×

Celebrities

Diamond Ashindwa Kujizuia, Awalipua Forbes Kuhusu Utajiri Wake -Video

Staa wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul, maarufu Diamond Platnumz leo Mei 18, 2021 kupitia ukurasa wake wa Instagram amewachana Forbes...

READ MORE

Mondi Asaini Dili na Warner Music Group

STORI inayo-make headlines kwa leo ni kutoka kwenye moja kati ya Big Three Music Record Label Duniani ‘Warner Music Group’...

READ MORE

DJ Mkongwe Zaidi Astaafu Akiwa na Umri wa Miaka 96

DJ wa miaka 96 huko Hong Kong ameandaa kipindi chake cha mwisho cha redio, baada ya zaidi ya miongo saba...

READ MORE

Harmonize, Mzazi Mwenziye Wakinukisha!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuonekana na mzazi mwenziye Shanteel....

READ MORE

Malaika Napenda Muziki Kuliko Filamu

Ukiambiwa utaje listi ya mastaa wa kike ambao wanafanya vizuri kwenye gemu ya muziki wa Bongo Fleva, basi naamini kabisa...

READ MORE

Vanessa: Naishi Maisha Yangu

MWANADADA anayejua kutupia pamba vilivyo ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa anaishi maisha yake...

READ MORE

Wema na Zari, Vita Imenoga

  ILIANZA kama masihara tu hivi lakini sasa hivi mambo yametaradadi kati ya muigizaji Wema Sepetu na mrembo kutoka pande...

READ MORE

Billnass Amkana Nandy

BAADA ya mwanadada Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ kudai kuwa, staa wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ atakuwa mmoja wa washiriki...

READ MORE

Wolper Awa Mbogo Kisa Mpenzi Wake

MSANII wa filamu Bongo Jacqueline Wolper hivi karibuni amesema kuwa sbabu kubwa inayomfanya awe Mbogo kwenye uhusiano wake wa kimapenzi...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Jeff Bezos Anunua Boti ya Sh Tril 1.16

MIONGONI mwa stori inayo-make headleine ulimwenguni ni kuhusu bilionea wa dunia, Jeff Bezos kununua boti iliyoitwa “superyacht“… hii imeamsha hamu...

READ MORE

Simba Kukipiga na Dhidi ya Kaizer Chiefs Leo

IKIWA na kibarua kizito leo katika Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo Johannesburg nchini Afrika Kusini, kwenye mchezo wa kwanza...

READ MORE

Bob Junior Asalimu Amri Kwa Mondi

TAARIFA ikufikie kwamba lile bifu la kugombea jina la Rais wa Wasafi au Masharobaro kipindi hicho kati ya mastaa Bongo...

READ MORE

Wolper: Ningekuwa Amber Ningemkata Mkono Hamorapa

MWANAMAMA anayejua uchungu wa kuzaa ambaye alijipatia umaarufu kupitia Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ameibuka na kumtetea vilivyo msanii wa...

READ MORE

Wema Amshika Pabaya Lulu Diva

SEXY lady kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kushikwa pabaya na shosti wake, Wema...

READ MORE

Mama Huyu Atakuliza, Maradhi Ya Mwanae Yamtoa Machozi – Video

Watende Athumani ni Mama mzazi wa mtoto mmoja ambaye Nusrat Yusuph (9) mwenye matatizo ya Moyo hali inayopelekea kuzimia mara...

READ MORE

Shetta: Niliosha Gari la Staa wa Bongo Fleva

STAA wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali ‘Shetta’ anasema katika mapambano yake ya kutafuta njia ya kutoboa kimuziki, amewahi kuishi nyumbani...

READ MORE

Maumivu ya Harmo Yamtesa Kajala

UBUYU wa ndani kabisa unadai kwamba; kumbe maumivu ya kutendwa na staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ bado yanamtesa...

READ MORE

Mashabiki Wataka Kulamba Sukari ya Zuchu – Video

MWANADADA anayekimbiza kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Zuchu ameandika historia mpya baada ya kupiga bonge la shoo katika Uwanja wa...

READ MORE

Ohooo! Pisi Kali za Mbagala Zashambulia Jukwaa la Zuchu – Video

FIRST Lady wa Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Zuchu ameandika historia mpya baada ya kupiga bonge la shoo...

READ MORE

Zuchu Aandika Historia Dar Live, Shoo Yake ya Kibabe – Video

MSANII mwanadada anayekimbiza bongo kwa sasa kutoka Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Zuchu ameandika historia mpya baada ya...

READ MORE

Juma Nature Afanya Balaa Dar Live – Video

MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature amefanya maajabu katika Jukwaa la Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live...

