×

Celebrities

Harmorapa Ampokea Msanii wa Kimataifa Aliyefika Nchini kwa Ajili ya Kufanya Nae Kolabo

  MWANAMUZIKI wa kimataifa ‘Kroctics’, kutoka Ubelgiji yupo nchini kwa ziara yake ya kizazi na msanii wa Bongo Fleva mwenye...

READ MORE

Mabinti wa Hip Hop Wasibaniwe, Watoboe!

KWA sasa huwezi kutaja maendeleo ya muziki wa kuchana kwa kinadada bila kumtaja mwanadada Onika Maraj ‘Nicki Minaj’. Nicki ambaye...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Akothee Afanya Matanuzi Zurich Na Gari Jipya Aina Ya ‘Porsche Cayenne’ – (Pichaz).

Kwenye Celebrity Updates za leo April 07 2017 ninayo hii ya Madam Boss wa 254 Akothee kutokea pande za Zurich....

READ MORE

#GlobalMusic: WizKid ‘Come Closer’ feat. Drake – (Official Music Video)

Wizkid na Drake wamerudi na video ya collabo yao mpya ‘Come Closer’. Baada ya kufanya kazi pamoja kwenye collabo ya...

READ MORE

Mama Kanumba, Mrithi wa Mwanaye Kimenuka!

SIKU chache baada ya mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumtambulisha mrithi wa mwanaye kuwa ni Fredy Swai, wametibuana...

READ MORE

Amber Lulu: Bila Pombe Kali Siimbi, Siuzi Nyago!!

 Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| STAR MIX VIDEO Queen ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva amefungukia kazi zake...

READ MORE

VIDEO: Simu ya Roma Ipo Hewani, Haipokelewi…

ITAZAME video mke wa Roma, mama Ivan afunguka…

READ MORE

Diamond Awahusia Watoto Wake Mtandaoni

DAR ES SALAAM: Msanii wa kiwango cha kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amewaasa wanaye kuwa wanatakiwa kuitumia vyema midomo yao....

READ MORE

Vita ya Idadi ya ‘Followers’ Insta na Kiburi cha Watumiaji

“MIMI ni mtu mkubwa, nina wafuasi (followers) wengi sana kwenye mtandao wangu wa  Instagram ‘Insta’, unacheki walivyokuwa wengi, wamefi ka...

READ MORE

Mheshimiwa Spika, kwa Leo Sitasema Saaa…na!

JAMANI wasomaji wangu, mimi kila wiki ikifika Alhamisi msemo wangu ni uleule kwamba, Mungu ni wa kumshukuru sana kwa sababu...

READ MORE

Mastaa Wavaa Mlegezo si Heshima Kwenu!

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA IMEZOELEKA kuwa wasanii ni kioo cha jamii kwa sababu wana nafasi...

READ MORE

Tunda Afyatuka Skendo ya Usagaji

Na Mwandishi Wetu/GPL MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefyatuka kuwa, kamwe hawezi kujihusisha...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kukimbia Bastola kwa Nape, Hamorapa Anusa Kifo!

DAR ES SALAAM: Chuki! Zikiwa zimepita siku chache baada ya msanii chipukizi wa Bongo Fleva lakini mwenye matukio mengi, Athuman...

READ MORE

Wema Amchana Harmorapa Mtandaoni

MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’,  ambaye hivi karibuni alihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefunguka baada ya...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Baada Ya Davido Na Wizkid, Tekno Nae Adondosha Wino Na SONY Music.

Baada ya kufanya vizuri na single yake ya Pana, Tekno anazidi kupasua anga level za kimataifa.  Mtandao wa Billboard umethibitisha taarifa...

READ MORE

Queen Suzy Adai G-Seven ni Mumewe

Na  GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO NEWS MWANAMUZIKI wa Kundi la FM Academia, Suzan Chubwa maarufu kama Queen Suzy,...

READ MORE

Kuongeza Matiti Kwa Huddah Munroe

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI MTANDAO : Mrembo Alhuda Njoroge, maarufu kama Huddah Monroe, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka Kenya,...

READ MORE

Wema Ahofia Usalama Wake

DAR ES SALAAM: Miss Tanzania 2016, ambaye pia ni muigizaji nyota, Wema Sepetu, amesema amepunguza matembezi na baadhi ya marafiki...

READ MORE

Orijino Komedi Bye Bye!

DAR ES SALAAM: Hatimaye kundi la vichekesho lililojipatia umaarufu mkubwa nchini la Orijino Komedi, limefikia mwisho kwa kusambaratika, huku chanzo...

READ MORE

Ester Kiama Akataa Kuzaa na Dude

Na Gladness Mallya|Risasi Mchanganyiko|Za Motomoto News STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kusema hayupo tayari kuzaa na...

