STAA wa Bongo Movies; Wema Isaac Sepetu, amekanusha taarifa kuwa, ameungana na timu ya wazazi wenza wa aliyekuwa mwandani wake,...
READ MORESTAA wa muziki wa kiwango cha Dunia kutoka nchini Marekani, Robert Kelly ‘R Kelly’, amekutana na kisanga cha kushambuliwa na...
READ MOREHAYA ni zaidi ya mateso! Ukisema wewe unaumwa, lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe! Hawa Ibrahim almaarufu Carina kwa...
READ MOREMSANIIAkon wa muziki wa R&B nchini Marekani na ambaye amekuwa akizungumzia kujenga mji mpya nchini Senegal tangu 2018 amesema shughuli...
READ MOREMIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia...
READ MOREMKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Bwana Misosi, amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi...
READ MOREDADA wa msanii Shilole ambaye amejitambulisha kwa jina la Khadija Ziota ameeleza kuwa amepitia wakati mgumu na kuteseka wakati anataka...
READ MORENASIBU Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz, amekuwa ni nembo ambayo inatangaza vizuri muziki wetu kwa hapa Afrika. Katika burudani,...
READ MOREDawa ya moto ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia, Rais wa Kruu la Konde Gang, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kumuonesha bosi...
READ MOREMalkia wa Bongo Movies, Irene Uwoya, ameweka wazi kuwa yuko sawa na aliyekuwa hasimu wake mkubwa, Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’....
READ MOREMsanii na mmiliki wa Shishi Food anayefanya poa kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, kwa sasa...
READ MOREWANANZENGO sio watu wazuri! Wakati ikiaminika ‘yadi’ ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi imesheheni magari...
READ MOREMSANII G Nako pamoja na msanii kutoka Marekani Reime Schemes wametambulisha wimbo wao mpya ‘DEBE’ ndani ya +255GlobalRadio na kuahidi...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na mkewe, Maria, wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha...
READ MOREDar: Jambo limezua jambo! Lile gari la kifahari aina ya BMW X5 ambalo alizawadiwa dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond...
READ MOREDar: Siku chache baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutengena na aliyekuwa bwana’ke, Hunchy...
READ MOREDar: Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch amewajia juu mashabiki waliomtusi baada ya kuomba pesa...
READ MOREMuigizaji maarufu duniani CHADWICK BOSEMAN amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 jijini Los Angeles nchini Marekani kwa matatizo...
READ MOREDAR: BAADA ya kufungwa miaka 6 jela kwa kosa la kunaswa na madawa ya kulevya nchini China, modo maarufu Bongo,...
READ MOREMsSANIIwa filamu, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude, amekimbizwa Hospitali ya Magomeni jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali baada...
READ MOREMSANII Aslay Isihaka ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuvichukulia hatua baadhi ya vyombo vya habari vya mitandaoni “Online Media”...
READ MOREASHRAFU GEUZA maarufu ‘Uchebe’, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na kosa la kumjeruhi...
READ MOREMSANII wa muziki Bongo, Rosa Ree, amefunguka kuwa kesi yake dhidi ya msanii Harmonize kwa sasa ipo kwenye mikono ya...
READ MOREVIDEO Queen maarufu Bongo, Lilian Kessy ‘Kimnana’ amesema kuwa katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kuwa single mama, lakini kumbe kuna...
READ MOREMFALME mwenye Taarabu yake Bongo, Mzee Yusuf amesema kuwa kwa sasa hayupo tayari kuoa tena mwanamke mwingine, aliyenaye kwa sasa...
READ MOREMWAKA jana mbunifu wa mavazi nchini; Martin Kadinda, aliwahi kusema kuwa, asilimia kubwa ya wasanii wa kiume Bongo, hawajui kuvaa....
READ MOREMWANAMUZIKI mkubwa wa Taarab hapa Bongo, Mzee Yusuf ‘Mfalme’ amesema kurejea kwake kutaufanya muziki huo kurejea mahali pake kama zamani....
READ MOREKWENYE kundi la watayarishaji wa muziki (producers) Bongo na wenye ubunifu na kipaji cha hali ya juu, huwezi kumwacha Zombie....
READ MORESTAA wa Bongo Fleva na memba wa Lebo kya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amefunguka sababu ya kuficha...
READ MORESTAA wa fi lamu za Kibongo, Shamsa Ford na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Elibariki Emmanuel ‘Nay wa...
READ MORENDOA sasa inanukia! Kama ulikuwa hujui, taarifa ikufi kie kwamba, bidada Wema Isaac Sepetu yupo kwenye uchumba ‘siriaz’, lakini mwenyewe...
READ MOREMWANAMUZIKI wa Afro-Beat, Mnigeria Dare Art Alade ‘Darey’ ameibuka na kusema anatamani kufanya kolabo na wasanii wa Bongo Fleva, akimtaja...
READ MORELICHA ya miluzi kupigwa mingi na kubaki kuwa kitendawili kisichokuwa na majibu juu ya binti atakayeolewa na staa wa Bongo...
READ MOREMWANAMAMA mkali mbele ya kamera za Bongo Movies, Kajala Masanja, amesema kuwa, alijua tu kwamba angepatana na mwigizaji mwenzake, Wema...
READ MOREMWANAMUZIKI pendwa wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’ anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), ameeleza namna alivyokosa...
READ MORESEXY lady wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema ametumia mamilioni kwenye ‘teeth braces’ (urembo wa meno) ili kuongeza mvuto...
READ MOREMCHEAJI wa soka wa Brazil, Ronaldinho, ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti...
READ MOREMSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka kuwa shoo yake atakayoifanya Uwanja wa Mkapa kwenye kilele cha Sherehe...
READ MOREMWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa mwanzo kipindi anaanza muziki,...
READ MOREKWENYE gemu la muziki, mbali na kufanya kazi nzuri za kuwafi kia mashabiki, ila pia inabidi msanii akubalike kwa...
READ MORE