READ MORE

Shangwe la Zuchu: Khadija Kopa Afanya Maajabu Dar Live – Video

Malkia wa mipasho nchini Tanzania, Khadija Omary Kopa na kundi lake la Ogopa Kopa amefanya Bonge la Shoo katika Jukwaa...

READ MORE

Diamond Agawa Pesa, Chakula Tandale – Video

MSANII wa Bongofleva, Nassibu Abdul maarufu Diamond Platnumz leo Ijumaa Mei 14, 2021 amegawa fedha na chakula kwa baadhi ya...

READ MORE

Wikiendi Ya Kukata Na Shoka Katika Ligi Mbalimbali Barani Ulaya

Mechi za kibabe kuchezwa wikiendi hii, timu nyingi kutafuta ubingwa ili kufuzu mashindano ya ligi mbalimbali. Nani atashuka, nani atapanda...

READ MORE

🔴#Live: Diamond Atoa Msaada Nyumbani Kwao Tandale

MSANII Diamond Platnumz, leo Mei 14 ametoa misaada kwa wananchi wa Tandale ikiwa ni sikukuu ya Eid Al Fitri..

READ MORE

Mondi Kumwaga Zawadi ya Eid Tandale, Kariakoo

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi na Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia Kutoa alichojaliwa ikiwa kama zawadi...

READ MORE

McGregor Kinara kwa Mkwanja

Licha ya uwepo wa janga la Virusi Corona ambalo bado limeendelea kuathiri shughuli za michezo mingi duniani kote kwa kukosa...

READ MORE

Rasmi: AJ na Fury Kuzichapa Agosti 14

Sasa ni rasmi pambano la ngumi kati ya mabondia wawili waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury litafanyika Agosti 14 mwaka...

READ MORE

Ferooz Anusurika Kupata Ukimwi

Siku ya Mei 12 ilitoka takwimu mpya za Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ambapo taarifa zinaeleza kuwa watu wa umri...

READ MORE

Harmonize Amtupia Dongo Janjaro ‘Lazima Upimwe’

‘Ukifika lazima upimwe’ hii ni kauli aliyoitoa Harmonize akiwa uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere leo akitokea Nigeria na...

READ MORE

Youssou Msanii Tajiri Zaidi Afrika

Youssou N’Dour, huyu ni mwanamuziki kutoka nchini Senegal anatajwa kuwa ndiye msanii tajiri namba moja barani Afrika akiwa na utajiri...

READ MORE

Davido Atuhumiwa kwa Wizi

Mtumiaji wa Twitter aliyejitambulisha kama “Thug Life” alimtuhumu Superstar huyo wa afrobeats kuwa mwaka 2020 aliiba kazi ya Victor AD...

READ MORE

Billboard Yatangaza Kumtunuku Drake Tuzo ya Heshima

Billboard wametangaza kumtunuku rapa Drake tuzo ya heshima ya msanii bora wa Muongo (kipindi cha miaka 10). Drake anatarajiwa kutunukiwa...

READ MORE

Nicole Sipendi Sana Umaarufu

MREMBO mwenye figa matata Bongo, Nicole Joyberry hivi karibuni amefunguka kitu asichokipenda sana kwenye maisha yake kuwa ni umaarufu kwa...

READ MORE

Anjella – Nobody (Official Audio)

First Lady wa lebo ya Konde Gang Anjella leo Mei 12, 2021 ameachia wimbo wake wa “Nobody ”. 

READ MORE

Imefichuka: Melinda Gates Alianza Kusaka Talaka Tangu 2019

SIKU chache baada ya wanandoa matajiri zaidi duniani, Bill Gates na mkewe Melinda Gates kutangaza kwenye akaunti zao za mtandao...

READ MORE

Hamorapa: Hata Waniue Mtoto wa Amber Lulu Ni Wangu

PAMOJA na kudaiwa kutekwa kisha kutiwa mbaroni kufuatia kudai mtoto wa msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ aitwaye...

READ MORE

Nisha Atamani Kuolewa na Dimpoz

Unaambia picha ya Ommy Dimpoz imemfanya msanii wa filamu Nisha Bebe kutamani kuolewa na msanii huyo wa muziki wa BongoFleva...

READ MORE

Esma, Petit Man Majanga Tena!

  DADA wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan na mzazi mwenzie Hamad Manungwi ‘Petitman Wakuache’...

READ MORE

Diva Amchimba Zari, Apewa za Chembe Mtandaoni

WABONGO wenyewe wanasema wagombanao ndiyo wapatanao! Hicho ndicho kinachojiri kwa sasa kufuatia mtangazaji maarufu Bongo, Loveness Malinzi ‘Diva’ kukesha akimsifia...

READ MORE