×

Celebrities

Msami Baby: Simjui Kajala, Ndio Nani

Ni ‘headlines’ za msanii na mkali wa kucheza Msami Baby ambaye amejitokeza na kusema hamjui Kajala Masanja ndio nani baada...

READ MORE

Bondia ‘Marvelous’ Afariki Dunia

Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa kati Marvin Hagler ‘Marvelous’ amefariki akiwa na umri wa miaka 66. Raia...

READ MORE

Burna Boy na Wizkid Washinda Tuzo za Grammy

WASANII    maarufu wa Nigeria Burna Boy na Wizkid wameshinda tuzo za Grammy za mwaka huu wa 2021. Burna Boy...

READ MORE

Mabeste Awachana Wasanii Wapenda Kiki

RAPA mkali Bongo, Venance Mabeste amesema kuwa siku hizi kuna baadhi ya wasanii wa muziki wamesahau kabisa ni kitu gani...

READ MORE

Kajala, Harmo Penzi Lao Gumzo Mjini

UNAWEZA ukasema gari kwa sasa limewaka! Mwanamama Kajala Masanja na mpenzi wake Rajabu Abdul ‘Harmonize’ wamezidi kuoneshana mahaba niue laivu...

READ MORE

Mbosso Kuanzisha Lebo Yake Wasafi, Afunguka

BADO upepo unazidi kutikisa ndani ya lebo kubwa ya muziki wa Bongo Fleva, Wasafi Classic Baby (WCB), baada ya Raymond...

READ MORE

Baba Zuchu: Damu Nzito Kuliko Maji, Nafurahi Kumuona Zuchu

Siku zote waswahili husema damu nzito kuliko maji! ndivyo ilivyotokea kwa baba wa msanii wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman ‘Zuchu’,...

READ MORE

Aunt Akataa Ndoa na Kusah, Amtaja Ruby kwa Mara ya Kwanza – Video

Muigizaji Aunt Ezekiel amesema mtoto aliyezaa na Kusah ni zawadi kwa rafiki yake Wema Sepetu, kwani alishamuahidi tangu akiwa na...

READ MORE

Harmonize Kuwadai Wasafi Mamilioni, Vifaa vya Studio – Video

KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Timu ya wajuzi wa mambo ya UDAKU Bongo, wamechambua ongezeko la mwanamuziki mwingine kwenye lebo...

READ MORE

Hatimaye Mshindi wa BSS 2021 Akabidhiwa Mamilioni – Video

Mshindi wa Shindano la kusaka vipaji vya muziki la BSS, Yusuf Nizar, amekabidhiwa zawadi yake ya shilingi milioni 20 alizoahidiwa...

READ MORE

Manchester United Kukiwasha na West Ham United Jumapili

Zikiwa imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa EPL kumalizika, kila timu inajitutumua kuhakikisha inamaliza msimu katika nafasi...

READ MORE

Sakata la Gigy Money, Eric Omondi Akamatwa na Polisi

Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi Filamu nchini Kenya (KFCB), Dkt Ezekiel Mutua, ametangaza kwamba mchekeshaji Eric Omondi, amekamatwa...

READ MORE

Usiku wa Anjella: Wasanii Wavamia Jukwaa la Harmonize – Video

USIKU wa Machi 12, First Lady wa Konde Gang, Anjella, amekaribishwa rasmi kwenye lebo ya Konde Gang kwa kufanyiwa Party...

READ MORE

Cheza Sloti Mpya Inayopatikana Kwenye Kasino Ya Meridianbet Pekee!

Matumizi ya mfumo wa mwituni ni miongoni mwa vitu vinavyovutia kwa watengenezaji was loti. Studio mpya iliyojiunga kwenye mfumo huo...

READ MORE

Mdogo wa Wema Adaiwa Kunaswa na Madawa, Aunt Amwaga Machozi (Picha + Video)

WAFANYABIASHARA wanne wa Dar es Salaam, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kukutwa...

READ MORE

Mtihani Mzito Penzi La Kajala, Harmo

Unawezakuwa mtihani wa kwanza kabisa kwenye mahusiano yao kama habari zilizolifikia gazeti hili zikiwa na ukweli wa asilimia mia. Taarifa...

READ MORE

Tunda: Walishindiwa Wababe Hadi Matajiri

Video vixen maarufu Bongo, Cappiccuno Tunda amempongeza mpenzi wake Whozu kwa kumfanya kufikisha miaka miwili kwenye maisha yake ya kimahusiano...

READ MORE

Maskini Robinho Sasa ‘Kuozea’ Jela

Mshambuliaji nyota wa zamani wa Brazil, Robinho de Souza, ameshindwa rufaa yake katika mahakama ya juu nchini Italia, hivyo atalazimika...

READ MORE

Lulu Diva Akiri Kuporwa Gari

Sexy lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kuporwa lile gari la bei mbaya aina ya Jeep. IJUMAA...

