×

Celebrities

Wastara: Nisingekuwa Jasiri Ningeshakufa Siku Nyingi

STAA wa fi lamu ambaye amepitia misukosuko mingi kwenye maisha yake, Wastara Juma amefunguka kuwa kama asingekuwa mwanamke jasiri maishani...

READ MORE

Wema: Sina ‘Tatuu’ ya Mwanaume Mwilini Mwangu

STAA mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa kamwe hawezi kuchora tatuu ya jina la mwanaume mwingine yeyote kwenye...

READ MORE

Ebitoke, Gigy Kitawaka Muda Wowote!

KOMEDIANI matata Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka juu ya bifu lake na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’...

READ MORE

Harmonize Athibitisha! Sarah Kujifungua Hivi Karibuni – Video

  MSANII wa Bongo Fleva anayekiwasha kwa sasa na Lebo yake ya Konde Gang Worldwide, Harmonize ameweka bayana kwamba mpenzi...

READ MORE

Balaa la Country Boy, Moni Centrozone Kwenye Jukwaa Moja – Video

Country Boy na Moni Centrozone wameonyesha balaa la hatari kwenye shoo waliyofanya pamoja usiku wa kuamkia tarehe 9 ambapo ulikuwa...

READ MORE

Kiba Afanya Balaa, Afunga Mtaa wa Harmonize! – Video

SUPER Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ambaye pia ni CEO wa Kings Music Records, usiku wa kuamkia leo amefanya bonge...

READ MORE

Mavoko Afunguka Kusainiwa na Harmonize – Video

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko, ameweka bayana kuhusu stori zilizosambaa kwamba anataka  kusainiwa na msanii mwenzake aliyekuwa...

READ MORE

Mama Dangote Kitumbo Ndii?

DAR: Miongoni mwa mambo yaliyozua minong’ono kwenye ile harusi ya kukata na shoka ya dada wa staa wa muziki Afrika,...

READ MORE

Zuchu Amburuza Tena Harmonize!

DAR: Memba mpya wa lebo kubwa ya muziki barani Afrika, Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman Sudi ‘Zuchu’, amemburuza bosi...

READ MORE

Mahaba ya Mzee Yusuf na Mkewe Wakipafomu Dar Live – Video

IKIWA ni miaka kadhaa imepita akiwa nje ya sanaa ya muziki, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake...

READ MORE

Albamu Mpya ya Burna Boy Inatengenezwa na P Diddy

Star wa Muziki wa Nigeria, Burna Boy anajiandaa kuileta album yake mpya “Twice as Tall” na ameweka wazi kuwa album...

READ MORE

Team Samatta, Shuhudia Mbwembe za Harmonize – Video

  MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka Konde Gang, ni miongoni mwa wachezaji wanaokamilisha wachezaji 11 wa kikosi cha Team...

READ MORE

Wasanii Waliong’ara, Pumzi Ikakata

MUZIKI wa Bongo Fleva umekua ndani na nje ya Tanzania. Muziki huu sasa ni biashara kubwa mno, tofauti na miaka...

READ MORE

Umaarufu Kimuziki, Michezo Unavyowainua Wasanii Kisiasa

ZAMANI kazi ya michezo na muziki zilikuwa zinaonekana ni za kihuni na wazazi au walezi wa watoto walikuwa hawakubali vijana...

READ MORE

Malkia Kareen: Ni Mwendo wa Kusaka Pesa

Sexlady kunako anga la muziki wa Bongo Fleva Karen Habash ”Malkia Karen” amesema kuwa  hakuna muda wa kulala ni muda...

READ MORE

Samatta: Alikiba Amweke Mdogo Wake Abdukiba Awe Refa

MCHEZAJI wa Klabu ya Aston Villa na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Ali Samatta, ameendelea kujitapa kuwa...

READ MORE

Uchebe: Mambo Yangu Mazuri Zaidi ya Jana

Mume wa mwanamuziki na mjasiliamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe amesema kuwa anaendelea vizuri na biashara zake kama kawaida tofauti...

READ MORE

Minu: Nitakuwa Mjinga Nispomuoa Snura

Mpenzi wa mwanamuziki wa Singeli nchini, Snura Mushi, Minhal azad ‘Minu’ amesema kuwa hatakuwa mjinga aliyepitiliza kama atamuoa mpenzi wake...

