×

Celebrities

Fahyma: Mimi Bado Mtoto Mbichi

MWANAMITINDO wa kimataifa wa Bongo, Fahyma amethibitisha kwamba hapoi wala haboi baada ya kudai yeye bado ni mrembo mbichi.  ...

READ MORE

Kisa Video za Ngono, Benzema Ahukumiwa Jela

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula njama za kuvujisha video ya ngono ya...

READ MORE

Malawi Yamuomba Tyson Kuwa Balozi Wake wa Bangi

WIZARA ya Kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi duniani, Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wa bangi...

READ MORE

Orodha Kamili Mastaa Wanaowania tuzo za Grammy 2022

Orodha kamili ya wasanii walioteuliwa kuwania Tuzo za 64 za Grammy imetangazwa. Ni mastaa gani wamefanikiwa kupata uteuzi wa tuzo...

READ MORE

Lynn: Fahyma, Rayvanny Hawajaachana

VIDEO vixen na msanii wa Bongo Fleva, Official Lyyn ni rafiki au shogale mkubwa wa baby mama wa Rayvanny, Fahyma...

READ MORE

King Kiba Akimbiza Mwizi Kimyakimya

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anakimbiza mwizi kimyakimya baada ya kufikisha jumla ya streams milioni 28.3 kupitia nyimbo zake...

READ MORE

Kiba Atangaza Bonge la Tour

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake ambayo ameipa jina la #OnlyOneKingTour ambapo tour hiyo...

READ MORE

Rais Samia: Muulizeni Marioo ‘Kwa Nini Hanywi Bia’

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amesmifia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo kutokana...

READ MORE

Rais Samia: Konde Boy Kweli ni Tembo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amesmifia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize kutokana...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Na Europa Kuendelea Wiki Hii

Wiki hii tunarejea kwenye muendelezo wa michezo ya Ligi ya Mabingwa na Europa barani Ulaya. Ni burudani ya soka ngazi...

READ MORE

Huu Sasa ni Ukorofi! Kufuru ya Mondi Asikwambie Mtu

MZEE wa Vikao almaarufu Aristotee amesimamisha Jiji la Dar baada ya kufunga ndoa ya aina yake iliyoudhuriwa na mastaa kibao...

READ MORE

Harmonize Apewa Ubalozi wa Usafi Dar

Supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize amesema kutokana na vijana wengi kumfuatilia kama msanii mkubwa na kioo cha jamii, sasa jukumu...

READ MORE

Bieber Aagizwa Kufuta Tamasha Lake Saudi Arabia

MCHUMBA wa mwanahabari aliyeuawa Jamal Khashoggi amemtaka Justin Bieber kufuta tamasha lake lijalo nchini Saudi Arabia mwezi ujao.   Mwimbaji...

READ MORE

Wizkid Akomba tuzo 3 Afrima, Diamond Patupu

SUPASTAA wa Afropop, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid kutoka nchini Nigeria, usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2021, amefanikiwa...

READ MORE

DJ Sinyorita Anyakuwa Tuzo ya Afrima

DJ Sinyorita amekuwa Mtanzania pekee aliyeshinda tuzo za Afrima miongoni mwa Watanzania waliotajwa kwenye tuzo za Afrima 2021.   Sinyorita...

READ MORE

Drake na Kanye Kizazi Sana

MARAPA wa kiwango cha Dunia, Drake na Kanye West; wote wa Marekani, sasa uhusiano wao ni kizazi sana baada ya...

READ MORE

Wizkid Ana Nyodo AIDE

HEBU fikiria ile Tuzo ya Msanii Bora Afrika ya Tuzo za MTV EMA 2021 aliyotwaa Jumapili iliyopita kule Budapest nchini...

READ MORE

Dulla Makabila: Siwezi Kuacha Kwenda kwa Waganga

MWAMBA ni Myao wa Tunduru. Kabla ya kuanza kuimba Singeli alianza kuigiza kwa miaka sita, lakini hakupata nafasi ya kutoka...

READ MORE

Huyu Briana wa Harmo ni Mtu na Nusu

KONDE Boy Mjeshi au Teacher Harmonize ame shindwa kujizuia na kumwanika mrembo wake mpya kutoka Australia anayetajwa kwa jina moja...

READ MORE

Offset Amkaribisha Kaka Yake Baada ya Miaka 15 Gerezani

RAPA kutoka kundi la Migos, Offset amemkaribisha nyumbani kwa furaha kaka yake ambaye alifungwa gerezani tangu mwaka 2006.   Kitu...

