×

Celebrities

Akon Akutana na Rais Museveni, Ataka Kuwekeza Uganda

MWANAMUZIKI mashuhuri na mzaliwa Senegal ambaye pia ni raia wa Marekani mwekezaji na mhisani Aliaune Damala Badara Thiam, maarufu Akon...

READ MORE

Gigy Money Ahojiwa BASATA Kisa ‘Wife Material’ ya Omondi

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu Gigy Money amehojiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya kwenda...

READ MORE

Idris: Wanasema Nioe Kwanza

Mchekeshaji maarufu Bongo Idris Sultan amevunja ukimya kwa kuwaambia wazazi kwamba kuna sehemu wanatakiwa kuhakiki vizuri hasa kwenye masuala ya...

READ MORE

Teni The Entertainer Aachia Dude ‘Wondaland’

MWANAMUZIKI staa nchini Nigeria, Teni The Entertainer ameachia albamu yake mpya ya muziki inayokwenda kwa jina la “Wondaland”, ambayo kwa...

READ MORE

Furahia Promosheni Mpya Msimu Huu Wa Pasaka Ukiwa Na Meridianbet!

Msimu huu wa Pasaka unanogeshwa kwa shindano la kukata na shoka kupitia sloti ya Mega Bunny Hyperways iliyotengenezwa na Game...

READ MORE

Shazam Yazindua Playlist ya Mastaa Afrika Mashariki Ndani ya Apple Music

SHAZAM imezindua playlist yake mpya ya wasanii wanaofanya vizuri Afrika Mashariki katika Mtandao wa Apple Music, ijulikanayo kama East Africa...

READ MORE

Poshy: Uzazi Umeniongezea Mvuto

MREMBO ambaye umbo lake lilimfanya kumpa jina kubwa hapa mjini, Jacqueline Obadia ‘Poshy’ amesema kuwa tangu amejifungua mtoto wake, amezidi...

READ MORE

Beyonce Avamiwa na Majambazi, Waondoka na Mzigo wa Mabilioni

MSANII maarufu wa Marekani, Beyonce ni muhanga wa tukio la uvamizi, avamiwa na kuibiwa vitu vyenye thamani ya ($1 million)...

READ MORE

Tiketi Ya Kufuzu Kombe La Dunia 2022, Inatafutwa Kwa Juhudi!!

Michezo kadhaa ya kuisaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 inaendelea wiki hii. Una nafasi ya kutengeneza faida ukiwa...

READ MORE

Wolper Achimba Mkwara Mzito

MWANADADA anayekiwasha kunako Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ambaye ni mjasiriamali mkubwa amechimba mkwara mzito.Wolper ametoa onyo kali kwa wale...

READ MORE

Darassa: Mastaa Wafanye Muziki Waache Show Off

Mkali wa Hip Hop Bongo, Sharif Thabeet ‘Darassa’ amewachana wasanii wenzie kuwa wafanye muziki waachane na show off zisizokuwa na...

READ MORE

Nanah Uzuri Wangu Unanitesa

VIDEO queen maarufu Bongo Nabila Othman ‘Nanah’ amesema urembo alionao unamtesa kwa sababu kuna muda anafuatwa na wanawake wenzie na...

READ MORE

NBA, Kufuzu Kombe La Dunia 2022 Na Afcon Kurindima!!

NBA, michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 sambamba na Mashindano ya Afcon, vyote kurindima wikiendi hii!!   Ijumaa hii...

READ MORE

TID Amuomba Msamaha Magufuli – Video

WASANII mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wameandika ujumbe mzito kumuaga Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli aliyemaliza...

READ MORE

Kofia Ya Magufuli Yampa Mzuka Kala

MSANII wa Bongo Fleva, Kala Jeremiah amesema kofia aliyovalishwa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk...

READ MORE

Baraka Akiri Kutokuwa Sawa Na Naj

Baada ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa penzi la msanii wa Bongo Fleva Baraka Andrew ‘Baraka the Prince’ na Najma Dattan...

READ MORE

Lulu Diva: Mbwa Wana Mapenzi Kuliko Binadamu

SEX lady kutoka katika kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa Mbwa wana mapenzi sana...

READ MORE

Diamond, Zuchu Watua Chato Kumzika Magufuli – Video

WANAMUZIKI wanaounda kundi la ‘Tanzania All Stars’ walioimba wimbo wa ‘LALA SALAMA’ wamefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya...

READ MORE

Kajala, Mobetto, Harmo, Manara Watua Chato Kumzika Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, unatarajiwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele,...