READ MORE

Daz Baba Aanika Kilichoimaliza Daz Nundaz, Bifu na Ferouz

Kama kawa mpenzi msomaji wa safu hii ya Yupo Wapi ambayo imekuwa ikikuletea waliowahi kuwa mastaa na kisha kupotea katika...

READ MORE

Video Vixen Wamewaponza!

KUMEKUWA na kasumba ambayo inawaandama sana mastaa wa muziki hapa Bongo. Hii imesababisha baadhi ya mastaa waponzwe na warembo hao,...

READ MORE

Samatta Aomba Radhi Kuvaa Barakoa – Video

Mchezaji wa Klabu ya Aston Villa na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Ali Samatta amewaomba radhi Watanzania...

READ MORE

Polepole: CHADEMA Imemdhulumu TID ‘Ni Yeye’

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemzulumu mwanamuziki...

READ MORE

JPM Akichukua Fomu NEC, Wasanii 109 Kukesha Uhuru Stadium – Video

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi Mkuu wa 2020, Dkt. John Pombe Magufuli atachukua Fomu...

READ MORE

EXCLUSIVE: Millard Afunguka Bifu za Media vs Wasanii…

  MTANGAZAJI wa Clouds FM, Millard Ayo, ameeleza namna anavyoumizwa na bifu zinazotokea kati ya wasanii na baadhi ya vyombo...

READ MORE

Dah! Stori ya Kanye West Inauma Sana Aisee!

HAINA ubishi, Rapa bilionea, Kanye West ni miongoni mwa marapa bora kuwahi kutokea duniani. Jamaa ni bonge moja la mwimbaji...

READ MORE

Meninah Apewa Makavu Laivu!

MSANII wa muziki, filamu na mshehereshaji maarufu Bongo, Meninah Attick, amepewa makavu laivu baada ya kuposti video kwenye ukurasa wake...

READ MORE

Warembo Waliotikisa Ubunge Viti Maalum

  KINYANG’ANYIRO cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana CCM (UV-CCM), kimeendelea kutikisa baada ya...

READ MORE

Jide: Zuchu Atafika Mbali!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amesema kuwa msanii na memba mpya wa...

READ MORE

Utata Waibuka Msanii Mpya wa Harmonize!

UTATA umeibuka baada ya bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ kumtangaza msanii...

READ MORE

Mondi, Zuchu Wana Lao Jambo

NI kizaaza cha aina yake kimeibuka kufuatia matukio mbalimbali waliyoyafanya msanii anayekuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, Zuhura...

READ MORE

Harmonize Azindua Tamasha Lake ‘Harmo Night Carnival’ – Video

Msanii kutoka Lebo ya Konde Gang wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize  amezindua rasmi Tamasha lake la Harmo Night Carnival....

READ MORE

Exclusive: Snura Amwambia Shilole, ‘Acha Utoto’ – Video

MWANAMUZIKI wa singeli nchini, Snura Mushi, amejibu tuhuma zilizotolewa na mwanamuziki mwenzake, Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole au...

READ MORE

Nandy, Lulu Diva Wamuumbua Gigy Money!

BAADA ya kuwepo kwa tetesi za bifu zito kati ya wanamuziki wawili wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na Lulu...

READ MORE

Wema: Jamani Anayeolewa na Mondi Siyo Mimi!

STAA kiwango wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, ameweka wazi na kuvunja minong’ono kwamba, huwenda yeye ndiye mtarajiwa wa mwanamuziki...

READ MORE

Nandy: Billnass Ndio Kila Kitu Kwangu

SEXY lady kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’ amemshukuru mchumba wake William Lymo ‘Billnass’ kwa sapoti anayompa.   Akizumgumza na...

READ MORE

Mzee Yusuf: Njooni Dar Live Muone Mambo!

MFALME wa Muziki wa Taarab, Mzee Yusuf anatarajia kuunguruma Agosti 7, mwaka huu pale kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala...

READ MORE

Soud Brown Amchomoa Mwijaku Mahabusu

MTANGAZAJI wa runinga na msanii, Mwemba Burton, maarufu kwa jina la Mwijaku, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, ameachiwa kwa dhamana...

READ MORE

 Niyonzima: Nimekuja Azam kufanya kazi

KIUNGO mpya wa Azam, Ally Niyonzima, raia wa Rwanda, amefunguka kuwa ana furaha kubwa ya kufanikiwa kujiunga na timu hiyo...

READ MORE