READ MORE

Mbosso Aachia Album Yake ya Kwanza “Definition Of Love”

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia rasmi...

READ MORE

Mondi Amtupia Kijembe Harmonize “Sio Uchawi” – Video

CEO wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz amemtupia dongo aliyekuwa mwanamuzi wake kwenye lebo hiyo, Harmonize kwa kitendo cha kuikashifu...

READ MORE

Mke wa Bilionea Namba 1 Duniani Aolewa na Mwalimu

BILIONEA MacKenzie Scott, mtalaka wa mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezoz ameolewa na mwalimu wa sayansi katika shule ya watoto wake....

READ MORE

Careen: Mwanamme Kumpa Pesa Mwanamke Si Kuhonga

  BABY mama wa msanii Barakah The Prince ambaye ni Video Vixen, Careen Simba, amesema ni jukumu la mwanamme kumpa...

READ MORE

Baada Ya Nandy Atua Rasmi Kwa Mondi

GOOD news kwa mashabiki wa burudani ni kwamba, baada ya mtoto mzuri Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ kufanya kazi na mwanamuziki...

READ MORE

Sarah Amrusha Roho Harmo, Anunua Ferrari Mpya

SARAH Michelotti, aliyekuwa mke wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amemrusha rohoo laivu jamaa huyo kwa kujinunulia gari...

READ MORE

Mariah Carey Afunguliwa Kesi na Kaka Yake

MWANAMUZIKI wa miondoko ya Rnb Mariah Carey, amemfunguliwa kesi na kaka yake mkubwa kwenye mahakama kuu ya New York nchini...

READ MORE

Zuchu Afanyiwa Dua Usiku na Baba Yake

SIKU zote damu ni nzito kuliko maji! Hicho ndicho kinachotokea kwa baba mzazi wa msanii mkali wa kike wa Bongo...

READ MORE

Penzi la Mobeto na Fred Lafunika Harmo, Kajala

UNAAMBIWA moto wa penzi jipya la mwanamama Hamisa Mobeto na mfanyabiashara maarufu Bongo, Fred Vunjabei limelifunika vibaya lile la Rajab...

READ MORE

Msami: Diamond Ananiogopa!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Msami amesema msanii mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ anamuogopa ndio maana hampi nafasi kwenye matamasha...

READ MORE

Video: Wapiga Chabo Wakithiri, Madirisha Yazibwa, Wenyeji Waeleza

 KATIKA Hali ya Kushangaza, wakazi wa Zanzibar wameeleza namna wapiga chabo wanavyosumbua mtaani hadi kufikia watu kuziba madirisha yao.....

READ MORE

Ujumbe mzito wa Harmonize kwa watoto wa kike

KUELEKEA Siku ya Wanawake Duniani, msanii Harmonize ametoa wosia kwa watoto wote wa kike ambapo amewaambia wawe na maamuzi sahihi...

READ MORE

Baada ya Kuoana Kimya Kimya… Sherehe ya Lulu & Majizzo Usipime!

  BAADA ya kufunga ndoa isiyokuwa na mbwembwe, taarifa zinaeleza kuwa, muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ anatarajia kuangusha bonge la sherehe...

READ MORE

Vigogo Wazima Skendo ya Paula, Rayvanny

KUNA msemo wa kimila usemao: “Tembo wakianguka huinuana.” Hiki ndicho kinachoonekana kwenye skendo inayomhusu msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa...

READ MORE

Manchester Derby Kitawaka Etihad Kesho Jumapili

Wikiendi ya kwanza ya mwezi wa tatu kuanza kwa burudani ya kibingwa kwenye soka la Ulaya. La Liga, Bundesliga na...

READ MORE

Neymar Ajinasia Kidege Emilia Wa Argentina

NYOTA anayesakata kabumbu katika klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa, Neymar da Silva Santos Júnior ‘Neymar’ (28), amepata...

READ MORE

Mobeto Agonga Mwamba Kumshitaki Kajala

LITIKISA kiberiti! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa wa Bongo Fleva na Mwanamitindo Hamisa Mobeto kushindwa kutimiza azma yake ya kumburuza...

READ MORE

#Exclusive: Kijana Adai “Kingwendu ni baba Yangu” – Video

KIJANA aliyejitambulisha kwa Jina la ABUYE RASHID MZANGE amesema kuwa Muigizaji Kingwendu ni baba yake mzazi na hakuwa akifahamu hilo...

READ MORE

Country Wizzy Afunguka Ukimya wa Cheed na Killy

Rapa Country Wizzy kutoka lebo ya Konde Gang ya Harmonize amefunguka ukimya wa wasanii Killy na Cheed ambao tangu wamehamia...

READ MORE

Kapo ya Mama Dangote Yazua Kasheshe!

Ama kweli Waswahili hawana jema! Hilo limethibitika usiku wa kuamkia Jumamosi baada ya baadhi ya mashambenga waliohudhuria onesho la Cheka...

READ MORE