchumba wake,...

READ MORE