READ MORE

Kaka Sungura Afunguka Kutoka na Avril

Na Mwandishi Wetu/GPL MKALI wa michano kutoka Kenya, Kelvin Ombima ‘Kaka Sungura’ amefungukia juu ya tetesi za kutoka na mwanamuziki...

READ MORE

Wema Sepetu Ambeza Harmorapa

DAR ES SALAAM: Acha hizo! Vituko vya Mbongo Fleva anayekuja kwa kasi nchini, Athumani Omar ’Harmorapa’ haviishi, juzikati tena, ameandika...

READ MORE

Joh Makini Kuachia Ngoma na Davido Soon

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joh Makini, yupo mbioni kuitimiza ahadi aliyowaahidi mashabiki wa muziki huo nchini. Joh Makini...

READ MORE

Kisa Ujauzito Galatoni Ampiga Chini Linah

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANAMUZIKI Ahmed Sadala a.k.a Galatone aliyewahi kutamba katika Tasnia ya Muziki wa Bongo...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Burna Boy Ala POVU La Wakenya Baada Ya Kushindwa Kufanya Show Yenye Kiwango – (Twitter)

Ukitaka kuona umoja wa Wakenya fanja jambo uzingue alafu lipeleke kwenye mitandao ya kijamii, hawatokuacha bure!  Msanii wa Nigeria Burna...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Trey Songz Azungumzia Kuoa, Mapenzi na Nicki Minaj + Diss Track Ya Remmy Ma & Mengine Kwenye Beats 1 Radio – (Video)

Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa R&B superstaa Trey Songz, album yake ya saba Tremaine tayari imeshatoka na inagusa vitu...

READ MORE

Belle 9 Atinga Mwanza Kumfariji Jetman

Na MAYASA MARIWATA| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle...

READ MORE

Nyoshi Alilia Kupiga Shoo Dar Live

Na ISSA MNALLY| GAZETI LA UWAZI| UWAZI SHOW BIZ RAIS wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya FM Academia ‘Wazee...

READ MORE

Batuli: Sina Tatizo na Uwoya

Na Mwandishi Wetu/GPL DAR ES SALAAM: Mwanamama wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameweka wazi kuwa hana tatizo na...

READ MORE

Sababu 6 Mwakyembe Kugonga Mwamba kwa Diamond, Kiba

BAADA ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe kutamka hadharani kuwa na mipango ya kuwapatanisha...

READ MORE

Tammy Afungukia Kujiachia Nusu Utupu!

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| TOWN STORY MSANII wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka...

READ MORE

#GlobalMusic: Rock City Rapa COYO Amerudi Na Nyingine Mpya ‘ZIWAFIKIE’ – (Official Music Video)

Kwa wale wadau wote wa Hip Hop na wenye mapenzi ya dhati na Mwanza, ipokee nyingine mpya kutoka kwa Tetemesha...

READ MORE

Steve Nyerere Afungukia Nyumba Ndogo

DAR ES SALAAM: Komediani wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia tetesi za kuwa na nyumba ndogo akidai kuwa hayo...

READ MORE

Stresi Zamkimbiza Wastara Bongo!

Na HAMIDA HASSAN| IJUMAA WIKIENDA| TOWN STORY DAR ES SALAAM: kufuatia stress (msongo?) za maisha Bongo, Super woman wa sineza...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Harmo Rappa Apigwa Chupa Maisha Basement Kisa ‘Kiboko Ya Mabisho’ – (Pichaz& Video)

  Good morning mdau, leo kwenye Celebrity Updates ninazo zile zilizobamba over the weekend ikiwemo hii ya msanii anaechipukia kwa...

READ MORE

Snura Adaiwa Kupangiwa Nyumba na Mwarabu

Na HAMIDA HASSAN| GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIONYOOKA DAR ES SALAAM: Ubuyu wa mjini! Staa wa muziki na sinema...

READ MORE

Fella, Thabit Nusura Wazichape Msalani

Na ISSA MNALLY| IJUMAA WIKIENDA|OVER ZE WEEKEND WAMILIKI wa Makundi ya Taarab, Thabit Abdul wa Wakali Wao na Said Fella...

READ MORE

BABU TALE; Maoni ya Shigongo Hayahusiani na Shoo

Na ABDALLAH MRISHO|MENEJA MKUU GLOBAL PUBLISHERS. MWISHONI mwa wiki iliyopita ulizuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mkurugenzi...

READ MORE

UWOYA: Mh! kwa Nape Hapana!

Na IMELDA MTEMA/GPL IRENE Uwoya amekataa katakata kuzungumzia chochote kuhusiana na kutumbuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na...

READ MORE

Kim Kardashian Afanya Upasuaji wa Makalio Tena!

MWANAMITINDO na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians (KUWTK), Kim Kardashian amefanya upasuaji wa kuyarudisha makalio yake...

READ MORE