READ MORE

Eric Omondi Kama Marioo

HOJA ya msanii wa Bongo Fleva anayekiwasha na ngoma yake ya Beer Tamu, Marioo, imeungwa mkono na mchekeshaji wa Kenya,...

READ MORE

Mondi, Harmo Kikaangoni Skendo Dawa za Kulevya

NGOMA nzito! Wasanii wawili wakubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Rajabu Abdul au Harmonize wapo kikaangoni baada...

READ MORE

Jack Patrick Kuzima Mastaa wa Kike Bongo

ALIYEKUWA video vixen (muuza nyago) maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick almaarufu Jack Patrick ametoka jela baada ya kukaa miaka nane gerezani...

READ MORE

Kufuru! Diamond Amwaga Dola Kwa Aristote – Video

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2021 ametoa zawadi ya zaidi...

READ MORE

Jux: Bongo Unafiki Mwingi

MKALI wa RnB Bongo, Juma Mussa au Jux anafunguka kuwa, wasanii wamekuwa na unafiki mwingi kuliko kufanya kazi.   Jux...

READ MORE

Familia: Rayvanny Anaoa Wote Paula, Fahyma

KUFUATIA mgagaziko juu ya ni nani atakuja kuwa mke halali wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa almaarufu...

READ MORE

Coletha: Mume wangu Mzungu

MWIGIZAJI wa kitambo wa Bongo Movies tangu enzi za Kaole, Coletha Raymond amemwaga sifa kama zote kwa mumewe kwamba ni...

READ MORE

Sababu Wizkid Kumgaragaza Tena Mondi

  KWA mara nyingine, msanii wa Nigeria, Wizkid amenyakua tuzo mbele ya msanii Diamond Platnumz wa Tanzania. Kule Budapest nchini...

READ MORE

Mama Dangote: Nafurahi Kuona Diamond na Watoto Wake

MAMA mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, Sanura Kassim anasema kuwa, anafurahi mno...

READ MORE

Burna Boy Amposti Harmonize

Miongoni mwa stori zinazotrendi ni kitendo cha staa wa muziki wa Nigeria, Burna Boy kumposti msanii wa Bongo Fleva, Harmonize...

READ MORE

Davido Amwaga Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Watoto Yatima

Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii mahiri nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke almaarufu Davido ametangaza kutoa msaada wa milioni 250...

READ MORE

Maua Sama – Baba Jeni (Official Music)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama Novemba 19, 2020 ameachia wimbo wake mpya wa ‘Baba Jeni’.

READ MORE

Mac Voice: Nilijiona Kama Ninaota Kusainiwa na Rayvanny

“Mmmh siri ya mwezi… Siri ya nyota, siri ya angani… Siri ya njozi usingizi… Siri ya kitandani… Ila siri ya...

READ MORE

Kusah: Aunt Ezekiel Ameibeba Roho Yangu

MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah anasema kuwa, kwa maisha yake ambayo ameyaishi yapata miaka miwili sasa na...

READ MORE

Ukorofi! Mobeto, Lulu Waishi Mtaa Mmoja

UKOROFI huo! Ndiyo maneno unayoweza kuyatumia kwa sasa kufuatia mwanamitindo maarufu wa kimataifa Bongo, Hamisa Hassan Mobeto, kudaiwa kwenda kuishi...

READ MORE

Ndoto ya Ibraah kwa Tiwa Savage

    IBRAAH au Chinga wa Konge Music anasema kuwa ana ndoto ya kutimiza kwa Tiwa Savage ambaye ni staa...

READ MORE

Malkia Karen: Baba wa Mtoto Mnampa Ninyi?

MSANII wa kike wa Bongo Fleva, Careen Gardner almaarufu Malkia Karen anasema kuwa, anawashangaa mno watu wanaompangia mtoto wake baba,...

READ MORE

Mobeto na Fahyma Kama Pacha

WANAMITINDO wa kimataifa Bongo, Hamisa Mobeto na Fahyma wamejikuta wakishinda tuzo mbalimbali na kuwafanya kujitengenezea upekee wao kama pacha. Mwaka...

READ MORE

Diamond Naye Aamua, Amkataa Mazima Harmo

Siku kadhaa zilizopita miongoni mwa story kubwa ilikuwa kuhusu msanii na C.E.O wa Konde Music Worldwide Harmonize kumuondoa msanii na...

READ MORE

Mchumba wa Diamond ni Huyu

KUMEKUWA na mgagaziko kwa muda mrefu tangu staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz atengane na baby...

READ MORE