READ MORE

Alikiba Jukwaani Kumuaga Hayati Magufuli- Video

MWANAMUZIKI Alikiba, amepata nafasi ya kutumbuiza katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, leo Machi 25, katika...

READ MORE

Harmonize, Kajala Wamuaga JPM Kirumba

MSANII wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Konde Gang Rajabu Abdul Kahali, maarufu Harmonize akiwa na mpenzi wake...

READ MORE

Wastara Asimulia Magufuli Alivyomuokoa

MSANII wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amesimulia jinsi aliyekuwa Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk John...

READ MORE

Michuano Ya Timu Za Taifa Kutimua Vumbi Wiki Hii

Tukiwa katika mapumziko kwenye mchezo wa soka ngazi ya vilabu. Mashindano mbalimbali ya timu za taifa yanaendelea wiki hii.  ...

READ MORE

Rayvanny Kutoka Mtaani, WCB, Hadi Mmiliki Wa Lebo

RAYVVANY ni msanii aliyekuzwa na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya Diamond Platnumz.Jina lake halisi ni Raymond...

READ MORE

Ben Pol: Magufuli Alikuwa Rais Wa Kweli

WAKATI nchi ikiwa kwenye majonzi mazito ya kumpoteza Rais wake, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ baadhi ya mastaa ndani na...

READ MORE

Coy Mzungu Amshukuru Mondi

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na...

READ MORE

Mondi, Madee Wafika Uhuru Kumuaga Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, katika jiji la Dar es...

READ MORE

Zari Atoa Pole Kwa Watanzania Kuondokewa JPM

MAPENZI yanaweza kufika ukingoni, lakini uhusiano ukadumu milele!Hicho ndicho kinachotokea kwa mwanamama mwenye pesa zake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss...

READ MORE

Kisa Magufuli, Diamond, Harmonize Waingia Studio -Video

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotokea juzi Jumatano, wasanii mbalimbali waliingia studio na kurekodi nyimbo...

READ MORE

Shinda Gawio Lako La Mizunguko 500,000 Ya Bure Katika Promosheni Yetu Ya Power Play

Meridianbet kwa kushirikiana na Playtech wanakuletea nafasi nyingine katika maisha ambapo unapata nafasi ya kushinda mgao wa mizunguko 500,000. Shindano...

READ MORE

Anjella ‘Nilitaka Kunywa Sumu’

MSANII mpya kutoka lebo ya Konde Gang. Anjella amesema kuna wakati alitaka kutoroka na kunywa sumu kwani mama yake hakuwa...

READ MORE

Dude Apata Ajali Tatu

MSANII wa filamu Bongo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amesema mwaka jana 2020 haukuwa mwaka mzuri kwake kwani alipata ajali...

READ MORE

Drake Anyemelea Penzi la Kim Baada ya Kuachana na Kanye

MOJA ya headlines kali zinazotrendi kwenye gossips ni kuhusu rapa maarufu nchini Marekani, Aubrey Drake Graham ‘Drake’ kutajwa kunyemelea penzi...

READ MORE

Aguero Alalamikia Kunyimwa Pasi Uwanjani

MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Muargentina  Sergio Kun Aguero,  amelalamikia uchoyo wa pasi kutoka kwa wachezaji wa timu hiyo, katika  mchezo...

READ MORE

Uwoya Avimba na Range Rover ya Bei Mbaya

God is good all the time (Mungu ni mwema muda wote! Hayo ni maneno ya staa wa Bongo Movies, Irene...

READ MORE

Mama Dangote Amuwakia Shilole “Usirudie Tena”

IKIWA ni siku moja baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumchukua dada aliyedai kuwa ni shabiki wa...

READ MORE

Mtoto wa Jay Z, Beyonce Atwaa Tuzo ya Grammy

MTOTO wa nyoka ni nyoka, msemo huo umetimia baada ya mtoto wa Wanamuziki matajiri duniani, Jay Z na Beyonce, Blue...

READ MORE

Davido Awapongeza Burnaboy, Wizikid Tuzo za Grammy

Davido ameweka tofauti zake na Burna Boy pembeni, ampongeza kwa ushindi wake kwenye tuzo za Grammy mwaka huu. Pia hajamuacha...

READ MORE

TuneCore Yaleta Neema kwa Wasanii Afrika Mashariki! 

KAMPUNI inayoongoza katika usambazaji wa muziki kidigitali na kukusanya mirabaha ya wasanii huru, TuneCore imezindua shughuli zake Afrika Mashariki na...

READ MORE

Diamond Aanika Uzinduzi Albamu ya Mbosso – Video

Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza uzinduzi wa Albamu ya msanii wake, Mbosso iitwayo ‘Definition of Love’ ambapo...

READ MORE